mingane kabika
Member
- Sep 7, 2014
- 89
- 31
Ccm watatumaliza miaka kumi tena naomba nisiwe tz maana ni aibu
Kwa sababu ni Mushi endelea na matamanio yako!
Ccm watatumaliza miaka kumi tena naomba nisiwe tz maana ni aibu
Mbatia hajui atendelo chama chake kinamshinda anafocus vyama vya watu wengine he pretend yupo smart kumbe kilaza tu shoga waheed.
Unatumia nguvu nyingi mno kujenga hoja yako na umechanganya mambo lukuki kiasi kwamba inakuwa vigumu kufuatilia hoja yako ya msingi ni ipi. Mtindo huu wa utoaji hoja waachie magwiji akina Antipas wamezoea. Na matusi kwenye hoja siku hizi yameshapitwa na wakati. Punguza jazba na watu wa level yako watakuelewa tu.Mtoa mada nimekosa tusi bora la kukutukana kwa jinsi ulivyo mshenzi,ujue kuwa MUNGU amesema nasi kuwa wote watakaoipigia kura ccm siku zao za kuishi zitapunguzwa na MUNGU mwenyewe na pia Lowassa ndo rais wa Tanzania 2015-2025,waambie wenzako mtafute nchi ya kwenda maana MUNGU amechoka na umaskini mliowapatia watanzania ktk taifa lenye raslimali nyingi alilotupatia,mnaweweseka risasi yenu ya mwisho ilikuwa slaa na imemisi target na kupiga mti,mlidhani upuuzi wa slaa ungeitikisa nchi na kushusha nguvu ya upinzani lakini wapi,kwa kweli lumumba mnatia huruma sana,mlimtanguliza Lipumba lakini hakuna mlichovuna zaidi ya pumba,mkaona labda slaa mngepiga bao lakini yamekuwa yaleyale,subiri 25 oct ndo mtajua kama kachumbari ni mboga au huwa inasaidia tu,nyie kwa akili zenu ndogo mnadhani mnaweza kuzuia mabadiliko? Kweli nyie ni wajinga sana,bahati mbaya walioko ccm ni kundi la wajinga wa kutupwa,hakuna intellectual anayeweza kuwa ccm,magufuli eti anatembea na ilani ya ccm utadhani naye ni mpinzani,miaka 54 mlikuwa wap
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.
Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.
Tuhuma za lowassa ajibu yye mwenyewe lowasa, kwa nn zijibiwe na mbatia? Afu kwa nn yye anamsafisha lowassa? Ajisafishe mwenyewe
Acha kujitoa ufahamu weweHivi mbona kwenye list ya vyama vinavyogombea mwaka huu hakuna chama chenye jina la UKAWA
Endeleeni kujitoa ufahamu bila kujua NCCR ipo ndani ya UKAWA.
TANZANIA MPYA INAKUJA CHINI UTAWALA WA LOWASA..
mafisadi mjiandae kuhama nchini
Ashukuru jk kamuhurumi na ubunge wa.kwenye kapu angekuwa.anavuna kahawa alishapotea ktkt siasa
siku ya kufa nyani miti yote huteleza......malofa wanakamata ikulu tarehe 25/10