Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Lowas anagombea urais kwa chadema au ukawa?Na kama ukawa je mbatia kama mwenyekiti mwenza wa ukawa hana haki ya kumtetea mgombea wao?
 
Dr. Slaa katika hotuba yake pale Serena Hoteli sikusikia kabisaaa, akiongelea Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA, bali ndani ya CHadema. Bado napata tabu kujua sababu ya Mbatia kuwa mtu wa kwanza kujitokeza live kwenye Tv na kupinga yaliyozungumzwa na Dr. Slaa kuhusu ujio wa LOWASSA ndani ya Chadema. Isiwe tabu, labda kuna lililojificha nyuma ya pazia.
Sababu kubwa iliyonifanya niandike Uzi huu ni yale aliyoyasema Mbatia kama moja ya majibu kwa Dr. Slaa


1. Unataka kulipeleka wapi taifa hili, unapowahusisha Maaskofu na kuhongwa pesa? Unataka waumini wao wasiwaamini? Kwanini uwahusishe Maaskofu na siasa nyepesinyepesi za maji taka?


Duh! Mbatia, kwa sababu ni MAASKOFU, wawe mafisadi, wakubali kuhongwa kwa sababu hawatassemwa popote kuepuka kutoaminiwa na waumini wao? Je tuamini kwamba viongozi wengi wa dini ni mafisadi, wala rushwa lakini kwa sababu wana WAUMINI nyuma yao, hakuna wa kuwaumbua kwao?


2. Tuachache na Siasa za uongo, siasa nyepesinyepesi kwa kwa sababu tunapigania kupata KATIBA MPYA KWANZA, na hicho ndicho kipaumbele cha kwanza cha LOWASSA. Mamaaaa, tangu Chadema wamezindua Kampeni zao, ni wapi LOWASSA amesema kipaumbele chake cha kwanza ni kupata KatibaMpya? nakumbuka alisema, ELIMU, ELIMU, ELIMU. Hii Katiba mpya kaisemea wapi, Mbatia naomba andiko, picha, sauti au hata video na hili.
3. Chadema walishamptisha Dr. Slaa kuwa mgombea urais wao na ni yeye(Dr. Slaa) aliyewakataza wasimtangaze kwanza ili kuandaa mbwembwe za kumtangaza. Kwa sababu inaonekana Mbatia unayajua ya Chadema kuliko Chadema wenyewe, tuambie kikao gani kilichobadili mgombea urais wa CHADEMA kutoka Dr. Slaa kwenda Edward Lowassa?
Utumbo mtupu uuu ulichoandika
 
Nasikia leo yupo live tena kujibu tuhuma za Mkewe za zamani. ??
 
Lipumba,Slaa,Mbatia na Mbowe walikuwa wakifanya press conference pamoja na siku wanamualika Lowassa walifanyia CUF Buguruni huku Lipumba akianza kuuliza miaka 8 imepita bila Lowassa kuwa PM,ufisadi umepungua??!!

Leo dhambi Mbatia kuongelea UKAWA??!!

Slaa alikuwa katibu wa UKAWA na Mbatia ni mwenyekiti mwenza,hatakiwi kuongelea UKAWA!!

Hata kama mnalipwa basi tumieni ubongo na akili kidogo!!!
 
Kwenye Ilani ya Lowassa hakuna kitu Kinachoitwa Katiba.

Hivyo Mbatia ni mlaghai.
 
ImageUploadedByJamiiForums1441356792.210506.jpg

Lowassa kapata wenge
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia siyo msemaji wa Lowassa wala msemaji wa CHADEMA. Kwanini tuhuma za Slaa kwa CHADEMA na Lowassa uje kuzijibu wewe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi?

Umenunuliwa kwa sh ngap?

Acha kutumika mzee.

Ni heri... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

wew acha upumbavu na upunguwani na kama mmelipwa kwa kaz maalum mtakiona cha moto
 
vijana wa ccm mmenunuliwa na kuingia kweny jf mnafkr watu n mBurulaz mmechelewa sana
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia siyo msemaji wa Lowassa wala msemaji wa CHADEMA. Kwanini tuhuma za Slaa kwa CHADEMA na Lowassa uje kuzijibu wewe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi?

Umenunuliwa kwa sh ngap?

Acha kutumika mzee.

Ni heri... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Ulitaka atumike lumumba?
 
G
Tuhuma za lowassa ajibu yye mwenyewe lowasa, kwa nn zijibiwe na mbatia? Afu kwa nn yye anamsafisha lowassa? Ajisafishe mwenyewe

Waambie makada wa ccm kina mwakyembe nao wajitokezee tumwulize kuhusu behewa feki za traini,pia samweli sita ajitokeze aulizwe kuhusu ofisi ya spika ya 400 m huko urambo
 
kumbe na wewe umestuka...hapa Singida ndio tulikuwa tunajadili leo jioni...huyu bwana amekuwa kipaza sauti cha mamvi. shame on him.
Sisi tunafanya kampeni kama mmekuja kwa njia hiyo tuanze kujibizana na dr slaa...muda haupo ukawa mbele kwa mbele majibizano kwenye taarabu huko.
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia siyo msemaji wa Lowassa wala msemaji wa CHADEMA. Kwanini tuhuma za Slaa kwa CHADEMA na Lowassa uje kuzijibu wewe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi?

Umenunuliwa kwa sh ngap?

Acha kutumika mzee.

Ni heri... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

dahh asee Kumgusa Lowasa kwa sasa ni sawa umechokoza UKAWA, sababu lowasa ni Mgombea wa UKAWA, sijui kama unaelewa lakini sijua hama unajitoa ufahaamu. pili kaambiwa maaskofu wamehongwa, kwanini asichanganye na zake akapata ukweli badala ya kwenda kuropoka kama alivyo ambiwa na mshenga, kama mshenga kamdanganya je? Sasa si anadanganya Taifa? Sijui kama unaelewa lakini hama wajitoa ufahamu tuu,
 
Kwenye Ilani ya Lowassa hakuna kitu Kinachoitwa Katiba.

Hivyo Mbatia ni mlaghai.

hili janga sasa, Kwenye ilani ya CCM inayomaliza muda hakukuwa na katiba mbona mchakato ulianza, hama.unajitoa ufahamu? Katiba ni maridhiano tu
 
Toka lini wana CCM mkawa na mapenzi mema na UKAWA? hapa LOWASSA TU!!!!!
 
Back
Top Bottom