stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,385
- 3,494
Inauma saana hii miaka mitano bila baba levo itakuwa ni ya dhiki saana kwa vijana
We jamaa kweli upo emotional, lakini ndo ivo sasa utafanya nn maisha lazima yasogee, kuna next time
Inauma saana hii miaka mitano bila baba levo itakuwa ni ya dhiki saana kwa vijana
Kuna wapuuzi wataendelea kuamini matokeo haya.
Nipo Malafyale, naona vumbi tu zinavyotimka!Duh za masiku nkamu, umepotea sana kada wa CCM
Mungu wangu,, hivi kumbe Lisu na chadema ni bure kabisa
Tutakaoumia Ni wananchi sio wanasiasa.Naona mambo yatakavyokuwa magumu 2020-2025