MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Screenshot_2016-10-06-16-50-01.png
Screenshot_2016-10-06-16-45-22.png
Screenshot_2016-10-06-16-46-52.png
Screenshot_2016-10-06-16-46-05.png
Screenshot_2016-10-06-16-52-12.png
Screenshot_2016-10-06-16-49-04.png
Screenshot_2016-10-06-16-48-18.png
 
Halafu Mwigulu yy ni waziri wa elimu?

Waziri wa tamisemi,DEO,REO?amkurupuka mpk nimeshangaa sana

Mbona hawafati utaratibu hata km tukio la kihalifu!
wanataka kwenda na kasi ya Mh. Hahahahahah
 
Mara zote katika maisha hasira ikizidi kiwango chake huleta hasara. Na haipendezi kuadhibu ukiwa na hasira kali. Hafya za watu wengi si kamili, waweza kumpiga kofi tu, kumbe ana magonjwa ya moyo, kitakachofuata hapo nisiseme............,
Hou ni ukatili mkubwa, na wanaaibisha field ya ualimu. Yangu ni hayo.
 
Hii video haijanishangaza! Hii shida ya walimu kufanya unyama wa hivo ilikuepo hata secondary nilosomea! Sema tu havikurekodiwa kama ya huyu!!
The Brutality of Teachers in schools has always been there! its the cameras that are new!😵
I hope the Government adresses/ finds a solution to this problem!
 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Ndalichako amewafukuza chuo walimu waliohusika na kumpiga mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya kutwa Mbeya.

Mpaka sasa Mkuu wa Shule na baadhi ya walimu wamefikishwa katika kituo cha polisi kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo.

Chanzo: TBC, habari za mikoani
 
Mbona mnachapwa sana na polisi.
Na hawaongei kama ilivo kwa hii?
Nimesikia redioni katibu tawala wa mbeya akielezea hapa,dogo alikataa adhabu zote alizoambiwa afanye.

Simiyu huko mwalimu alitolewa meno 4 na wanafunzi.
Ni vile tu walimu huwa ni example ya kila kitu ndo maana imeshika sn hii issue.

"Hivi huko Tanzania JKT kwa form 6 bado ipo et ee"?
 
Kwa namna hii mtoto ataipendaje shule?au mzazi utakuwa na amani gani kama mtoto yuko salama huko shuleni?
 
Mmmmmmmmh ila hivi vitoto inahitaji akili sana kuishi navyo... Nway kila lakher frank
 
Teh teh waalim wa mwendo kasi Vs mwanafunzi wa kidigital.... tujifunze katika hili jaman waalim tucontrol hasira zetu pia wazazi kwa nafasi yenu muwafunze adabu watoto wenu vzuri maana msipofanya hivo walimwengu watawafunza na si kwanamna ambayo mtafurahishwa...natumai nimeeleweka
 
kwenye mafunzo yote ya ualimu hakuna ethic ya mwalimu kufanya hayo waliyoyafanya hao walimu wapuuzi...talk from what you believe n not coz of being in the same career....
kama hiyo story ni ya kibaka kaenda kuwalaghai wasichana wa hiyo shule then i am with you 100%,ila kama ni mwanafunzi wa kawaida siwezu kukuelewa hata siku moja
Basi kwa taarifa yako huwa tunawakanyaga zaidi ya hapo, hilo tukio umebahatika kuliona kutokana na teknolojia tuliyonayo kwa sasa. Mitoto inaudhi sana na ntawatandika vizuri sana ili wawe RAIA wema.
 
So painful watu wangu..mwanafunzi anatia huruma hata kama angekuwa kafanya kosa huo si uchapaji mzuri.
Wanisamehe tu mimi naona wachukuliwe hatua za kinidham tu.
hatua za kinidhamu kwan wamekunya uwanjan hao?

piga jela
 
HAO WALIMU WANGEMOA ADHABU TA KAWAIDA TU....KIPIGO HICHO KILIPITILIZA...

OVA
 
Basi kwa taarifa yako huwa tunawakanyaga zaidi ya hapo, hilo tukio umebahatika kuliona kutokana na teknolojia tuliyonayo kwa sasa. Mitoto inaudhi sana na ntawatandika vizuri sana ili wawe RAIA wema.
ila baada ya hili tukio nafikiri mtanyooka
 
Back
Top Bottom