MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi



Hio video hapo nimeikuta mahala na imeniuma sana kuona kijana anapigwa namna hii akiwa kavaa uniform mbaya zaidi akiwa eneo la shule na kibaya kuliko wanaompiga ni waalimu.

Sina hakika kama kesi iko reported au la but naomba kujua if kama kuna yeyote anaelijua hili, na kwa yeyote mwenye similar issues.
 
TANZANIA NI TAIFA LA WANAFIKI MKUU... MIMI NILIVYOPOKEA KICHAPO O LEVEL HAIELEZEKI... HUYU DENTI KWANZA MLA BANGI TU.

UNAANZAJE MKWIDA TICHA. I COULD NEVER HANDLE IT.
Umeipata wapi hiyo kwamba alimkwida mwalimu?? Or imagination???
 
Kwa kwel zile ni stress sio kwa kipigo kile na hiv ajira hamna mbona watoto wata chinjwa mwaka huu
 
Duh...huyo aliyerekodi sijui watampa ulinzi gani maana hawa 'victims' wote wa sakata hili wanaweza kutafuta namna ya kilipiza kisasi.
 
Ningekuwa mwanafunzi lazima ningemtafuta huyo mpigaji mkuu
Ningehakikisha namng'oa pumbu
 
umesahau kuwa kwa mazingira yalivyo kwenye ile
video ni wazi kuwa aliyerekodi
angefahamika tu iwe isiwe. Na ni
jambo ambalo halikwepeki. Binafsi
nilifikiria hilo lakini nikaona
wahusika wanajua tu kuwa walikua wanarekodiwa na mtu
fulani. Hilo la kwanza. La pili ni kwamba, huyo aliyekuwa
anarekodi naye anahusika na
tuhuma za tukio zima.
Ameshindwa kuchukua hatua za
kumsaidia mwanafunzi asipigwe
zaidi tu ya kusema kwa mdomo huku akiendelea kurekodi. Tafsiri
ni kwamba, dhamira yake haikua
inamaanisha alichokua anasema.
Alitamani lile tukio liendelee au
aliona linafaa au mwanafunzi
alistahili kilichomkuta. Chukulia mfano huyu mwanafunzi angefariki
kutokana na kupigwa kule,
ungemteteaje? Hivyo ni sahihi kabisa kusema na
yeye ni mtuhumiwa. Ni kumpa
namba tu kulingana na uhusika
wake kwenye tukio zima
 
Hii picha haina tofauti na yule mwandishi aliye uwawa Iringa@kamuhanda
 
Halafu unataka huyo kijana wa kayumba akiwa mkubwa awe na akili na mafanikio kama mo dewji aliyesoma IST ambaye adhabu yake ilikuwa kula keki wakati huyu anakula makofi....

Akitoka hapo anaingia udsm huyo kijana anakula mabomu ya maaskari kwenye migomoooooo kisha anaajiriwa halmashauri anapigwa mikwara na mkuu wa wilaya...ha ha ha mo dewji katoka zake ist chuo kapiga zake georgetown....kweli binadamu hatupo sawa japo wanasema tupo sawa

Hahaaaaa, umeimaliza siku yangu kwa kicheko kikubwa mkuu!!
 
Hiyo adhabu kwakweli ni nzito, ila hawa watoto jamani acheni tu, tunakutana na mengi sana, wazazi wenyewe washawashindwa, ni manunda yaliyokubuhu, alafu hayaogopi wala hawamuheshimu mtu.

Emagine we mzazi mwanao anakosea unamuhoji then anakutukana,utamfanya nini mtoto huyo??
Walimu nao ni binadamu jamani na wana nyongo.
Angekuwa ni mmoja na sio timu ya walimu ambao wengine hawakuwepo kwenye mwanzo wa mzozo
 
kazi kweli kweli mwaka huu. Mara kutoana macho Mara walimu kumchangia mwanafunzi. Mara profess lipumba kukimbilia madaraka aliyo jiuzulu
 
Hawa vijana walioko chuo naona bado weupe huko kichwani na wengi wao wanajikuta masharobalo, huoni alivovaa hako kasuruali kembamba?
Yani hawa hawana lolote na nina imani ni mwaka wa kwanza.
Hivyo wanapaswa wapimwe akili kwanza maana wengine unakuta wametoka kunywa viroba halafu ndo wanaingia darasani!
wakikutwa walikua timamu basi wapewe adhabu kulingana na sheria.

ila naona huyu kijana mwalimu alikua anajitambua na alikua amedhamiria.

Nimepata mateso sana shuleni ila sio haya, nimeona wanafunzi wenzangu wakipigwa ila sio ivo.
 
nilishawai kuchapwa uchi tena na waalimu wa kiume mimi na wenzangu wawili eti tulikuwa hatujavaa chupi.kwani ni lazima kuvaa chupi? wakatuvua sketi wakaanza kutuchapa
Walijuaje kuwa hamjavaa chupi???!!!+
 
Back
Top Bottom