Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Dr Slaa ameongea katika level ya form two. Nilitaka aseme yafuatayo

-kama mitambo ililetwa ama haikuletwa maana mitambo ipo ubungo na Obama aliizindua na kuisifia je nani mwenye mitambo? maana anasema hakuna kampuni kama Dowans wala Richmund-anadai tunawalipa fedha nyingi je tunamlipa nani?

-Je si mitambo hiyohiyo zitto alishauri serekali iinunue serekali ikakataa?
-anasema shule za kata hazitadumu si kweli mbona nazifahamu nyingi tu na zimejengwa kwa uimara mkubwa ? je hizo shule ndio zinamtoa kwenye siasa? hizo shule imara kulko nyingi za binafsi .

-Anadai lowassa kazamisha fedha za maji za world bank ,kwa nini hakuchukuliwa hatua?Issue hiyo ipo katika ripoti gani? anadai yeye ndio alishiriki zaidi katika wazo la shule za kata akiwa anatafiti afrika mashariki na indonesia je hiyominaondoaje sifa yake ya kuzisimamia.je kwani tunapomsifu kiongozi mf nyerere tunadhani anachoagiza ni mawazo yake ama ya wataalam wake ?aache chuki iliyopitiliza. namdharau sana huyu bwana.

-Amesema ametishwa sana baada ya kutoka CDM mbona hakuelezea akabaki kuelezea kutishwa kwake na Rosta kipindi akiwa mbunge mbona vitisho vya sasa hasemi?
-Mbona hamhusishi Mbowe kwenye malalamiko yake ni nani anaowalalamikia?hana mpangilio wa mawazo
Iko simple sana, hukumuelewa Dr. Slaa, na kumuelewa Dr.Slaa jana ni lazima USIWE CHIZI.
 
Huyu mbatia hata kwene hutoba ya Dk Slaa hakutokea na wala sio mwanaChadema kilichokuuma ni nini wakati chadema wanae msemaji mkuu wa Chama wewe ni nan ndani ya Chadema na kama umeongea kama ukawa kwann hao wakubwa wa Ukawa wanaojitokeza kuongea kila Mara wasiongee hata kwa hili kama kawaida yao?
 
Endeleeni kujitoa ufahamu bila kujua NCCR ipo ndani ya UKAWA.
TANZANIA MPYA INAKUJA CHINI UTAWALA WA LOWASA..
mafisadi mjiandae kuhama nchini
 
Huyu jamaa ni mnafiki anayedhihaki vitabu vya dini
 
Endeleeni kujitoa ufahamu bila kujua NCCR ipo ndani ya UKAWA.
TANZANIA MPYA INAKUJA CHINI UTAWALA WA LOWASA..
mafisadi mjiandae kuhama nchini
Lofa katika ubora wako dah! Eti Tanzania mpya. Kazana na mishe mishe za maisha yako. Ukitegemea wanasiasa eti wanakuletea Tanzania mpya utakufa masikini!
 
Kila la kheri Ukawa.....

Kila la kheri Mbatia.....

Lowassa is our President, yeye ndiyo chaguo letu kwa sasa.
 
Alishawajibu waliotaka mdahalo na Lowassa hawana hadhi hiyo, kama mdahalo yeye Mbatia yupo tayari ila Raisi EL wamuache coz sio level yao hata kidogo
 
Nduguzangu mada nyingine hata msiwe mnajibu maana ni kupotezeana muda mtu ajui hata kama mbatia ni mwenyekiti mwenza wa ukawa sasa mbulula kama hilo unalijibu la nn liacheni likae huko.
 
Mbatia ni mtu makini sana.

Umakini wake uko wapi,alisema dr sla amesema maaskofu wengi wamenunuliwa,wakati ukweli ni kwamba dr sla alikuwa ananukuu maneno gwajima....alafu watu wake wanalalamikia hotuba ya sla kurudiwa....
 
Mbatia hajui atendelo chama chake kinamshinda anafocus vyama vya watu wengine he pretend yupo smart kumbe kilaza tu shoga waheed.
 
Kuna tatizo gani akijibu tuhuma za EL? Hamjui kwamba ni mgombea mwenza? Think big otherwise its gonna be shame on you

Mgombea mwenza kupitia chama gani?
 
Kuna tatizo gani akijibu tuhuma za EL? Hamjui kwamba ni mgombea mwenza? Think big otherwise its gonna be shame on you

Aya BIG NYUMBU NADHANI HATA UKAWA YENYEWE hauifaham ,eti MGOMBEA MWENZA .
 
Anayo haki ya kimsingi ya ""kuilinda meli ukawa" mpaka kuhakjkisha inatuwa salama!
 
We mjenzi wa mnara wa babeli, mtoa mada endeleeni na ujenzi wa mnara bado haujafika mbinguni
 
Back
Top Bottom