Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.
Kuna CHADEMA ASILI na kuna CHADEMA LOWASSA. Hawa CHADEMA LOWASSA hawawezi kumuelewa Dr. Slaa alichosema, watamtukana na kumkashifu sababu hawa ni wahamiaji tu, hawajui uchungu wa CHADEMA. Hawajui mchango wa Dr. Slaa kwa CHADEMA.Hawa ni "friends of Lowassa" 4U MOVEMENTS; ni wahamiaji tu, hawa ndio kila siku wanaandika "ulipo tupo". Lowassa alipokuwepo CCM walikuwa nae. sasa hivi yupo CHADEMA wako nae. Lakini kuna kundi la wanachama, hawa ni CHADEMA asili. CHADEMA asili wanajua uchungu wa CHADEMA, wanamuheshimu Dr. Slaa kama CCM wanavyomuheshimu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere! Hawa CHADEMA asili wanaujua mchango wa Dr. Slaa kwa CHADEMA. Wanafahamu wazi kuwa Dr Slaa ndio aliyekijenga CHADEMA na kufikia hapo kilipo. Kamwe maisha yao yote hawawezi kumpuuza na kumdharau Dr. Slaa. CHADEMA asili ndio wanajua walipotoka na CHADEMA mpaka leo hii. Hawa ni vijana ambao kwao Dr. Slaa ni "hero". Hawa vijana ndio watakao washa moto usiozimika CHADEMA! ....."friends of Lowassa" ni wahamiaji tu, na hawana uchungu na CHADEMA. Kilicho wapeleka pale ni Lowassa tu. Hawa ni watu wasiomjua Dr. Slaa na kwao hana dhamani yoyote ile, hawa ndio watu tunao waona hapa JF wakimtukana Dr. Slaa kwa kila aina ya matusi. Viongozi wa CHADEMA dhambi hii itawatafuna siku zote za maisha yenu. Dhambi ya kuuza chama kwa "fisadi Lowassa" kamwe haitawaacha mkae kwa amani.
 
TUhuma zilielekezwa kwa UKAWA, and Mbatia ni ukawa sioni shida
 
Dr Slaa ameongea katika level ya form two. Nilitaka aseme yafuatayo

-kama mitambo ililetwa ama haikuletwa maana mitambo ipo ubungo na Obama aliizindua na kuisifia je nani mwenye mitambo? maana anasema hakuna kampuni kama Dowans wala Richmund-anadai tunawalipa fedha nyingi je tunamlipa nani?

-Je si mitambo hiyohiyo zitto alishauri serekali iinunue serekali ikakataa?
-anasema shule za kata hazitadumu si kweli mbona nazifahamu nyingi tu na zimejengwa kwa uimara mkubwa ? je hizo shule ndio zinamtoa kwenye siasa? hizo shule imara kulko nyingi za binafsi .

-Anadai lowassa kazamisha fedha za maji za world bank ,kwa nini hakuchukuliwa hatua?Issue hiyo ipo katika ripoti gani? anadai yeye ndio alishiriki zaidi katika wazo la shule za kata akiwa anatafiti afrika mashariki na indonesia je hiyominaondoaje sifa yake ya kuzisimamia.je kwani tunapomsifu kiongozi mf nyerere tunadhani anachoagiza ni mawazo yake ama ya wataalam wake ?aache chuki iliyopitiliza. namdharau sana huyu bwana.

-Amesema ametishwa sana baada ya kutoka CDM mbona hakuelezea akabaki kuelezea kutishwa kwake na Rosta kipindi akiwa mbunge mbona vitisho vya sasa hasemi?
-Mbona hamhusishi Mbowe kwenye malalamiko yake ni nani anaowalalamikia?hana mpangilio wa mawazo
Kuna CHADEMA ASILI na kuna CHADEMA LOWASSA. Hawa CHADEMA LOWASSA hawawezi kumuelewa Dr. Slaa alichosema, watamtukana na kumkashifu sababu hawa ni wahamiaji tu, hawajui uchungu wa CHADEMA. Hawajui mchango wa Dr. Slaa kwa CHADEMA.Hawa ni "friends of Lowassa" 4U MOVEMENTS; ni wahamiaji tu, hawa ndio kila siku wanaandika "ulipo tupo". Lowassa alipokuwepo CCM walikuwa nae. sasa hivi yupo CHADEMA wako nae. Lakini kuna kundi la wanachama, hawa ni CHADEMA asili. CHADEMA asili wanajua uchungu wa CHADEMA, wanamuheshimu Dr. Slaa kama CCM wanavyomuheshimu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere! Hawa CHADEMA asili wanaujua mchango wa Dr. Slaa kwa CHADEMA. Wanafahamu wazi kuwa Dr Slaa ndio aliyekijenga CHADEMA na kufikia hapo kilipo. Kamwe maisha yao yote hawawezi kumpuuza na kumdharau Dr. Slaa. CHADEMA asili ndio wanajua walipotoka na CHADEMA mpaka leo hii. Hawa ni vijana ambao kwao Dr. Slaa ni "hero". Hawa vijana ndio watakao washa moto usiozimika CHADEMA! ....."friends of Lowassa" ni wahamiaji tu, na hawana uchungu na CHADEMA. Kilicho wapeleka pale ni Lowassa tu. Hawa ni watu wasiomjua Dr. Slaa na kwao hana dhamani yoyote ile, hawa ndio watu tunao waona hapa JF wakimtukana Dr. Slaa kwa kila aina ya matusi. Viongozi wa CHADEMA dhambi hii itawatafuna siku zote za maisha yenu. Dhambi ya kuuza chama kwa "fisadi Lowassa" kamwe haitawaacha mkae kwa amani.
 
Ile kashfa ya kikekike miaka iliyopita iliishia wapi?
Mtu wa namna hiyo hata siku moja hawezi kuwa na msimamo.
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

sio kweli ni uonavyo wewe na team yako....
 
Ulitaka nani ajibu? Mbatia yupo ukawa na slaa ametuhumu pia ukawa
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Mbatia Ni Lofa.Na Uwezo Wa Kumsemea Lowassa Kuhusu Kashfa Ya Richmond.Na Hana Hadhi Ya Kumjibu Dr.Slaa.
Tunamtaka Lowassa Yeye Mwenyewe Kwa Kauli Yake Ajibu Hizi Tuhuma.Na Kama Kweli Yeye Ni Mtu Safi.Na Hakuhusika Ktk Kashafa Ya Richmond.Na Dk.Slaa Anamchafua Hadharani Kwa Kumuonea.Afanye Mahamuzi Magumu Ampeleke Dr.Slaa Mahakamani.Hasitupe Majibu Rahisi Kua Dr.Slaa Hana Hadhi Ya Kumfanya Mdahalo Na Yeye.Anakubali Vp Kuchafuliwa Hadharani Tena Kupitia Vyombo Vya Habari Vya Tv Na Radio Halafu Anakaa Kimya.Ukimya Wake Ni Ushahidi Tosha Kua Yeye Ni Fisadi Na Yote Anayotuhumiwa Dhidi Yake Ni Ya Kweli.Vngnevyo Atoe Hata Tamko La Kukanusha.
 
Lofa katika ubora wako dah! Eti Tanzania mpya. Kazana na mishe mishe za maisha yako. Ukitegemea wanasiasa eti wanakuletea Tanzania mpya utakufa masikini!

Wewe si lofa ndo maana hujui wajibu wako kama mtanzania,,,,majitu mengine sijui ikoje siasa inamaana kubwa sana kwa maisha yangu na ya huyo lofa unaemsema
 
Wewe mtoaji was hoja hii naona hauko Tanzania,yaweezekana hats hujui maana ya UKAWA
 
Wewe mtoaji was hoja hii naona hauko Tanzania,yaweezekana hata hujui maana ya UKAWA
 
Wewe si lofa ndo maana hujui wajibu wako kama mtanzania,,,,majitu mengine sijui ikoje siasa inamaana kubwa sana kwa maisha yangu na ya huyo lofa unaemsema
Hee ndugu usilazimishe wote tufikiri kama unavyofikiri wewe. Eti sijui wajibu wangu kama Mtanzania. Wewe ungekuwa unaujua ungekuwa umegeuzwa zombie bendera fuata upepo na mazingaombwe haya ya gia za angani? Tanzania itaokolewa na watu wanaofikiri wenyewe na wasiojishabihisha na siasa hizi mchafukoge zilizolenga kupambazusha ego za watu. THINK!!!

By the way, lofa siyo tusi kwa wanaUKIWA. Kwenye mikutano yao mabango yanayosema "Malofa katika ubora wetu" Ndo yametawala. Unaishi nchi gani wewe?
 
Mtoa mada nimekosa tusi bora la kukutukana kwa jinsi ulivyo mshenzi,ujue kuwa MUNGU amesema nasi kuwa wote watakaoipigia kura ccm siku zao za kuishi zitapunguzwa na MUNGU mwenyewe na pia Lowassa ndo rais wa Tanzania 2015-2025,waambie wenzako mtafute nchi ya kwenda maana MUNGU amechoka na umaskini mliowapatia watanzania ktk taifa lenye raslimali nyingi alilotupatia,mnaweweseka risasi yenu ya mwisho ilikuwa slaa na imemisi target na kupiga mti,mlidhani upuuzi wa slaa ungeitikisa nchi na kushusha nguvu ya upinzani lakini wapi,kwa kweli lumumba mnatia huruma sana,mlimtanguliza Lipumba lakini hakuna mlichovuna zaidi ya pumba,mkaona labda slaa mngepiga bao lakini yamekuwa yaleyale,subiri 25 oct ndo mtajua kama kachumbari ni mboga au huwa inasaidia tu,nyie kwa akili zenu ndogo mnadhani mnaweza kuzuia mabadiliko? Kweli nyie ni wajinga sana,bahati mbaya walioko ccm ni kundi la wajinga wa kutupwa,hakuna intellectual anayeweza kuwa ccm,magufuli eti anatembea na ilani ya ccm utadhani naye ni mpinzani,miaka 54 mlikuwa wap
 
Hivi yule mlinzi wa dokta aliishia wapi?
 
Back
Top Bottom