Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Huyu mbatia hata kwene hutoba ya Dk Slaa hakutokea na wala sio mwanaChadema kilichokuuma ni nini wakati chadema wanae msemaji mkuu wa Chama wewe ni nan ndani ya Chadema na kama umeongea kama ukawa kwann hao wakubwa wa Ukawa wanaojitokeza kuongea kila Mara wasiongee hata kwa hili kama kawaida yao?

Kafute kwanza hizo tongo kwenye macho
 
Ni kweli brother. Naweza kupata siti huko? Nina skendo fulani imenikalia kooni sasa naona namna rahisi ya kuituliza ni kuhamia huko kwenu.

Karibu mkuu, huku Kwetu ni kiingilio tu. Ukifika bei, mapambano ya kukusafisha tuachie sisi. Wewe ni kula bata tu.
 
Huyu mbatia hata kwene hutoba ya Dk Slaa hakutokea na wala sio mwanaChadema kilichokuuma ni nini wakati chadema wanae msemaji mkuu wa Chama wewe ni nan ndani ya Chadema na kama umeongea kama ukawa kwann hao wakubwa wa Ukawa wanaojitokeza kuongea kila Mara wasiongee hata kwa hili kama kawaida yao?

Mtataga tu safari hii ndio.maana tuliunda Ukawa
 
Anajifanyaaa anauchungu na wtz. Kumbe ashavuta mpunga kwa lowasa. Anatucheka tu
 
Huyu mbatia hata kwene hutoba ya Dk Slaa hakutokea na wala sio mwanaChadema kilichokuuma ni nini wakati chadema wanae msemaji mkuu wa Chama wewe ni nan ndani ya Chadema na kama umeongea kama ukawa kwann hao wakubwa wa Ukawa wanaojitokeza kuongea kila Mara wasiongee hata kwa hili kama kawaida yao?

ni kweli hayamhusu na alishindwa kujibu tamko la dr slaa
 
wana ukawa ni watoto wa baba mmoja hata cuf anaweza jibu hoja kwa niaba ya chadema
 
Mbati ni mwenyekiti mwenza wa ukawa na katiba ya ukawa mwenyekiti mwenza anayo mamlaka ya kuongea pale anapoona kuna ki virus. Kinaanza kunyemelea au kuvunja umoja huo.yuko sasa .sasa lati ya mbatia na slaa nani ni mwema
 
Mbatia hajui lolote kuhusu lini, wapi na nini viongozi wa chadema walikubaliana kuhusu LOWASSA kuhamia kwao. Hana sifa ya kujibu tuhuma za Dr. Slaa. Tundu Lissu ni mwanasheria wa Chadema, lakini kwa kinywa chake anakiri Dr. Slaa hakumshirikisha kuhusu Lowassa kwenda CHADEMA na hata SLAA amesema kuwa alipigiwa simu na Mshenga(Gwajima) wakaenda kwa Mwenyekiti na hapo ndipo hoja za LOWASSA NI ASSET AU LIABILITY ilipoanzia. Kwa mantiki hiyo, Lissu amepoteza sifa ya kumjibu Dr. Slaa. Prof. Safari alijua ujio wa Lowassa kuhamia Chadema, pale Slaa alipompelekea barua ya kujiuzulu, barua ambayo , Safari ameiita KIMEMO TU kana kwamba kuna masharti kwamba barua ya kujiuzulu lazima iwe GAZETI ZIMA. Kwa mantiki hii, Safari hawezi kujua chimbuko la LOWASSA NI ASSET AU LIABILITY. Gwajima ni mbali na kwamba ni MSHENGA TU, pia ni kiongozi wa DINI, viongozi wa dini wanaaswa kuwahamasisha waumini wao umuhimu wa kuwachagua viongozi wanaofaa kwa njia ya amani, kitendo cha yeye kuwa MSHENGA(kuweka kumbukumbu sawa, mshenga hafanyikazi bila malipo) ni kuwadhalilisha waumini wake, kulidhalilisha dhehebu lake na kukidhalilisha chama ambacho ANAKISHENGEA.

Dr. Slaa ajibiwe na MBOWE aliyempeleka Lowassa Chadema.
 
Kasema mwenyewe slaa kwamba yeye ndo alimtaarifu mbowe juu ya ujio wa lowassa sasa mbona unageuza maneno ili kupotosha halafu iweje???????
 
Mkuu umeongea kweli tupu...napata ukakasi Mbowe kuwa kimya
 
watanznia kwa moyo wa dhati kabisa tuko tayari kwa mabadiliko na kuhakikisha hili tumeamua kuwa tutamchagua mh. Lowasa kuwa raisi wa tano wa jmt.
 
Kuna CHADEMA ASILI na kuna CHADEMA LOWASSA. Hawa CHADEMA LOWASSA hawawezi kumuelewa Dr. Slaa alichosema, watamtukana na kumkashifu sababu hawa ni wahamiaji tu, hawajui uchungu wa CHADEMA. Hawajui mchango wa Dr. Slaa kwa CHADEMA.Hawa ni "friends of Lowassa" 4U MOVEMENTS; ni wahamiaji tu, hawa ndio kila siku wanaandika "ulipo tupo". Lowassa alipokuwepo CCM walikuwa nae. sasa hivi yupo CHADEMA wako nae. Lakini kuna kundi la wanachama, hawa ni CHADEMA asili. CHADEMA asili wanajua uchungu wa CHADEMA, wanamuheshimu Dr. Slaa kama CCM wanavyomuheshimu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere! Hawa CHADEMA asili wanaujua mchango wa Dr. Slaa kwa CHADEMA. Wanafahamu wazi kuwa Dr Slaa ndio aliyekijenga CHADEMA na kufikia hapo kilipo. Kamwe maisha yao yote hawawezi kumpuuza na kumdharau Dr. Slaa. CHADEMA asili ndio wanajua walipotoka na CHADEMA mpaka leo hii. Hawa ni vijana ambao kwao Dr. Slaa ni "hero". Hawa vijana ndio watakao washa moto usiozimika CHADEMA! ....."friends of Lowassa" ni wahamiaji tu, na hawana uchungu na CHADEMA. Kilicho wapeleka pale ni Lowassa tu. Hawa ni watu wasiomjua Dr. Slaa na kwao hana dhamani yoyote ile, hawa ndio watu tunao waona hapa JF wakimtukana Dr. Slaa kwa kila aina ya matusi. Viongozi wa CHADEMA dhambi hii itawatafuna siku zote za maisha yenu. Dhambi ya kuuza chama kwa "fisadi Lowassa" kamwe haitawaacha mkae kwa amani.

maamuzi yoyote yana hitaji sacrifies,alipokuja E.L CDM ni wazi chochote kingetokea ndani ya CDM kama alivyokatwa E.L kule CCM so wahusika wanapima kipi ni bora juu ya kingine.acha kulalama kama mwanamke Be a man,sheria za mchezo ni rahisi upendezwi na kilichotokea-your free to go.
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia siyo msemaji wa Lowassa wala msemaji wa CHADEMA. Kwanini tuhuma za Slaa kwa CHADEMA na Lowassa uje kuzijibu wewe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi?

Umenunuliwa kwa sh ngap?

Acha kutumika mzee.

Ni heri... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Mbatia ni mwanaukawa hivyo ana haki ya kumtetea mgombea wa urais kupitia ukawa, Naomba nikuulize hivi Slaa ni msemaji wa cdm? si anasema ameshajiondoa kwenye chama sasa iweje awasemee cdm? Naona wanaccm mmejazana na usalama wa taifa mnajaribu kuangalia impact ya Dr. Slaa kwa umma, lakini kwa bahati mbaya hamjajua tatizo ni chama cha ccm na watu wanataka mabadiliko na badiliko la kwanza kabisa ni kuiondoa ccm mengine baadae.
 
Slaa mwenyewe ndio amempeleka Lowasa chadema, na yy ndie aliesema lowasa alisema anakuja na wabunge na wenyeviti, sasa ajibiwe nini? Tunataka slaa aseme kwa nini alileta wazo la Lowasa kwenda chadema, kushiriki vikao vyote vya kumpokea lowasa, kuwepo siku lowasa anatambulishwa. Aseme kwa nini amewageuka wana UKAWA wote? Mbowe hausiki hata kidogo hapo.
 
Yaani wewe hata kuku ana kumbukumbu, unataka aongee aliye mleta lowassa Chadema kwani hukumsikia Slaa akisema yeye na ngwajima ndio walimpeleka lowassa kwa Mbowe? una akili kweli wewe? au unatumika.

napo juu unasema, unajua sukuelewi wewe huna hoja kabisa, au unacho kitetea hukijui basi
 
Back
Top Bottom