Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,983
Ujambazi wa kimfumo ni balaa,duh!!
Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema Mzee Mwasokwa.Inasikitisha kuona kuwa watu wameanza kwa kasi ya ajabu kujichukulia sheria mikononi.Hii ni hatari kubwa........inabidi vyombo vya sheria na usalama vijipange upya kukabiliana na uvunjifu huu mkubwa wa Utawala wa sheria.
RIP, Mzee huyu alikuwa mshauri wangu mzuri
Hili la kuwawa na usalama wa taifa wenzake kama litakuwa na ukweli, kwa kuisaidia CHADEMA ni kombora la kuendelea kuishindilia
ccm shimoni wala hakuna kupumua. Itawaumiza sana wakaazi wa mbeya. Tusubili kama ni za uhakika habari hizi.
Mwandosya
Mwakyembe
Mwangosi
Mwasokwa
Mwaikusa
.
.
.
Hapa kunakupona kweli ccm 2015
mmmmh,,,na wewe kila mahali upo,,,,,,aaargh
ongeza mwankenja risasi na majambazi bila kuiba kitu huko mbeya kwake
.
.
.
hawa usama wa kikwete wana husika sana, je pisto yake amekutwa nayo?..hivi ccm inaugomvi gani na watu wa Mbeya na kazikazini..
RIP, Mzee huyu alikuwa mshauri wangu mzuri
Mkuu nimeongeza bado kanda ya kaskazini
Hili la kuwawa na usalama wa taifa wenzake kama litakuwa na ukweli, kwa kuisaidia CHADEMA ni kombora la kuendelea kuishindilia
ccm shimoni wala hakuna kupumua. Itawaumiza sana wakaazi wa mbeya. Tusubili kama ni za uhakika habari hizi.
Mwandosya
Mwakyembe
Mwangosi
Mwasokwa
Mwaikusa
Mwankenja
.
.
Hapa kunakupona kweli ccm 2015
RIP baba,Tulikupenda Mungu amekupenda zaidi.
Huu pia ni msiba mkubwa kwa klabu ya Yanga,alikuwa ni mshauri mwema kwa wanajangwani.
Muuaji atapatina mara moja kama hakuwa mtu wao.Umeshakuwa msiba wenu? Acheni vyombo vya sheria vifanye kazi yake!
bhanghogile unyambala mwehee
Abhandu bhamasiku hagha bhatikuntila Ukyala
Ukabhaponyeghe tata
RIP Mwasoka