MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Wadau,

Clip hii sijui ni shule gani lakini yaonekana ni hapa nchini kutokana na sauti ya dada inayosikika kwenye background.

Hata kama huyo kijana amekosa vipi si angepelekwa vyombo vya sheria?

Wana tofauti gani na wale wanakijiji walioua watafiti?

Sheria ifuate mkondo wake, inaumiza sana.

=======

UPDATE:

Mkuu wa shule ya Mbeya Day pamoja na baadhi ya walimu wamechukuliwa na jeshi la polis kwa mahojiano zaidi. Tukio hilo lilitokea 28. September.

Jumanne tarehe 24 mwalimu wa vitendo alitoa homework kwa kidato cha 3 A, kwa bahati mbaya mwanafunzi huyo hakuwepo, Jumatano wakati mwalimu anakusanya homework yule mwanafunzi alimwambia mwalimu kuwa jana yake hakuwepo alikuwa anaumwa.

Mwalimu alianza kumpiga makofi darasani lakini akaondoka naye hadi ofisini na kuwaambia walimu wenzake kwamba mwanafunzi huyo hakufanya homework ndiyo walimu wakamchangia kumpiga.

Hali ya mwanafunzi bado siyo nzuri kwani aliumia sana sehemu ya kichwa na machoni. Tayari Waziri Mwigulu Nchemba ameagiza walimu hao kuchukuliwa hatua za kisheria.

========

Mnamo Tarehe 28.9.2016, mwanafunzi aitwaye Sebastian Chinguku wa form 3A Mbeya day sec school aishie Uyole alipigwa na walimu watatu, Mwl Frank Msigwa, John Deo UDSM na Sanke Gwamaka wa Nyerere Memorial, wote wakiwa mafunzo.

Mwl Frank alitoa assignment ya Kingereza na baadhi ya wanafunzi hawakufanya akiwepo Sebastian hakufanya, darasani mwl alimpiga kofi kijana na kijana akahoji kwanini anampiga wakashikana koo, ndio walimu wakamchukua na kumpeleka staff room na kuanza kumpiga vile. Tangu tar 29. September mwanafunzi hakuonekana shuleni. Na mwl E.H wa Iringa University ndio aliyekuwa akisema mwacheni mtamuumiza. Ndio aliyechukua video.

Hao walimu wote hawapo wameondoka kwenda kwenye vyuo vyao. POLISI wanaendelea kuwahoji uongozi wa Mbeya Day Sec School na Mwanafunzi aliyeumizwa ikiwepo kumpeleka hospitali. Nimeelekeza vyombo vya dola Dar wawatafute chuoni kwao hao walimu kuhusiana na shambulio hilo kwa mwanafunzi huyo.

MWIGULU Nchemba, W MNN

MKUU WA MKOA WA MBEYA AZUNGUMZIA TUKIO HILO

​

Taarifa ya awali ya tukio la kupigwa mwanafunzi wa Mbeya Day ndg Sebastian Chingulu.

Tukio lilianza tarehe 26/9/2016 mwalimu Frank Msigwa mwanafunzi kwa vitendo toka chuo kikuu cha Dar Es salaam kutoa assignment ya soma la kingereza kwa wanafunzi wa kidate cha Tatu.

Baada ya kusahihisha aligundua kuwa kuna baadhi ya wanafunzi hawakufanya NA tarehe 28/9/2016 alikwenda darasani NA kutoa adhabu NA alianza kwa kuwapa adhabu ya push up, kupiga magoti NA baadae viboko 2 katika utekelezaji mwanafunzi Sebastian Chingulu alikataa kufanya kutokana NA kuumwa NA goti.

Baada ya kukataa adhabu mwl Frank Msigwa NA wenzake 2 John Deo NA sanke Gwamaka walimpeleka ofisini NA kuanza kumshambulia kwa kipigo NA baada ya tukio hilo walitoeka na wakati wanamshambulia mwalimu mwingine aliwasihi wasimpige NA alirekodi tukio hilo.

Serikali ya mkoa inaendelea kuwashikilia walimu NA mwalimu mkuu kwa mahojiano, kupata maelezo ya wanafunzi waliopata adhabu NA mwanafunzi aliyepigwa.

Nawahakikishia serikali itawasaka popote walipo walimu hawa waliofanya tukio hili NA kufikishwa ktk vyombo vya dola NA sheria.

Aidha mwanafunzi aliyepigwa anaendelea kupimwa NA matibabu.

Hii Ni taarifa ya awali nitaendelea kutoa taarifa kwa kila hatua.

Amos G Makalla
RC Mbeya

======

Walimu waliohusika wafukuzwa Chuo, kwa habari zaidi soma=>Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa Mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

.. sijui nchi hii inaelekea wapi hii ndiyo nch ianayosifiwa kwa amani duniani ilihali ndani yake.............
 
Walimu wasikuizi kwakweli nichuki juu ya kazi yao iliojengeka moyoni mwao, wanapaswa kuwa wazazi kwa vijana hawa badala yake ni kinyume chake....Mob psychology inawahusu wote waliohusika
Sio wa siku hizi tu, tangu zamani tu haya yalitendeka sema tu hii mitandao ya kijamii imesaidia ueneaji wa habari.
 
Hiyo adhabu kwakweli ni nzito, ila hawa watoto jamani acheni tu, tunakutana na mengi sana, wazazi wenyewe washawashindwa, ni manunda yaliyokubuhu, alafu hayaogopi wala hawamuheshimu mtu.

Emagine we mzazi mwanao anakosea unamuhoji then anakutukana,utamfanya nini mtoto huyo??
Walimu nao ni binadamu jamani na wana nyongo.
kwa hyo hapo unaunga mkono kipigo kile? na nguo zako hvo hvo ulivyovaa?
 
Eeeeh...

Time will tell
1475768062484.png
 
FukuuuuZa mbwaa haao na wafungwe kwa kosa jalibio la kuua, aseee ewee mwalimu gusa mtoto wangu uone doso nitakalokuja kukupa na extra drills za kutosha had nikumalize
 
mnafiki tu yule sasa wenzie wakifungwa anafaidi nini? si angemuokoa tu yule dogo na yeye kashiriki mbona hakureport polisi? na yeye ana hatia vilevile
Mwalimu wa wapi ww.shule gani afu f4 ulipata maths na physics alama zipi ww.
 
Halafu unataka huyo kijana wa kayumba akiwa mkubwa awe na akili na mafanikio kama mo dewji aliyesoma IST ambaye adhabu yake ilikuwa kula keki wakati huyu anakula makofi....

Akitoka hapo anaingia udsm huyo kijana anakula mabomu ya maaskari kwenye migomoooooo kisha anaajiriwa halmashauri anapigwa mikwara na mkuu wa wilaya...ha ha ha mo dewji katoka zake ist chuo kapiga zake georgetown....kweli binadamu hatupo sawa japo wanasema tupo sawa
the differentiations zako ni quite astounding wakati huyu analiwa samvu huyu anakula bagger
 
Wadau,

Clip hii sijui ni shule gani lakini yaonekana ni hapa nchini kutokana na sauti ya dada inayosikika kwenye background.

Hata kama huyo kijana amekosa vipi si angepelekwa vyombo vya sheria?

Wana tofauti gani na wale wanakijiji walioua watafiti?

Sheria ifuate mkondo wake, inaumiza sana.

=======

UPDATE:

Mkuu wa shule ya Mbeya Day pamoja na baadhi ya walimu wamechukuliwa na jeshi la polis kwa mahojiano zaidi. Tukio hilo lilitokea 28. September.

Jumanne tarehe 24 mwalimu wa vitendo alitoa homework kwa kidato cha 3 A, kwa bahati mbaya mwanafunzi huyo hakuwepo, Jumatano wakati mwalimu anakusanya homework yule mwanafunzi alimwambia mwalimu kuwa jana yake hakuwepo alikuwa anaumwa.

Mwalimu alianza kumpiga makofi darasani lakini akaondoka naye hadi ofisini na kuwaambia walimu wenzake kwamba mwanafunzi huyo hakufanya homework ndiyo walimu wakamchangia kumpiga.

Hali ya mwanafunzi bado siyo nzuri kwani aliumia sana sehemu ya kichwa na machoni. Tayari Waziri Mwigulu Nchemba ameagiza walimu hao kuchukuliwa hatua za kisheria.

========

Mnamo Tarehe 28.9.2016, mwanafunzi aitwaye Sebastian Chinguku wa form 3A Mbeya day sec school aishie Uyole alipigwa na walimu watatu, Mwl Frank Msigwa, John Deo UDSM na Sanke Gwamaka wa Nyerere Memorial, wote wakiwa mafunzo.

Mwl Frank alitoa assignment ya Kingereza na baadhi ya wanafunzi hawakufanya akiwepo Sebastian hakufanya, darasani mwl alimpiga kofi kijana na kijana akahoji kwanini anampiga wakashikana koo, ndio walimu wakamchukua na kumpeleka staff room na kuanza kumpiga vile. Tangu tar 29. September mwanafunzi hakuonekana shuleni. Na mwl E.H wa Iringa University ndio aliyekuwa akisema mwacheni mtamuumiza. Ndio aliyechukua video.

Hao walimu wote hawapo wameondoka kwenda kwenye vyuo vyao. POLISI wanaendelea kuwahoji uongozi wa Mbeya Day Sec School na Mwanafunzi aliyeumizwa ikiwepo kumpeleka hospitali. Nimeelekeza vyombo vya dola Dar wawatafute chuoni kwao hao walimu kuhusiana na shambulio hilo kwa mwanafunzi huyo.

MWIGULU Nchemba, W MNN

MKUU WA MKOA WA MBEYA AZUNGUMZIA TUKIO HILO

​

Taarifa ya awali ya tukio la kupigwa mwanafunzi wa Mbeya Day ndg Sebastian Chingulu.

Tukio lilianza tarehe 26/9/2016 mwalimu Frank Msigwa mwanafunzi kwa vitendo toka chuo kikuu cha Dar Es salaam kutoa assignment ya soma la kingereza kwa wanafunzi wa kidate cha Tatu.

Baada ya kusahihisha aligundua kuwa kuna baadhi ya wanafunzi hawakufanya NA tarehe 28/9/2016 alikwenda darasani NA kutoa adhabu NA alianza kwa kuwapa adhabu ya push up, kupiga magoti NA baadae viboko 2 katika utekelezaji mwanafunzi Sebastian Chingulu alikataa kufanya kutokana NA kuumwa NA goti.

Baada ya kukataa adhabu mwl Frank Msigwa NA wenzake 2 John Deo NA sanke Gwamaka walimpeleka ofisini NA kuanza kumshambulia kwa kipigo NA baada ya tukio hilo walitoeka na wakati wanamshambulia mwalimu mwingine aliwasihi wasimpige NA alirekodi tukio hilo.

Serikali ya mkoa inaendelea kuwashikilia walimu NA mwalimu mkuu kwa mahojiano, kupata maelezo ya wanafunzi waliopata adhabu NA mwanafunzi aliyepigwa.

Nawahakikishia serikali itawasaka popote walipo walimu hawa waliofanya tukio hili NA kufikishwa ktk vyombo vya dola NA sheria.

Aidha mwanafunzi aliyepigwa anaendelea kupimwa NA matibabu.

Hii Ni taarifa ya awali nitaendelea kutoa taarifa kwa kila hatua.

Amos G Makalla
RC Mbeya

======

Walimu waliohusika wafukuzwa Chuo, kwa habari zaidi soma=>Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa Mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

Hivi WaTz tumekuaje,mbona tunafanya mambo ya ajabu sana.We are so demonic.
 
Watoto wa siku hizi bangi sana! Naamini hatarudia tena ... Safi walimu!
Mwalimu tunajua shida zenu mishahara haitoshi mnakomaa na posho iongezeke naww ni kilaza hiyo inakutosha bana kama vp faulu ukasomee fani inayolipwa hela kubwa
 
Mshamba ww unamsimamisha masomo ili iweje na akajifunze nn ukishamsimamisha..apigwe ili keshi ajue walimu hawataki ujinga
Una hasira kweli unadhani ndo kakuambia uwe mwalimu na matokeo ndo yamekuweka hapo ila wito hauna .sio ndoto zako kuwa mwalimu
 
Off course anajuta na atajuta maisha yake yote!!

Yaani huyo Dada huko aliko analia tu!
Mbona hamulindani na kuteteana ili msiwe mnanyonywa na CWT 2% kila mshahara na unaambulia tisheti na kofia zee zima muandamane muone sasa.
Eti mnalindana ni katk maovu
 
Huyu Mwalimu aliyetajwa na Mwigulu sijui itakuwaje!!Maana sasa kaonekana kuwa ndio "mnoko" wa wenzake.Halafu hao jamaa Walimu ni walimu wa Field,masharudi vyuoni kwao.Mwalimu Mkuu ndio katiwa ndani
Huyu dada inabidi apewe U RAS au U DC kama sio U DED ili awaangalie walimu kama hao vizuri
 
Inadaiwa huyo dogo sio Mwanafunzi bali aliingia hapo kumlaghai mtoto mmoja wa kike aliva sale kama student also na wanafunzi nao shida maana Kuna dogo kamkung'uta headmaster mbele ya wanafunzi wenzake je unafanyaje
Walimu nao ni wa kuchapwa kama yule mkuu wa wilaya aliyewatandika kule mkoani kagera
 
Sheria kuu katika kuadhibu wanafunzi ni kwa kutumia fimbo na si vinginevyo kitendo hichi ni criminal offense na wanastahili kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kujibu mashitaka.
 
Back
Top Bottom