Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,154
- 831,827
- Thread starter
- #21
Saba ni utukufu na mamlaka ya kiroho, sita ni binadamu katika ulimwengu wa roho, binadamu asiye mkamilifu, ila akiwa juu ya mamlaka nyingine zote kidunia, huyu aliumbwa siku ya sita, ufahamu wake unagotea hapo777 namba ya utukufu wa Bwana aliyehai. 777 is > 666.
Kwahiyo anapotaka kudadisi nini kilitokea siku ya saba inayosemekana Mungu akapumzika ndipo inapokuja dhana nzima ya mpinga Kristo na Freemasons kwenye namba 666