MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Basi kwa taarifa yako huwa tunawakanyaga zaidi ya hapo, hilo tukio umebahatika kuliona kutokana na teknolojia tuliyonayo kwa sasa. Mitoto inaudhi sana na ntawatandika vizuri sana ili wawe RAIA wema.
nyooooo jaribu tukujue! sie hatujaribiwi wewe pimbi
 
pole sana mdogo wangu wape hai wana wetu wa kina maboy miss you da pole yao walimu......
 
Vijana hawa wanaonekana ni marafiki pia wanaonekana hawana haiba ya ualimu. Mimi kama mzazi roho imeniuma sana kuona hawa wahuni wakimshambulia dogo Bila huruma
1475766411682.jpg
1475766421579.jpg
1475766426800.jpg
1475766433191.jpg
 
hivi wanajua madhara ya kumpiga mtu kichwani? kichwa ndo kila kitu kwenye mwili wa binadamu, hivi huko vyuoni hawafundishwi anatomy and physiology, au hizo kozi ni kwa walimu wa biology only! hata hii chapa chapa watoto wa watu ifike mahali iishe!
 
Ndalichako hii haitoshi hawa wasalimishe vyeti wabaki tuu hivyo hivyo.
 
Walisoma wapi Shule ya msingi na sekondari?
 
Hiyo adhabu kwakweli ni nzito, ila hawa watoto jamani acheni tu, tunakutana na mengi sana, wazazi wenyewe washawashindwa, ni manunda yaliyokubuhu, alafu hayaogopi wala hawamuheshimu mtu.

Emagine we mzazi mwanao anakosea unamuhoji then anakutukana,utamfanya nini mtoto huyo??
Walimu nao ni binadamu jamani na wana nyongo.
 
Back
Top Bottom