Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Mbatia hajui lolote kuhusu lini, wapi na nini viongozi wa chadema walikubaliana kuhusu LOWASSA kuhamia kwao. Hana sifa ya kujibu tuhuma za Dr. Slaa. Tundu Lissu ni mwanasheria wa Chadema, lakini kwa kinywa chake anakiri Dr. Slaa hakumshirikisha kuhusu Lowassa kwenda CHADEMA na hata SLAA amesema kuwa alipigiwa simu na Mshenga(Gwajima) wakaenda kwa Mwenyekiti na hapo ndipo hoja za LOWASSA NI ASSET AU LIABILITY ilipoanzia. Kwa mantiki hiyo, Lissu amepoteza sifa ya kumjibu Dr. Slaa. Prof. Safari alijua ujio wa Lowassa kuhamia Chadema, pale Slaa alipompelekea barua ya kujiuzulu, barua ambayo , Safari ameiita KIMEMO TU kana kwamba kuna masharti kwamba barua ya kujiuzulu lazima iwe GAZETI ZIMA. Kwa mantiki hii, Safari hawezi kujua chimbuko la LOWASSA NI ASSET AU LIABILITY. Gwajima ni mbali na kwamba ni MSHENGA TU, pia ni kiongozi wa DINI, viongozi wa dini wanaaswa kuwahamasisha waumini wao umuhimu wa kuwachagua viongozi wanaofaa kwa njia ya amani, kitendo cha yeye kuwa MSHENGA(kuweka kumbukumbu sawa, mshenga hafanyikazi bila malipo) ni kuwadhalilisha waumini wake, kulidhalilisha dhehebu lake na kukidhalilisha chama ambacho ANAKISHENGEA.

Dr. Slaa ajibiwe na MBOWE aliyempeleka Lowassa Chadema.

Shida yako ni Mbowe tu.. haya jisomee hapo chini,

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...oa-msimamo-mzito-kuhusu-wanaoasi-mageuzi.html
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia siyo msemaji wa Lowassa wala msemaji wa CHADEMA. Kwanini tuhuma za Slaa kwa CHADEMA na Lowassa uje kuzijibu wewe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi?

Umenunuliwa kwa sh ngap?

Acha kutumika mzee.

Ni heri... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Wewe ndiwe unatumika maana habari za upinzani zinakuhusu nini wewe kama si unafiki wenu tu?
huyo Mbatia akiongea wewe inakuhusu nini?
Ulitaka aongee mambo ya CCM
 
kumbe na wewe umestuka...hapa Singida ndio tulikuwa tunajadili leo jioni...huyu bwana amekuwa kipaza sauti cha mamvi. shame on him.

Mbona Kikwete anatumia Urais kumnadi mgombea wa CCM na sisi hatusemi?
 
huyu mbatia huyu ni mtu asiye na misimamo kabisa , anayumbishwa sana na kushikiwa akili na kina zero, hajielewi hajitambui
 
wengne hamna hats uelewa ila mnasumbuliwa ushabiki tafadharin badiliken Dr. namsifu sana hata mie nimeungana nae kwa moyo wa dhat
 
Nikimtizama Mbatia naona anafaa zaidi kuwa wakili wa mafisadi kuliko kuwa mwanasiasa.Nawaomba wanavujo kama kuna zawadi ya maana mnayoweza kumpa Mbatia mnyimeni kura mpeni Mrema.
 
Wasiolewa waache ikishatokea ndio wataelewa mmeshindwa lowassa sasa ni mbatia mtakoma nyie TV rimoti kwa wenye akili anaamua aangali chaneli gani mkikosa yakuongea kaakimya
 
mbatia ana kiherehere sana kwanini na kujitia kunukuu vipande vya biblia wakati biblia yenyewe sidhani kama anaijua aache chadema,lowasa na gwajima wamjibu Dr.Slaa kwani ni watu waliotawa moja kwa moja bila kumsahau Sumaye wakati wa Richmond yeye hakuwepo bungeni
 
Wanasema hata chuoni kwenye mgomo alitumika pia
 
Nikimtizama Mbatia naona anafaa zaidi kuwa wakili wa mafisadi kuliko kuwa mwanasiasa.Nawaomba wanavujo kama kuna zawadi ya maana mnayoweza kumpa Mbatia mnyimeni kura mpeni Mrema.

Wewe wanena bali UKAWA MPANGO MZIMA
 
mbatia ana kiherehere sana kwanini na kujitia kunukuu vipande vya biblia wakati biblia yenyewe sidhani kama anaijua aache chadema,lowasa na gwajima wamjibu Dr.Slaa kwani ni watu waliotawa moja kwa moja bila kumsahau Sumaye wakati wa Richmond yeye hakuwepo bungeni

Taarabu jazz band bali MABADILIKO MPANGO TIMILIFU
 
Back
Top Bottom