Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,188
- 1,604
Chonde jamani msimlaumu huyu tena!Nafikir alirekodi tu akijua atamuonyesha huyu na yule then yameisha kwa maana na yeye kukaa anarekodi bila kwenda kuingilia ule ugomv ni kama anasuport
Muda wote alikuwa akiwakanya wale mibaba.