MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

km n mwanangu naamin serikali ingentafuta jambo ambalo nngefnya hiyo crew ya walimu.
Simply Mwanafunz amekosa aadhibiwe tena adhabu kali kulingna na kosa lakn co kumpga ngumi, mateke, mitama km mwiz uraiani.
Btw walimu zaid ya sita wanashirik directly/indirectly kutekekeza adhabu yeny chembe za chuki na visasi kwa mwanafunz na yyote aliyewakwaza
 
Suspension,kufukuzwa na kuita wazazi ni kuwasumbua wakati toto lenye makosa lipo! Anakula kichapo tuuu,mzazi anayeelewa atakununulia na soda.Watoto wa siku hizi nyie hamuwajui.Hivi mwanafunzi kamtukana mwalimu,ukimuita mzazi ndo tusi linafutika? Huyo ni wa vitasa tuuu,akamwadithie demu wakee.Sitaki ujinga.
Kumpiga ndio ujinga.

Wakiikosa ajira ndio tusi litafutika?

Kama toto halina adabu si mlifukuze shuke likahangaike na mzazi wake????
 
Kabisa mie nimewaambia wasichana wanachapwa mikononi na wavulana makalioni hiyo ni enzi za mwalimu ndio ilikuwa hivo
Tatizo sie nchi zetu mtu akivunja sheria tunakuwa na hasira utasema tumetukaniwa mama zetu wakati hapo solution ilikuwa ni kutoa adhabu kwa kufuata misingi au kumpeleka mahala panapohusika kama amehatarisha amani baada ya kumpiga na kumlegeza lakini kwa kuchagua sehemu za kumpiga (lakini mtu anapiga ngumi nzito namna hiyo, adhabu kubwa za kipigo ni fani za watu ambao wanaujua mwili wa mwanadamu na si kila mtu na ndio maana kuna kulikuwa na mwongozo wa sehemu za kupiga)
 
km n mwanangu naamin serikali ingentafuta jambo ambalo nngefnya hiyo crew ya walimu.
Simply Mwanafunz amekosa aadhibiwe tena adhabu kali kulingna na kosa lakn co kumpga ngumi, mateke, mitama km mwiz uraiani.
Btw walimu zaid ya sita wanashirik directly/indirectly kutekekeza adhabu yeny chembe za chuki na visasi kwa mwanafunz na yyote aliyewakwaza
Kwani askari wanakuwa wangapi kwa mhalifu mmoja.
 
Kumpiga ndio ujinga.

Wakiikosa ajira ndio tusi litafutika?

Kama toto halina adabu si mlifukuze shuke likahangaike na mzazi wake????
Nani amekuambia ni rahisi kumfukuza mwanafunzi,hakuna wa kukosa ajira,Ualimu ni ajira ya kudumu labda wengi wanaacha baada ya kupata kazi nyingine.
 
upload_2016-10-6_12-48-2.png

kumbe ni mbeya huko
 
Wadau,

Clip hii sijui ni shule gani lakini yaonekana ni hapa nchini kutokana na sauti ya dada inayosikika kwenye background.

Hata kama huyo kijana amekosa vipi si angepelekwa vyombo vya sheria?

Wana tofauti gani na wale wanakijiji walioua watafiti?

Sheria ifuate mkondo wake, inaumiza sana.

Dogo kakumbana na walimu wenye hasira kali
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Pamoja na hayo ndugu, lakini still it doenst justify "mtoto" kupigwa hivyo mana huyo bado mtoto, kama mwanafunzi kagoma adhabu na alifanya kosa kubwa kuna njia zingine, kama kumuita mzazi wake, aelezwe tatizo, au kusimamishwa shule, wengine wanapewaga hadi adhabu za kulima au kufanya usafi either wa vyoo au kufagia uwanja wa shule peke yako hata mwezi mzima, lakini sio KIPIGO hicho, sasa hayo mabao tena ya uso angewafia je? au hata kuzirai au kutokwa damu mdomoni na puani? hapana kwa kweli au kama kawashinda sana basi mfukuzeni shule akahangaike na wazazi wake lakini sio kumpiga hivyo, yani naandika huku machozi yananitoka aisee hapana
Siku penda fani ya ualimu toka nikiwa mdogo lkn nilipendwa sana na walimu wakati nasoma, shida iko pale mtoto akibalehe anaona kua yuko sawa na walimu,anafanya vituko ambavyo hata wazazi wake hawajui kabisa, saikoloji yangu si kama namchukia huyo kijana, ni kijana kama wakwangu ila wanauzi mno. Mpaka umeona karibia walimu wote wanamshambulia amakua sugu huyo. Ndo wanakuja mtaani wanajiita scorpion wanatoa watu macho. Wacha walimu wacheze part yao kama mzazi B. Haiwezekani ikawa anatwangwa hivyo bila sbb. Mimi kama mzazi sipendi kabisa kulea mtt kama mayai, najua hasara na faida. Siku moja atawakumbuka na kuwashukru ktk mafanikio yake.
 
Wadau hiyo video kwa maelezo ya aliepost mwanzo kwenye magroup ya whatssap huyo kijana sio mwanafunzi ila alivaa kiuwanafunzi kwa malengo ya kurubuni wanafunzi wa kike.
Sasa ndio wamemkamata kama mwalifu ndio adhabu alio bahatika kuipata hiyo.
Angekua mwanafunzi wa kweli huyo basi angekua nunda kipigo chote hicho hata chozi hakuna
 
Hatua zifwate mkondo wake tena waziri husika hili linamhusu zaidi ya yote
 
Walimu wasikuizi kwakweli nichuki juu ya kazi yao iliojengeka moyoni mwao, wanapaswa kuwa wazazi kwa vijana hawa badala yake ni kinyume chake....Mob psychology inawahusu wote waliohusika
 
Siku penda fani ya ualimu toka nikiwa mdogo lkn nilipendwa sana na walimu wakati nasoma, shida iko pale mtoto akibalehe anaona kua yuko sawa na walimu,anafanya vituko ambavyo hata wazazi wake hawajui kabisa, saikoloji yangu si kama namchukia huyo kijana, ni kijana kama wakwangu ila wanauzi mno. Mpaka umeona karibia walimu wote wanamshambulia amakua sugu huyo. Ndo wanakuja mtaani wanajiita scorpion wanatoa watu macho. Wacha walimu wacheze part yao kama mzazi B. Haiwezekani ikawa anatwangwa hivyo bila sbb. Mimi kama mzazi sipendi kabisa kulea mtt kama mayai, najua hasara na faida. Siku moja atawakumbuka na kuwashukru ktk mafanikio yake.
Upo sawa maana "mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Nadhani kunakuwa na @Fomu ya Kujiunga na shule' waingereza wanaita 'Join Instruction' huwa inaeleza kila kitu ada, sheria, sare nk kwanini wasitumie hiyo fomu?? Acheni bana hicho kipigo noooooooo
Kwa taarifa kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba tukio hilo ni kweli limetokea Mbeya Day Sec
Kulikuwa na ubishani kati ya Mwalimu wa field na mwanafunzi hali iliyopelekea kushikana na hatimae mwanafunzi kumjeruhi mwalimu mdomoni kwa ngumi
Hali hiyo ilipelekea walimu wengine wa field kumbeba mzobemzobe mwanafunzi huyo na kumpleka chumba cha Staff na kumsulubu
Hakukuwapo walimu wenyeji na hao walimu wenyewe walijirekodi na kurusha tukio mitandaoni kama vile kuonyesha kitendo chao cha kukomeshea
Walimu hao walimaliza field Ijumaa na kurejea makwao
Pole kwa walimu wa Mbeya Sec shule yenu imechafuliwa

My take
Kazi Nzuri sana walimu wa Field
 
a right to fear trial in regard to 'presumption of innocence' no body is condemned till proved guilty.
Right to fair.....not fear.
It will be nice to hear the so called defense under the presence of overwhelming evidence. You should also remember there is public court of opinion.
 
Wadau,

Clip hii sijui ni shule gani lakini yaonekana ni hapa nchini kutokana na sauti ya dada inayosikika kwenye background.

Hata kama huyo kijana amekosa vipi si angepelekwa vyombo vya sheria?

Wana tofauti gani na wale wanakijiji walioua watafiti?

Sheria ifuate mkondo wake, inaumiza sana.

=======
UPDATE:

Khaa ni mwanafunzi huyo wanampiga namna hiyo. They are really muderers

Kwa taarifa kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba tukio hilo ni kweli limetokea Mbeya Day Sec
Kulikuwa na ubishani kati ya Mwalimu wa field na mwanafunzi hali iliyopelekea kushikana na hatimae mwanafunzi kumjeruhi mwalimu mdomoni kwa ngumi
Hali hiyo ilipelekea walimu wengine wa field kumbeba mzobemzobe mwanafunzi huyo na kumpleka chumba cha Staff na kumsulubu
Hakukuwapo walimu wenyeji na hao walimu wenyewe walijirekodi na kurusha tukio mitandaoni kama vile kuonyesha kitendo chao cha kukomeshea
Walimu hao walimaliza field Ijumaa na kurejea makwao
Pole kwa walimu wa Mbeya Sec shule yenu imechafuliwa

My take
Kazi Nzuri sana walimu wa Field
 
Siku penda fani ya ualimu toka nikiwa mdogo lkn nilipendwa sana na walimu wakati nasoma, shida iko pale mtoto akibalehe anaona kua yuko sawa na walimu,anafanya vituko ambavyo hata wazazi wake hawajui kabisa, saikoloji yangu si kama namchukia huyo kijana, ni kijana kama wakwangu ila wanauzi mno. Mpaka umeona karibia walimu wote wanamshambulia amakua sugu huyo. Ndo wanakuja mtaani wanajiita scorpion wanatoa watu macho. Wacha walimu wacheze part yao kama mzazi B. Haiwezekani ikawa anatwangwa hivyo bila sbb. Mimi kama mzazi sipendi kabisa kulea mtt kama mayai, najua hasara na faida. Siku moja atawakumbuka na kuwashukru ktk mafanikio yake.
Hakika mkuu
 
Back
Top Bottom