Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Huyu Mbatia ameshaua chama chake, yeye kila siku anaenda kupokea wanachama wanaojiunga CHADEMA, yeye hakuna hata mmoja aliyejiunga kwake.... Baada ya huu uchaguzi kitakuwa kama UPDP cha Fahmi Dovutwa. Ila kinachomsumbua ni uchu wa madaraka
 
Mleta Mada

Ungekuwa mkweli ungeuliza kwanini Lowassa anawapigia kampeni Na kuwanadi wagombea wa Nccr CUF na Nld ???

Vinginevyo mtulie mpokee kichapo cha mafurikooooooo !!!!!
 
Back
Top Bottom