Mbaya wenu karudi

Mbaya wenu karudi

Guys am back...

Better than who I was...

Ni mimi de Gunner. Tafadhari Moderator rudisheni jina langu la de Gunner

Maisha ya ban mabaya sana, it's not worth it. Najua humu kuna anonymous IDs ila isikufanye ukwa big headed kujifanya unaweza kuvuka mipaka.

Hakika nilizidisha egoism, imagine inaipa staff ya JF na mods masaa kadhaa eti wampige ban mtu kwa matakwa yangušŸ˜‚ guys, it was insane.

Ila yote kwa yote, the ban was necessary Hakika nimekuwa now. Kuna watu humu walikuwa wananiona kama role model ila ile incident iliyo tokea ilinishusha viwango and I know that kuna watu watakuwa wananipersieve kivingine from now onwards. Yes, ndo imeisha tokea I have to lay in the bed I made.

Wale wote nilokuwa tunakwazana humu just know I was playing, ila nilizidisha mashambulizi which of course it turns into chaos. Wakuu now am well behaved, thanks for ban.

I even picked up some good habits

Currently reading...THINK BIG
View attachment 3638735

Lakini pia nimekuja kujua jf isn't a home great thinkers kuna mchanganyiko wa aina mbali mbali za watu...

Kuna walevi, kuna malaya, kuna mashoga, kuna wajinga, kuna werevu, wajuaji, kuna matapeli, kuna watu wenye nongwa na stress, kuna wenye nogwa. It's like any social community containing all kinda people.

Lakini pia kuna watu wenye like mind pia, watu ambao unaweza kuvibe nao, hao ndo watu wa ku focus nao. Tusipoteze muda ku seek validation.

We waste our time and energy to wake up a sick society. As jiddu Krishnamurti puts it
View attachment 3638737

Kwa Wale watani wangu matani yako pale pale. Maisha yaendelee nilowaudhi siombi msamaha na nyie mliniudhi vile vile.

Tuishi kigumu hivyo hivyo. Sometimes comformity willake you invisible in this world.

Wamatumbi tuta endelea kukumbushana kama kawaida tu. Ila sasa hivi itakuwa kiutu uzima sio kufokeanašŸ˜‚

meghan markle min -me ephen_ binti kiziwi Binti wa zamani
Kula ndimu mimba Bado changa hio
 
Nimekuona kwa ID ya De Gunner na ku-interract na wewe mara kadhaa, nikajua ni kijana anayejitambua sana kutokana na michango yako.

Lakini binafsi mtu mwenye multiple IDs kwa forum ambayo haimuingizii kipato chochote naona kama ana shida mahali, nini sababu ya kuwa na IDs nyingi?

Huwa najitanga sana na watu wa aina yako, maana anaweza kuongea na wewe kwa ID A na kukusema vibaya kwa ID B. Kwangu bwana De Gunner umejishushia heshima kubwa sana.
 
Mzee, vijana wa hivyo wengi unakuta wanawashwa kutafuta engagement na umaarufu, haitoshi kabisa akaamua kujiita eleven jina la kike.

Hakuna mtu hapo
 
Nimekuona kwa ID ya De Gunner na ku-interract na wewe mara kadhaa, nikajua ni kijana anayejitambua sana kutokana na michango yako.

Lakini binafsi mtu mwenye multiple IDs kwa forum ambayo haimuingizii kipato chochote naona kama ana shida mahali, nini sababu ya kuwa na IDs nyingi?

Huwa najitanga sana na watu wa aina yako, maana anaweza kuongea na wewe kwa ID A na kukusema vibaya kwa ID B. Kwangu bwana De Gunner umejishushia heshima kubwa sana.
Actually, nilibugi mimi sio mtu wa namna hiyoo. Nawalijua tu maana it isn't my thing hizo tabia sio zangu kabisa ni vile tu sometimes we look for ways to justify our egos

Ni kweli kuna members wengi sana wataniona kivingine na there is nothing I can do about it. I know who I am and that's enough
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom