Mbaya wenu karudi

Mbaya wenu karudi

Hii JF kuna vijitu vinapenda kujipa umuhimu ambao wala havina,

Kumbe JF mtu anaweza akawa anaandika ujinga ujinga tu kila dakika,halafu akilini mwake anajiaminisha kua yeye ni bonge la GT ! Kumbe watu wanamchora tu.
Na mods wanamtetea nimeandika comment kua mleta mada hana akili, wamefuta
 
Na mods wanamtetea nimeandika comment kua mleta mada hana akili, wamefuta
Lazima wafute maana ni chuki binafsi. Na uchochezi wa ku fanya mtu achukie na ajihisi wa chini. Ubaya ni kwamba nimesha vuka hizo level
 
Hehehehehe! Sasa umenisanua kumbe ni hili?
Nilikua namwambia una matatizo ya akili sababu alionesha dalili mapema
Issueni kuwa watu wengi mnapenda vurugu na uchochezi wa kijinga na mnapenda kuwafanya wengine wajione less, ila hamjui ya kuwa si kila mtu ana operate kwenye mental OS yenu. Kila mtu ana haki ya kuwa vile atakavyo na anauhuru wa kufanya atakacho bila ya kuwa bugdhi wengine
 
Unanichekesha vile inavyokuA mnyonge kwa mame no ya watu wa jf ambao hamjuani.
Naweza kukufanya ujihisi kua chini ili hali hunijui sikujui, inashangaza..!
 
Unanichekesha vile inavyokuA mnyonge kwa mame no ya watu wa jf ambao hamjuani.
Naweza kukufanya ujihisi kua chini ili hali hunijui sikujui, inashangaza..!
Sasa kama ni hivyo mbona unaongea lugha mbaya? Kwanini Usi apply hiyo mentality mapema kabala hujachapa maneno kwa keyboard
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom