Mbaya wenu karudi

Mbaya wenu karudi

Mzee, vijana wa hivyo wengi unakuta wanawashwa kutafuta engagement na umaarufu, haitoshi kabisa akaamua kujiita eleven jina la kike.

Hakuna mtu hapo
Naweza kukubaliana na wewe, kijana ana changamoto, ajirekebishe, umaarufu unakuja tu kwa kuandika vitu vinavyogusa maisha ya watu na kuchangia mada vizuri. Sio kutengeneza personalities tofauti.
 
Mr. Nanii while you were away jf paid all members 200k for bein respectful and humble. While you were away we used to drink 3beers each from jf. While you were away we held a meeting on how to get Seran back, ni hayo tu
Kwa akili zake ataenda kuwagombeza mods ili na yeye apewe
 
Naweza kukubaliana na wewe, kijana ana changamoto, ajirekebishe, umaarufu unakuja tu kwa kuandika vitu vinavyogusa maisha ya watu na kuchangia mada vizuri. Sio kutengeneza personalities tofauti.
Bwashee, hivi wanalipwa?
 
Actually, nilibugi mimi sio mtu wa namna hiyoo. Nawalijua tu maana it isn't my thing hizo tabia sio zangu kabisa ni vile tu sometimes we look for ways to justify our egos

Ni kweli kuna members wengi sana wataniona kivingine na there is nothing I can do about it. I know who I am and that's enough
Work on you, usishindane..humu hakuna mashindano na hutakuja kutangazwa mshindi siku moja.
Multiple ID za nini!!
 
Mzee, vijana wa hivyo wengi unakuta wanawashwa kutafuta engagement na umaarufu, haitoshi kabisa akaamua kujiita eleven jina la kike.

Hakuna mtu hapo
Eleven jina la kike? Sikujua mimi ni life path number yangu hiyoo
 
Jibu swali, kwa nini unakuwa na IDs mbili?
Ile ilikuwa kama back up, au nikitaka kuanzisha vitu personal ila haina haja the filter nilikuwa nadhani ipo ilikuwa illusion. Kuna wengi tu humu wana ID nyingi
 
Hii JF kuna vijitu vinapenda kujipa umuhimu ambao wala havina,

Kumbe JF mtu anaweza akawa anaandika ujinga ujinga tu kila dakika,halafu akilini mwake anajiaminisha kua yeye ni bonge la GT ! Kumbe watu wanamchora tu.
 
Ni uoga wa maisha tu, mbona wengine sisi tunaanika utupu wa akili zetu kwenye ID moja tu mwanzo hadi mwisho.

Kuna muda kweli akili zinahama unakuta mtu hana hoja ila tunajiamini hivyo hivyo kiume, uzuri wa JF hatujuani bana
 
Hii JF kuna vijitu vinapenda kujipa umuhimu ambao wala havina,

Kumbe JF mtu anaweza akawa anaandika ujinga ujinga tu kila dakika,halafu akilini mwake anajiaminisha kua yeye ni bonge la GT ! Kumbe watu wanamchora tu.
Kuna kitu huwa napenda kujiona mimi ni wa muhimu sana. Na ni najua mimi ni wa muhimu. Kila mtu anapaswa kuwa hivyo. Usipo jipa umuhimu nani atakupa?

No body on this world can talk me out of it. Never.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom