Mwanamke auawa kinyama huko Rukwa


real G

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
5,257
Likes
5,110
Points
280
Age
43
real G

real G

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2013
5,257 5,110 280
Ni baada ya kuchinjwa kasha kucharangwa na mapanga.
Mwanamke mmoja ambaye ni mkazi wa Kijiji cha China Kata ya Kate, Nkasi, Rukwa, Telestina Silanda (45) ameuawa kwa kuchinjwa na mwili kucharangwa na watu wasiojulikana akiwa amelala nyumbani kwake usiku wa kuamkia jana.

Ndugu wa marehemu, Charles Silanda alidai tukio hilo lilitokea saa mbili usiku ambapo watu wasiojulikana waliovalia “kininja” walipovamia nyumba yake na kumshambulia kwa panga na kumchinja.

Alisema kuwa mara baada ya kupata taarifa waliamua kukimbilia eneo la tukio ambapo walikuta shangazi yao ameuawa na waliofanya mauaji hayo wakiwa wametoweka.

Ofisa Mtendaji wa kijiji hicho, Konrad Kauzeni alisema mwanamke huyo aliuawa kinyama, kwa kukatwa miguu yake yote miwili na kuitenganisha na mwili, kichwa na shingo.

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Said Mtanda ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kasha kuongeza kuwa ataenda kijiji hicho wananchi wapige kura za maoni ili kuwabaini wauaji hao.
 
nozzah

nozzah

Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
59
Likes
73
Points
25
Age
36
nozzah

nozzah

Member
Joined Sep 16, 2016
59 73 25
Apumzike kwa amani na pole kwa familia yake
 
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Messages
4,584
Likes
2,660
Points
280
Babkey

Babkey

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2010
4,584 2,660 280
Doh!!!!
 
harder king

harder king

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
2,478
Likes
3,353
Points
280
Age
30
harder king

harder king

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
2,478 3,353 280
Watu wasiojulikana sijui ad lini R.I.P mtanzania mwenzetu.
 
Ilitarakimura

Ilitarakimura

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2016
Messages
2,516
Likes
1,426
Points
280
Age
49
Ilitarakimura

Ilitarakimura

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2016
2,516 1,426 280
Dawa ni kuwaroga tu hao wapuuz,tumechoka kusikia habar za Watu wasiojulikana wakifanya ukatil wa kutisha
 

Forum statistics

Threads 1,251,904
Members 481,940
Posts 29,789,806