Ninazozijua mimi so far ni 3Kwamba alikuwa nazo ngapi?
Pole sana bwana mzee, ishi tu usitumie nguvu sana kupata attention kwa watu.. najua mangosha huwa washamba sana(samahani lakini)Mzee hao ni maadui wanapenda uchonganishi Kamwe Usi pay attention kwao na nia yao huwa wanapenda kufanya intelligent minds kuonekana illiterate kwa kumzushia vitu vya ajabu.
Kumbe JF hua kuna umaarufu pia?Kwa hiyo ni mimi tu ambaye sijawahi kuwa katika A 'list ya wana Jf maarufu
🤨🤨..
Yote kwa yote, tafuta watu wakupende mkuu maana obsession ya kutaka kuonekana na kukubalika kwa strangers. Si dalili nzuri
Wewe ni mkorofi sana nakujua De Gunner.....Sasa wewe si ndo ulipoteaga kabisa humu? Kuna ban zilitembezwa kama njuguu humu
Mimi ni ngosha mjanjaPole sana bwana mzee, ishi tu usitumie nguvu sana kupata attention kwa watu.. najua mangosha huwa washamba sana(samahani lakini)
Sawa kuwa millennials hakufanyi usiwe mdogo wangu 🤣Hahahaha.
Mimi ni millenial mwenzako Umesahau?
Unajua usipo kuwa na mental stamina humu jf utapasikia tu😂 imenibidi sasa nianze kufilter watu mapema.
Pole.Sina aibu
Aibu mtaona nyie.
Na uzuri ni kwamba haja yangu ya yule member kupigwa ban ilitimia pia
Hivi kweli kabisa unadhani umenipiga gape la miaka mingap? Ukienda sana mi3 tu which of course we're age mates wazuri tu.Sawa kuwa millennials hakufanyi usiwe mdogo wangu 🤣
Utulie basi, mi mbona sijawahi kupigwa ban tangu nijiunge JF.
Huwezi kunifananisha mimi na mshana au Kiranga katika kufahamika jukwaani. Yes wao ni maarufu na wana ushawishi zaidi kutokana na vitu au maoni wanayosheaKumbe JF hua kuna umaarufu pia?
Umaarufu wa Fake ID's,hiki ni kichekesho aisee.
Inategemea na ukweli wenyewe...Ahaaa I never could've guessed that.
Mimi sio mkorofi mimi ni mwongea ukweli na wengi hawapendi.
Moderator waliunga tu proxies zake ila ID yake kuu wameiacha.Akabadili kua jina gani
Nilijua tu lazima likutoke winga wewe😂I’d yako ya kike vipi sasa tuwaambie mod nayo waiunge? Tatizo unapenda kujipa umuhimu na ujuaji.
Wewe role model wa nani 😹
Wajinga hawaishi..!!