Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Ukiwa hujazaliwa ndio kiza chenyewe...kiza ni dhana pana sana kuliko tunavyofikiri ndio maana kuna usemi usemao usilolijua ni sawa na usiku wa kiza,, kwahiyo kutambua jambo kujua jambo kuangaziwa jambo ni nuru na kinyume chake ni kiza
Ukisoma Buddhism kuna kitu kinaitwa enlightenment yaani kuangaziwa,, kuangaziwa ni hali ya kutoka kwenye kiza cha ufahamu
Saaa bwana mshana tofautisha kati ufahamu na kiza kwamaana ufahamu unaweza ukawa mzima na usiwe na ufahamu lakini pia unaweza kua kizani na ufahamu unao kwahiyo ni vitu viwili tofauti kabisa! Usichanganye vitu viwili kwa wakati moja hutoeleweka ndugu
 
Hapana kabisa wewe sasa ndio unachanganya... Hata siku moja huwezi kuwa mzima halafu ukose ufahamu ni kitu kisichowezekana abadan
Na ukiwa Kizani lakini una ufahamu Inategemea unamaanisha ufahamu upi, huu wa kimwili ama wa kifikra?
Kwa mfano ukiwa Kizani kwenye chumba chako yes hapa unaweza kuwa na ufahamu kwakuwa hiki ni chumba chako lakini ukiwa Kizani kwenye chumba usichokijua hapa huwezi kiufahamu kujua lolote
 
Namba 7 kiimani ni namba ya Ukamilisho.

Jamarat mawe 7
Surat fatiha ina aya 7
Shahada herufu 7
Watoto wa mtume walizaliwa 7
Mtoto aanze kujifunza dini akiwa na miaka 7
Takbar ya Idd huwa ni 7
earth-seven-layer.jpg
 
Hii namba 7 katika biblia imetajwa mara 490, jumla ambayo ni zao la amri ya kusamehe.(7x70). Hakika kuna fumbo kubwa kwenye hii namba kiimani.

kuna watu wenye nyingi zamani ndio wamefanya haya yoote ili dunia itawalike......
 
Ikiwa katika mfuatano wa namba msingi yani 0-9/1-9, namba saba inaonekana ni namba ya kawaida kabisa, lakini kwa taarifa yako hii ndio namba ya ukamilifu inayoendesha dunia na ndio namba yenye tafsiri zinazoshabihiana kwenye imani zote
Nina hakika ulianza kuitambua hii namba upekee wake kwenye habari za uumbaji, kwamba Mungu aliumba ulimwengu kwa siku sita na siku ya SABA akapumzika..... Lakini wengine watakuambia kuhusu mnyama paka Kuwa na roho saba ama lile joka lenye vichwa saba

View attachment 503310Kibiblia namba saba! Imetajwa kwenye mambo mengi sana sana nitataja machache kwasasa
-ukamilifu wa kiroho
-utimilifu wa jambo
-mnyama wa sadaka asiwe chini ya siku saba
-pair saba za wanyama walioingia kwenye safina ya Nuhu
-Alama ya uungu na Mungu mwenyewe huku namba sita ikiitwa namba ya mwanadamu (refer uumbaji na Freemasons)
-msamaha samehe saba mara 70
Namba saba imetajwa kwenye Bible mara 490 ...hapa utapata majibu mengi

View attachment 503309Kwa Wahindu na wabuddhist wanaamini katika mbingu saba kama ifuatavyo
1.dunia
2.ulimwengu hai
3.mbingu
4.ulimwengu wa kati, mpaka kati ya ulimwengu wa juu na chini, ulimwengu wa kiza na nuru
5.ulimwengu wa rebirth na reincarnation
6.hekalu la baraka mduara wa ukweli
7.mbingu ya saba, hatua ya mwisho kufikia ukamilifu

Nitakuja na tafsiri ya namba saba kwa imani ya Kiislam pia....lakini namba saba ni namba yenye nguvu mamlaka na ndio pointer ya ulimwengu unaoonekana toka katika ulimwengu wa roho

Nitarudi kuendelea sehemu ya pili.... Usisahau pia kinywaji baridi cha SABA JUUView attachment 503308
What about the mystery of number twelve
Twelve tribes of israel
Twelve disciples of jesus
Twelve signs of zodiac
 
Kwahiyo kitu kilichokuja kuondoa kiza ndo kinanguvu kwamaana kabla ya kuumbwa palikua kiza na mwangaza ukaja kuondoa kiza!!sasa asili yetu jibu lake bado inakua siri yake muumba kwamaana ukisema asili yetu ni kiza sasa je kuna kati yetu kabla ya kuzaliwa alitambua kua yupo kizani ama kwenye mwanga?

Kutotambua huko ndo giza jenyewe tulizungumzialo na baada ya utambuzi sasa tunasema ndo nuru/mwanga wenyewe
 
Tuendelee
Namba saba tunaweza kusema ni universal number kiimani kijamii na hata kitamaduni, kwenye mila na desturi duniani kote.... ikijulikana kama namba kuu ama namba ya bahati/ngekewa
Kabla ya ugunduzi wa darubini kubwa ya anga za juu na maendeleo ya sayansi na teknolojia, sayari zilizokuwa zinaonekana ni saba tu nazo ni
Jua
Mwezi
Zebaki
Venus
Mars
Saturn na
Jupiter
Hili lilinasibisha tamaduni za kale katika makabila na jamii mbalimbali waziite miungu saba
Jamii ya Pythagoreans waliichukulia namba saba kama namba ya bahati kubwa, huku Wahindu wakiichukulia kama namba lango la chakra
Uarabuni kwa waarabu walijenga mahekalu saba matakatifu huku wajapani katika mila zao wakiwa na miungu saba inayoleta bahati na kuepusha mikosi
Kwenye Buddhism inaaminika hapo kabla kulikuwa na mabudha saba
Kwenye Biblia takatifu tumeshaona hasa kwenye agano na kale.... Hekalu la mfalme Suleimani lilijengwa kwa miaka saba
 
Nafatilia Hili Somo Magic Father
 
Hapana kabisa wewe sasa ndio unachanganya... Hata siku moja huwezi kuwa mzima halafu ukose ufahamu ni kitu kisichowezekana abadan
Na ukiwa Kizani lakini una ufahamu Inategemea unamaanisha ufahamu upi, huu wa kimwili ama wa kifikra?
Kwa mfano ukiwa Kizani kwenye chumba chako yes hapa unaweza kuwa na ufahamu kwakuwa hiki ni chumba chako lakini ukiwa Kizani kwenye chumba usichokijua hapa huwezi kiufahamu kujua lolote
Kwahiyo unamaanisha mfano ukiwa huna ufahamu ndo kiza chenyewe au sio? Yaani mfano kitu hakijazaliwa ndo kiza ndo maana yako sasa kama ww uliprouv how much kua kabla mtu hajazaliwa alikua kizani? Maana umeleta hoja na ukahukumu kana kwamba umetafiti vyakutosha kua asili yetu ni kiza? Au ukileta hoja ya biblia kua dunia ilikua kiza kwahiyo alieitoa kiza alikuepo yaani mwangaza!! Sasa swali langu je kitokujua ulipo ndo kizani kwavile kwa akili yakawaida inavyokuamuru wakati umesahau kua roho zetu ndo zinaishi daima? Kwahili huwezi kuhukumu kwa usilolijua kabla na baadaye kwavile ni siri yake muumba bwana mshana
 
Kutotambua huko ndo giza jenyewe tulizungumzialo na baada ya utambuzi sasa tunasema ndo nuru/mwanga wenyewe
Uzury wa jambo ni prouv sasa unaweza kutupa hiyo prouv? Maana mimi nachosema kuna moja anajua alipokua wakati hajazaliwa? Mnasema ndo kiza chenyewe sasa unajuaje kama uko kizani? Jamani
 
Kwahiyo unamaanisha mfano ukiwa huna ufahamu ndo kiza chenyewe au sio? Yaani mfano kitu hakijazaliwa ndo kiza ndo maana yako sasa kama ww uliprouv how much kua kabla mtu hajazaliwa alikua kizani? Maana umeleta hoja na ukahukumu kana kwamba umetafiti vyakutosha kua asili yetu ni kiza? Au ukileta hoja ya biblia kua dunia ilikua kiza kwahiyo alieitoa kiza alikuepo yaani mwangaza!! Sasa swali langu je kitokujua ulipo ndo kizani kwavile kwa akili yakawaida inavyokuamuru wakati umesahau kua roho zetu ndo zinaishi daima? Kwahili huwezi kuhukumu kwa usilolijua kabla na baadaye kwavile ni siri yake muumba bwana mshana
Nimegundua kitu kimoja naona tunaenda njia tofauti aidha hunielewi kama wengine ama hatuelewani au tunaweza kuwa tunazungumzia kitu kilekile kwa approach tofauti
Hali inapofikia hapa inabidi kukubaliana kutokubaliana ili tuweze kuendelea na mengine
 
Yaani mnasema jambo kirahisi sana yaani kabla yakuzaliwa ndo kiza chenyewe sasa uthibitisho mmayo? Maana kiza unaona kabisa hapa nipo kizani na mwangaza pia unaona nipo kwenye mwangaza!! Sasa why uje na hukumu kua kabla yakuzaliwa ndo kiza chenyewe? Lakini hapa hoja mnashindwa kutofautisha kati ya ufahamu na uzima
 
Back
Top Bottom