Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Tembulukoje

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
397
Reaction score
143
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia siyo msemaji wa Lowassa wala msemaji wa CHADEMA. Kwanini tuhuma za Slaa kwa CHADEMA na Lowassa uje kuzijibu wewe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi?

Umenunuliwa kwa sh ngap?

Acha kutumika mzee.

Ni heri... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Dr. Slaa katika hotuba yake pale Serena Hoteli sikusikia kabisaaa, akiongelea Ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA, bali ndani ya CHadema. Bado napata tabu kujua sababu ya Mbatia kuwa mtu wa kwanza kujitokeza live kwenye Tv na kupinga yaliyozungumzwa na Dr. Slaa kuhusu ujio wa LOWASSA ndani ya Chadema. Isiwe tabu, labda kuna lililojificha nyuma ya pazia.
Sababu kubwa iliyonifanya niandike Uzi huu ni yale aliyoyasema Mbatia kama moja ya majibu kwa Dr. Slaa

1. Unataka kulipeleka wapi taifa hili, unapowahusisha Maaskofu na kuhongwa pesa? Unataka waumini wao wasiwaamini? Kwanini uwahusishe Maaskofu na siasa nyepesinyepesi za maji taka?

Duh! Mbatia, kwa sababu ni MAASKOFU, wawe mafisadi, wakubali kuhongwa kwa sababu hawatassemwa popote kuepuka kutoaminiwa na waumini wao? Je tuamini kwamba viongozi wengi wa dini ni mafisadi, wala rushwa lakini kwa sababu wana WAUMINI nyuma yao, hakuna wa kuwaumbua kwao?

2. Tuachache na Siasa za uongo, siasa nyepesinyepesi kwa kwa sababu tunapigania kupata KATIBA MPYA KWANZA, na hicho ndicho kipaumbele cha kwanza cha LOWASSA. Mamaaaa, tangu Chadema wamezindua Kampeni zao, ni wapi LOWASSA amesema kipaumbele chake cha kwanza ni kupata KatibaMpya? nakumbuka alisema, ELIMU, ELIMU, ELIMU. Hii Katiba mpya kaisemea wapi, Mbatia naomba andiko, picha, sauti au hata video na hili.

3. Chadema walishamptisha Dr. Slaa kuwa mgombea urais wao na ni yeye(Dr. Slaa) aliyewakataza wasimtangaze kwanza ili kuandaa mbwembwe za kumtangaza. Kwa sababu inaonekana Mbatia unayajua ya Chadema kuliko Chadema wenyewe, tuambie kikao gani kilichobadili mgombea urais wa CHADEMA kutoka Dr. Slaa kwenda Edward Lowassa?
 
kumbe na wewe umestuka...hapa Singida ndio tulikuwa tunajadili leo jioni...huyu bwana amekuwa kipaza sauti cha mamvi. shame on him.
 
ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... Kuliko mfalme mzee mpumbavu.
pole hujui mbatia ni mwenyekiti mwenza wa ukawa? Na hujui lowassa ni mgombea wa ukawa pole sana kwa kujitoa ufahamu,
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Kwani wewe unatumiwa na nani?
 
Jamaa hajitambui kabisaa anapenda kuongea na vyombo vya habari muda wote ni kama NCCR haina kiongozi mwingine watu hata hawajui kama NCCR kuna katibu au makamu mwenyekiti kafunika wenzake wote muda wote anauza sura yeye tu kwenye vyombo vya habari
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Huyo viti maalumu hana jipya.

Twende na Dr.Magufuli ikulu 2015.
 
pole hujui mbatia ni mwenyekiti mwenza wa ukawa? Na hujui lowassa ni mgombea wa ukawa pole sana kwa kujitoa ufahamu,

Tuhuma za lowassa ajibu yye mwenyewe lowasa, kwa nn zijibiwe na mbatia? Afu kwa nn yye anamsafisha lowassa? Ajisafishe mwenyewe
 
ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... Kuliko mfalme mzee mpumbavu.
huna jipya kijana jaribu c.d nyingine hiyo ni zilipendwa..
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Kila alichosema ni kweli. Hilo halina shaka. Bye the way ni kweli anatumika na watanzania kutetea ukweli.
 
jamaa hajitambui kabisaa anapenda kuongea na vyombo vya habari muda wote ni kama nccr haina kiongozi mwingine watu hata hawajui kama nccr kuna katibu au makamu mwenyekiti kafunika wenzake wote muda wote anauza sura yeye tu kwenye vyombo vya habari

some people run from problems(slaa and like). Others (mbatia, mbowe etc) run to them. We call them heroes!!
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

ni makamu mwenyekiti wa ukawa na aliyekuwa anamtetea ni mgombea uraisi kwa kupitia tiketi ya ukawa,upo!.swali lingine.
 
Back
Top Bottom