Uchaguzi 2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Chadema hawatakaa wamsahau Magufuli. Na hapo akiapishwa hakuna siasa mpaka 2025, mkija kujikung'uta mnaanza kugawa ubwabwa pale Ufipa. Asanteni watanzania kwa kuwapa mikwaju ya kisawasawa.
Hili sio la kufurahia hasa kwa mtu mwenye uelewa mpana wa maswala ya siasa na kwa maslahi mapana ya nchi
 
Chadema hawatakaa wamsahau Magufuli. Na hapo akiapishwa hakuna siasa mpaka 2025, mkija kujikung'uta mnaanza kugawa ubwabwa pale Ufipa. Asanteni watanzania kwa kuwapa mikwaju ya kisawasawa.
Tutakaoumia Ni wananchi sio wanasiasa.Naona mambo yatakavyokuwa magumu 2020-2025
 
Si jambo la kuona kwamba ccm imepata ushindi mnono na kufuraia,furaha ni itakuja pale tu watakapotekeleza matarajio ya wananchi,kuwapa furaha
 
Back
Top Bottom