Hapa ndipo zilipo fikia akili za sisi Vijana wa Bongo, Unaacha Kufanya yanayo Kuhusu kama Mwalim we Unaenda Kufanya Upuuzi kama Huuu, ona sasa Kazi unapoteza na Jela Juuu!!!!!!!! Eti dogo hajafanya Home-work unamfanya Kua Punching Bag lako.... Aisee imeniuma Mno, Hata Mwizi wa Boda Boda Hapigwi Hivi, Imagine Hali ya ajira ilivyo Ngumu hapa BONGO we unachezea Kazi kweli??? ni walimu takriban elfu 40 wako kitaa we Unaenda Kuuua????
Eee mwenyezi Mungu Tuepushe Na UJINGA huu.
Kazi za Ualimu ni wito jaman,
Ila naamini serekali yetu Tukufu imelipokea Tukio hili kwa Mikono miwili na WATALIFANYIA KAZI.
Mungu awapatie Roho ya Uvumilivu wazazi wa Mwanafunzi Huyu maana wakiamua kufanya walitakalo dhidi ya walimu hawa Yatakua mengine maana Hakuna Mzazi(Especially mama) atakaye vumilia kuona Uhuni wa ainaa Juu ya mwanae.