Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

FB_IMG_1657167141177.jpg
 
Mwaka juzi nilipotembea Kambi Moja kubwa duniani ya jeshi Moja yenye nguvu sana kwenye ndege Yao wanayiamini niliona waliandika 7power kwenye ubavu wa Ile ndege nikamuuliza kamanda Moja mwenye cheo Cha juu kuhusu hayo maandishi akanitazama akatabasamu ila hakunijibu
 
Mwaka juzi nilipotembea Kambi Moja kubwa duniani ya jeshi Moja yenye nguvu sana kwenye ndege Yao wanayiamini niliona waliandika 7power kwenye ubavu wa Ile ndege nikamuuliza kamanda Moja mwenye cheo Cha juu kuhusu hayo maandishi akanitazama akatabasamu ila hakunijibu
Hawakwambii bali huishia kutabasamu
 
Katika cosmology ya kidini au mythological, mbingu saba hurejelea viwango saba au mgawanyiko wa Mbingu. Dhana hiyo, inayotokana na dini za kale za Mesopotamia, inaweza kupatikana katika dini za Ibrahimu kama vile Uislamu, Uyahudi na Ukristo; dhana kama hiyo inapatikana pia katika baadhi ya dini za Kihindi kama vile Uhindu. Baadhi ya mila hizi, pamoja na Ujaini, pia zina dhana ya ardhi saba au ulimwengu saba wa chini.

Haya yalihusishwa katika nyakati za kale na ulimwengu wa kimetafizikia wa miungu na miili ya mbinguni inayoonekana kama vile sayari za kitambo na nyota zisizobadilika. Nambari saba inalingana na sayari saba za kitamaduni zinazojulikana zamani. Wachunguzi wa kale waliona kwamba vitu hivi (Zebaki, Zuhura, Mwezi, Jua, Mirihi, Jupita, na Zohali) vilisogea kwa mwendo tofauti angani kutoka kwa kila kimoja na kingine kutoka kwa nyota zisizohamishika zilizokuwa nje yao. Tofauti na comets, ambazo zilionekana angani bila onyo, zilisonga katika mifumo ya kawaida ambayo inaweza kutabiriwa. Pia waliona kuwa vitu vilivyo angani viliathiri vitu vilivyo duniani, kwani wakati mienendo ya jua huathiri tabia ya mimea au mienendo ya mwezi huathiri mawimbi ya bahari. Wengine wanaamini kwamba mbingu saba ziko kwenye nyota saba za dipper kubwa, kulingana na unajimu wa zamani wa magharibi.
36114d1863ceab6b33421d82e93bfe11.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa katika mfuatano wa namba msingi yani 0-9/1-9, namba saba inaonekana ni namba ya kawaida kabisa, lakini kwa taarifa yako hii ndio namba ya ukamilifu inayoendesha dunia na ndio namba yenye tafsiri zinazoshabihiana kwenye imani zote
Nina hakika ulianza kuitambua hii namba upekee wake kwenye habari za uumbaji, kwamba Mungu aliumba ulimwengu kwa siku sita na siku ya SABA akapumzika..... Lakini wengine watakuambia kuhusu mnyama paka Kuwa na roho saba ama lile joka lenye vichwa saba

View attachment 503310Kibiblia namba saba! Imetajwa kwenye mambo mengi sana sana nitataja machache kwasasa
-ukamilifu wa kiroho
-utimilifu wa jambo
-mnyama wa sadaka asiwe chini ya siku saba
-pair saba za wanyama walioingia kwenye safina ya Nuhu
-Alama ya uungu na Mungu mwenyewe huku namba sita ikiitwa namba ya mwanadamu (refer uumbaji na Freemasons)
-msamaha samehe saba mara 70
Namba saba imetajwa kwenye Bible mara 490 ...hapa utapata majibu mengi

View attachment 503309Kwa Wahindu na wabuddhist wanaamini katika mbingu saba kama ifuatavyo
1.dunia
2.ulimwengu hai
3.mbingu
4.ulimwengu wa kati, mpaka kati ya ulimwengu wa juu na chini, ulimwengu wa kiza na nuru
5.ulimwengu wa rebirth na reincarnation
6.hekalu la baraka mduara wa ukweli
7.mbingu ya saba, hatua ya mwisho kufikia ukamilifu

Nitakuja na tafsiri ya namba saba kwa imani ya Kiislam pia....lakini namba saba ni namba yenye nguvu mamlaka na ndio pointer ya ulimwengu unaoonekana toka katika ulimwengu wa roho

Nitarudi kuendelea sehemu ya pili.... Usisahau pia kinywaji baridi cha SABA JUUView attachment 503308
.
 
Ninaishika miguu yangu na kusoma Ayat ul Kursiyyu 7 na kutoka kwenda mitaani.....

Nikiwa porini ninasoma HIZB UL BAHR huku nikizungusha kisu juu ya shingo yangu mara 7 na.........nikilala hakuna wa kuniona....si nyoka wala binadamu....niliitwa Mwanga kule Ruvuma.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom