MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Hivi ile clip ya Pinda ya "Umeambiwa usifanye hivi ipo?
 
TANZANIA YETU HAISHI VITUKO.....
HUYU KAMTOBOA MACHO YULE.....YULE KACHUKUAA RUSHWAAA BARABARANI......
SAHV NAONA WALIMU WANAMGOMBANIA MWANAFUNZI KAMA MPIRA WA KONA...
KWELI NAZIDI AMINI DUNIA HAIWEZI KUTULIA.

OVA
Umesahau! Wengine wanang'oa viti kule ground la national
 
Wote wana makosa kuanzia huyo mwl. aliyerecord video kwanza amekosa ethics za ualimu, pia nadhani hakusoma na kuelewa baadhi ya kozi akiwa chuoni.
Kuna kozi ya "Classroom Interaction" ambayo kwa 90% mwl mtoa adhabu hakuiapply vema kuanzia darasani.

Pia mrecord video hana maadili ya kazi kwani yeye kama sehemu ya teaching staff alikuwa na uwezo wa kuwasiliana na kamati husika za shule. School administration and management ya chuon kwake itakuwa alifeli kabisa ama hajaielewa.

Pia punishment & reward ni part and parcel of learning and teaching processes.
Mwalimu anaonya kitu kibaya na kutoa zawadi kwa jambo zuri. Hili lipo kwenye Educational Psychology, Education measurement & evaluation, na baadhi ya ma philosopher wanakubaliana na adhabu, haya ameyakuta chuoni kwake kwenye somo la Philosophy of Education. Kama hamtaki adhabu hao watoto wenu muwafundishe wenyewe majumbani mwenu.
kwenye mafunzo yote ya ualimu hakuna ethic ya mwalimu kufanya hayo waliyoyafanya hao walimu wapuuzi...talk from what you believe n not coz of being in the same career....
kama hiyo story ni ya kibaka kaenda kuwalaghai wasichana wa hiyo shule then i am with you 100%,ila kama ni mwanafunzi wa kawaida siwezu kukuelewa hata siku moja
 
Hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yake maana yalishakuwa mazoea
 
Ww ndo hukufundisha wafaulu mana naww utakuwa ni zero au foo .
Kwani akinyoa vizuri ndo angefaulu jamani.
Ww fundisha kwani hapo wamekuja kufunzwa maadili.
Kama amaadili angepelekwa jeshini ila hapo ww fundisha dogo awe dokta au engineer na wanasiasa wakubwa pia wanasheria ndo kazi yenu mliyopewa ila sio kuwanyoosha ili upate faida gani sasa.au naww ndo ulipna weakness hizo za kutopigwa ndo unadhani haukufaulu
We kiumbe upo serious??
Hata kama sina utaalamu wa ualimu
But walimu wanafundisha.na.maadili .....aisee
 
huyu mtoto nasikitika kamwe hatoweza kuwa na akili nzuri duuu hiii ni hatari....
 
Mshamba ww unamsimamisha masomo ili iweje na akajifunze nn ukishamsimamisha..apigwe ili keshi ajue walimu hawataki ujinga
Logic yako zero kabisa. Unatia aibu. Alichofanyiwa mwanafunzi na walimu ni shambulio la mwili na justice inapatikana tu. Hii itasaidia kutia adabu vichwa maji kama wewe. Inashangaza sana kama wewe ni mwalimu, reasoning zero kabisa. Kama maisha ya ualimu ni magumu kuwa mfanyabiashara...acha stress zinaua umesikia wewe mwalimu maandazi?
 
ndo utajua watu jinsi walivyokuwa na akili ndogo
Mkuu nasikitika umedandia treni kwa mbele, huu uzi umeunganishwa mada ilikuwa kupongezwa kwa huyo mwalim aliyerikodi video ndo maana umeona kunautofauti wa maelezo na thread husika. kumwambia mtu ana akili ndogo wakati hata wazazi hawakuwahi kumwambia hilo neno ni dharau
 
Hivi mafunzo ya JKT kwa form 6 wanaohitimu bado yapo huko TZ huko et
 
aaaaaah kawaida tu welcome jtk teacher to the field lazima nidham irudi mahali pake
 
nilishawai kuchapwa uchi tena na waalimu wa kiume mimi na wenzangu wawili eti tulikuwa hatujavaa chupi.kwani ni lazima kuvaa chupi? wakatuvua sketi wakaanza kutuchapa

Hahaahaa......unless unatania lakini kama ni kweli twambie kabisa walikuchapia na nini maana isijekuwa walitumia fimbo laini kama soseji
 
Ah wacha dogo anyooshwe atufugi uzembe .kama babaako na mamaako awakufundishi heshima na adabu wacha walimu wafanye kazi yao.mnalea watoto kikuda wanakuja shuke wanasumbua watoto wa wengine afu unataka apigwe per akaite mzazi atuna mda mchafu wa kuongea na mzazi ni kipondo tu laana sumaka
Adhabu n.fresh mkuu,ile kile ni.kipigo cha mwizi

Sijui watt wa siku ila zaman uboyz..mwalimu ukipiga jamaa yetu vile..basi mwalimu jiandae kwenda hospital,tutakuwinda kila siku,kila usiku

But adabu tulikuwanazo,adhabu km.kufyatua tofali,kulima,kukata mit tulikuwa tunafanya bila kinyongo

Kuna teach iyunga alileta ujinga ujinga wake wa pwan..nazan hata kuja kutusahau...
Japo tulikula.suspension,tukalud na.tukafaulu fresh

Walimu wengine.wazinguaji kinoma,sema pia wapo.madent wenye.jeur ila hizo sio adhabu mkuu
Hawa walimu wangepiga mdogo wangu.hivyo..basi wangepelekw leba bila ganz
 
Yaani hawa walimu hata wakitobolewa macho huwezi kusikitika!
 
MATUNDA YA JKT HAYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, HAO WENGINE WALIOKO MAKAZINI TAYARI WAPOLE MNO SABABU HAWANA MAFUNZO YOYOTE YA JKT
 
Back
Top Bottom