Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Mungu aliumba dunia na vyote vilivyomo kwa siku tano kwa kutamka tu na ikawa.. Siku ya SITA akamuumba mwanadamu kwa udongo kisha akampulizia pumzi ya uhai
Katika ulimwengu wa roho wanyama na vingine vyote vyenye uhai vinawekwa kwenye kundi la hayawani, ufahamu wao utaishia siku ya tano, binadamu si hayawani ana utashi kwakuwa alipuliziwa pumzi ya Kimungu lakini akanyimwa siri ya siku ya saba Mungu alipopumzika
Je ni kweli Kuna Mungu alipumzika siku ya saba? Fumbo lile la Eden mambo ya Freemasons na Satanism yana mizizi kwenye hili
Uwepo wa Mungu unaenda mbali zaidi ya akili za binadamu na sayansi. Akili ya mwanadamu ikifunguliwa kidogo anaweza akapata glimpses za mambo ya siku ya Saba lakini sio kumjua Mungu mwnyewe.
Mwandishi Echart Tole katika kitabu chake cha power of now, anasema human mind can not understand God cause there's nothing to understand . And yet nothing can exist without nothing.
Mambo ya siku ya Saba akili ya mwanadamu haina Uwezo wa kuyangamua. Science na akili na utashi wa mwanadamu unaukomo wake. Nina mambo mengi ambako hata sayansi na teknolojia havina maelezo.
 
Mwanga upo Ndani ya Giza, na ndio maana mwanga hupotelea tena gizani ambako ndiko ulipotoka.
Kimoja lazima kiwepo ili nakingine kiweze kiwepo.. Asante
Hapo ndugu zangu mnajaribu kungamua mambo yalio nje ya uwezo wetu mfano kusema upepo unarangi gani!! Hakuna giza mbele ya muangaza!! Na mwenyezi mungu ndo muweza wa yote kuweza kuacha kiza anamaana yake na kirahisi tu kibinaadam siku zitofaitiane usiku na mchana ila maana zaidi anaijua mwenyewe muumba!! Mambo mengine huwezi kuhoji!!
 
Na kusema asili yetu ni kiza hizi prouv mnazitoa wapi kwasababu alietuumba ni mwenyezimungu nuru yetu na dunia ndo mwangaza wetu sasa ukisema asili yetu ni kiza basi alietuumba atakua ananguvu za kiza!! Binaadam hawezi kuzaa ngombe !! Namaanisha ikiwa baba yetu muumba ni mwangaza itakuaje asili yetu kua ni kiza? Hizi ni logic za kikawaida kabisa ila ndugu zangu wanashindwa kutofaitisha kati ufahamu na uzima ndo tatizo nnaloliona hapa!!
 
Saaa hoja yako yakusema asili yetu kiza iko wapi? Kwamaana hujazaliwa unatambua je kua ulikua kizani? Hapo ndo kwenye utata [emoji3]
Kiza ni pasi na uhai, kabla hatujazaliwa tulikuwa mahali pasipo na uhai, hatukua tukijitambua kutokana na hilo giza.
 
Ndo swali la msingi unajitambuaje kabla hujazaliwa kujua kua ulikua kizani? Na je kabla ya uumbwaji ulimwengu palikua kiza je uliwahi kuuliza mwangaza ulikua wapi? Mpaka ikaja kuuondoa kiza? Ni vitu ambavyo vilikuepo sasa kusema asili yetu ni kiza kwahiyo kabla yakuzaliwa kwetu tulishajitambua kua tulikua kizani!! Haileti maana kabisa hii ni siri yake muumba wetu!!
Huko unakokuita kutokujitambua kabla ya kuzaliwa, kutokujitambua huko ndo hapa kinaitwa kiza. Hata kungekuwa na nuru asingeweza iona kwakuwa hujazaliwa bado hivyo huna unachoweza kukiona, usipoweza ina chochote, giza tu ndicho utakachokiona.

Sources kubwa za mwanga hapa duniani ni jua, mwezi na nyota zingine. Zote zinaonesha zimeumbwa, tena wataalamubia hadi material contents zake, sa nje ya hapo si ni giza? Na hilo giza likiendelea kwa mwezi mmoja tu, uhai utakwisha, na vyote vyenye uhai vitarejea rasmi kwenye lile giza la asili alilolisema Mshana. Bado tu picha haiji?
 
Saaa bwana mshana tofautisha kati ufahamu na kiza kwamaana ufahamu unaweza ukawa mzima na usiwe na ufahamu lakini pia unaweza kua kizani na ufahamu unao kwahiyo ni vitu viwili tofauti kabisa! Usichanganye vitu viwili kwa wakati moja hutoeleweka ndugu
Duh! Hapa kazi ipo, hata ule mfano alokupa hujauelewa, "usilolijua ni sawa na usiku wa kiza" ufahamu ni mwanga wa kiroho na kifikra. Kutokuwa nao ni giza, kwani gizani kuna vinavyoonekana?
 
Uzury wa jambo ni prouv sasa unaweza kutupa hiyo prouv? Maana mimi nachosema kuna moja anajua alipokua wakati hajazaliwa? Mnasema ndo kiza chenyewe sasa unajuaje kama uko kizani? Jamani [emoji3] [emoji3]
Kabla hujazaliwa hata macho yalikuwa hayaoni, fumba macho hapo ulipo utaanza kujongea kizani, kwenye asili yetu.
 
Kiza ni pasi na uhai, kabla hatujazaliwa tulikuwa mahali pasipo na uhai, hatukua tukijitambua kutokana na hilo giza.

Huko unakokuita kutokujitambua kabla ya kuzaliwa, kutokujitambua huko ndo hapa kinaitwa kiza. Hata kungekuwa na nuru asingeweza iona kwakuwa hujazaliwa bado hivyo huna unachoweza kukiona, usipoweza ina chochote, giza tu ndicho utakachokiona.

Sources kubwa za mwanga hapa duniani ni jua, mwezi na nyota zingine. Zote zinaonesha zimeumbwa, tena wataalamubia hadi material contents zake, sa nje ya hapo si ni giza? Na hilo giza likiendelea kwa mwezi mmoja tu, uhai utakwisha, na vyote vyenye uhai vitarejea rasmi kwenye lile giza la asili alilolisema Mshana. Bado tu picha haiji?

Duh! Hapa kazi ipo, hata ule mfano alokupa hujauelewa, "usilolijua ni sawa na usiku wa kiza" ufahamu ni mwanga wa kiroho na kifikra. Kutokuwa nao ni giza, kwani gizani kuna vinavyoonekana?

Kabla hujazaliwa hata macho yalikuwa hayaoni, fumba macho hapo ulipo utaanza kujongea kizani, kwenye asili yetu.
 
Hapo ndugu zangu mnajaribu kungamua mambo yalio nje ya uwezo wetu mfano kusema upepo unarangi gani!! Hakuna giza mbele ya muangaza!! Na mwenyezi mungu ndo muweza wa yote kuweza kuacha kiza anamaana yake na kirahisi tu kibinaadam siku zitofaitiane usiku na mchana ila maana zaidi anaijua mwenyewe muumba!! Mambo mengine huwezi kuhoji!!
Kutokuhoji kutatufunga, tusihofu hakuna dhambi ktk kuyatafuta maarifa na kuzijua kweli.
 
Na kusema asili yetu ni kiza hizi prouv mnazitoa wapi kwasababu alietuumba ni mwenyezimungu nuru yetu na dunia ndo mwangaza wetu sasa ukisema asili yetu ni kiza basi alietuumba atakua ananguvu za kiza!! Binaadam hawezi kuzaa ngombe !! Namaanisha ikiwa baba yetu muumba ni mwangaza itakuaje asili yetu kua ni kiza? Hizi ni logic za kikawaida kabisa ila ndugu zangu wanashindwa kutofaitisha kati ufahamu na uzima ndo tatizo nnaloliona hapa!!
We're not trying to define God.
But bad/evil is there so that good can be manifested and recognised.
 
Huko unakokuita kutokujitambua kabla ya kuzaliwa, kutokujitambua huko ndo hapa kinaitwa kiza. Hata kungekuwa na nuru asingeweza iona kwakuwa hujazaliwa bado hivyo huna unachoweza kukiona, usipoweza ina chochote, giza tu ndicho utakachokiona.

Sources kubwa za mwanga hapa duniani ni jua, mwezi na nyota zingine. Zote zinaonesha zimeumbwa, tena wataalamubia hadi material contents zake, sa nje ya hapo si ni giza? Na hilo giza likiendelea kwa mwezi mmoja tu, uhai utakwisha, na vyote vyenye uhai vitarejea rasmi kwenye lile giza la asili alilolisema Mshana. Bado tu picha haiji?
We're unaongelea mambo ya kifizikia. Tupo Katika mambo ya kiroho zaidi
 
Kutokuhoji kutatufunga, tusihofu hakuna dhambi ktk kuyatafuta maarifa na kuzijua kweli.
Ya mungu mengi ndugu katu nia yako kuhoji kila jambo alilolifanya maulana ni ngumu na hutofantikiwa hilo halina shaka kabisa!! Kashindwa mzungu kujiongezea uhai na kadhalika kwa misingi kama yako kuhoji yalio nje ya uwezo wetu! Tuyaache yasiotuhusu!!
 
Duh! Hapa kazi ipo, hata ule mfano alokupa hujauelewa, "usilolijua ni sawa na usiku wa kiza" ufahamu ni mwanga wa kiroho na kifikra. Kutokuwa nao ni giza, kwani gizani kuna vinavyoonekana?
Kwahiyo ukitokwa ufahamu ndo kiza chenyewe sio hahahahahahaha asante ndugu! Sasa ufahamu huna unajuaje kua uko kizani? Maana kiza unakiona kabisa kua hapa niko mahali fulani sioni kitu ndo maana yake!! Sasa ufahamu huna unajuaje uko kizani? [emoji1]
 
Kabla hujazaliwa hata macho yalikuwa hayaoni, fumba macho hapo ulipo utaanza kujongea kizani, kwenye asili yetu.
Kwahiyo aliekuumba asili yake ni kiza ndo maana yake sio? Nifahamu mimi alietuumba daima ni nuru na muangaza wetu sasa tutakuaje na asili ya kiza? Au ukipanda matembele utavuna pizza?[emoji1]
 
We're unaongelea mambo ya kifizikia. Tupo Katika mambo ya kiroho zaidi
Hapana siongelei ya kifizikia, naonelea ya kiroho, sema kama hayo yuko mbali nayo sana, mifano ya kumfikisha huko lazima ianze na ya kifizikia yanayoinekana yako bayana.
 
Kwahiyo aliekuumba asili yake ni kiza ndo maana yake sio? Nifahamu mimi alietuumba daima ni nuru na muangaza wetu sasa tutakuaje na asili ya kiza? Au ukipanda matembele utavuna pizza?[emoji1]
Ktk kiza tulitwaliwa tukaletwa nuruni. Kiza ni utupu wa uhai na ufahamu.
 
Kwahiyo aliekuumba asili yake ni kiza ndo maana yake sio? Nifahamu mimi alietuumba daima ni nuru na muangaza wetu sasa tutakuaje na asili ya kiza? Au ukipanda matembele utavuna pizza?[emoji1]
Wewe ndugu tundu007, unachokiongelea ni tofauti na Mada iliyopo me a nice. Kuelewana itakuwa ngumu
 
Back
Top Bottom