remosa
Senior Member
- Oct 3, 2014
- 161
- 142
Acha uhayawan ww mfundishe wako kwa style hyo.. Acha upumbav hakuna sheria inayoruhusu walimu kufanya Kama walivofanya hao mbwa hapo.... Alafu ajabu walimu uchwara ote ndo mnaotetea Huo ujinga hapo.. Dvn 4 mnashda sanaHapo sioni cha ajabu ! Ww hujiulizi kwa nn imebidi nguvu ya ziada itumike kumuadhibu kijana mmoja tu ? Acheni ushabiki usiokuwa na maana.Lazima tuwarekebishe hawa vijana wetu .