ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Juu ya namba saba si lazima tumshirikishe huyo Mungu wa kwenye vitabu. Kwanza tuijue na huyo Mungu atajifunua kwetu mwenyewe.Nani aligundua namba? Lengo lake lilikuwa ni nini? Huo upekee wa namba 7 yeye aliuzungumziaje kwa wakati huo pindi amegundua namba? Kama biblia na misaafu mingine ya dini imeelezea upekee wa namba 7, je, Mungu alikusudia kuifanya namba 7 kuwa ya kipekee? Lakini naamini mungu hakutufundisha kuhesabu ila kuhesabu kuliletwa na wanadamu, tena kumbukumbu zangu zinasema wa Misri ndio waligundua namba. Ntarudi kuuliza maswali mengine baadae!


