Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Yaani kati ya watu waliofaidi hela za EL huyu jamaa amefaidi ,sasa naona kachukua sasa nafasi ya MSHENGA ya GWUG..
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Wewe ndo unayetumika
 
pole hujui mbatia ni mwenyekiti mwenza wa ukawa? Na hujui lowassa ni mgombea wa ukawa pole sana kwa kujitoa ufahamu,

Hivi mbona kwenye list ya vyama vinavyogombea mwaka huu hakuna chama chenye jina la UKAWA
 
Nilimkubali zamani, sa hv anatumika na kuongea upuuzi mtupu. Mashavu kama anapulza moto.

Mimi sipendi tu mdomo wake anavoongea kwa nyodo na kubinua pua kama kabeberu ,
Swala la maaskof dr kasema MSHENGA NDIE alieleza jinsi maaskofu walivyohongwa na yeye anasema eti waumini watawachukia maaskofu wao sasa ,kama askofu anachukua anahongwa unataka waumini waendelee tu kuwaamini na kujitoa ufaham ,ni kwa nin MBATIA asimuulize kwanza MSHENGA badala yake anamshambulia DR?
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Umekurupuka na wewe. Ungekaa chini kufikirisha ubongo wako.
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.
Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Kafulila aliliona hilo siku nyingi kwamba NCCR ina mwenyekiti bomu ila watu hawakutaka kumuelewa. Hajawahi shinda jimbo lolote, hapo kawe tu kama unakumbuka unajua kilichomkuta.
 
Yuko kikaangoni, akienda kinyume tu na UKAWA, yule mwanasheria 'msomi' na mropokaji atamuanika kuhusu yale mambo fulani!
 
Kumbe mnataka watu wote wawashobokee nyinyi mcyojitambua mnaodhani Kuwa hi nchi nim miliki ya watu maalum hovyo kabisa
 
dah, huyo jamaa naskia ana kale kamchezo ........, kwanza kapewa ubungo wa viti maalum, Lyatonga aliwah kuuliza kwani nae anavaa ske*ti?? Cha ajabu mbona hakuzi chama chake hivi wana nccr kwann wasiteue mwenyekiti mwingine maana huyu muda wote yupo anafanya kazi za lowasa/ukawa, Kazi za nccr anafabya saa ngapi? na au anafanya nani?
 
mbatia kama msukule! anafuata upepo tu bila kujua hata anachosema
 
Tabia ya kutoa lugha kali dhidi ya mtu, tena kwa kumtuhumu tu inanyonyesha akili ya kitoto na utashi usiokomaa dhidi yako.
 
Kuna tatizo gani akijibu tuhuma za EL? Hamjui kwamba ni mgombea mwenza? Think big otherwise its gonna be shame on you
 
I mean mwenyekiti mwenza ndani ya ukawa?
 
Kwa kweli Mbatia nilikuwa namuona kivingine sana before UKAWA but now nimeamini Binaadamu ni viumbe wa ajabu sana ....KUA UYAONE
 
Uyo mbona bazoka watu wanatafuna tuu akiisha utamu wanamtema. (Uchaguzi ukiisha hana jipya town)
 
Ni aibu kwa mzee kama wewe kutumiwa na Lowassa. Mbatia cyo msemaji wa lowassa wala msemaji wa Chadema. Kwa nini tuhuma za slaa kwa Chadema na lowassa uje kuzijibu wwe mwenyekiti wa nccr? Umenunuliwa kwa sh ngap? Acha kutumika mzee.

Ni heri....... kuliko mfalme mzee mpumbavu.

Rubish.... Hujui ni Mkt mwenza wa Ukawa..
 
Dr Slaa ameongea katika level ya form two. Nilitaka aseme yafuatayo

-kama mitambo ililetwa ama haikuletwa maana mitambo ipo ubungo na Obama aliizindua na kuisifia je nani mwenye mitambo? maana anasema hakuna kampuni kama Dowans wala Richmund-anadai tunawalipa fedha nyingi je tunamlipa nani?

-Je si mitambo hiyohiyo zitto alishauri serekali iinunue serekali ikakataa?
-anasema shule za kata hazitadumu si kweli mbona nazifahamu nyingi tu na zimejengwa kwa uimara mkubwa ? je hizo shule ndio zinamtoa kwenye siasa? hizo shule imara kulko nyingi za binafsi .

-Anadai lowassa kazamisha fedha za maji za world bank ,kwa nini hakuchukuliwa hatua?Issue hiyo ipo katika ripoti gani? anadai yeye ndio alishiriki zaidi katika wazo la shule za kata akiwa anatafiti afrika mashariki na indonesia je hiyominaondoaje sifa yake ya kuzisimamia.je kwani tunapomsifu kiongozi mf nyerere tunadhani anachoagiza ni mawazo yake ama ya wataalam wake ?aache chuki iliyopitiliza. namdharau sana huyu bwana.

-Amesema ametishwa sana baada ya kutoka CDM mbona hakuelezea akabaki kuelezea kutishwa kwake na Rosta kipindi akiwa mbunge mbona vitisho vya sasa hasemi?
-Mbona hamhusishi Mbowe kwenye malalamiko yake ni nani anaowalalamikia?hana mpangilio wa mawazo
 
Back
Top Bottom