Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Kwako wewe mlaghaiwa unaona Mbowe aliyesema kuwapa pole wafiwa sio muhimu amefanya la maana sana kuliko Mbatia aliyekimbilia kwenye tukio kusaidia waathirika, na mpaka sasa Mbatia hajatoa kauli yoyote ya kisiasa.
Atatoaje kauli wakati anajua ni majuha wenzake wamefanya ujuha wao hivyo alikimbilia kwenda kuficha madhambi yao. Huu ujinga wa mtu kuua halafu anakimbilia kuhani msiba mtawadanganya mambulula lakini sio mimi. Mwenye akili ni yule anayezuia tukio na sio yule anakwenda kujionyesha kwenye tukio
 
Hizi picha ni baada ya kazi. Kwenye kazi alikuwa katikati ya vumbi kubwa, ilishindikana kupata picha live kutokana na angle aliyokaa mpiga picha wetu...
Kama picha ilishindikana basi mtupatie hata maelezo tu ya nini alichokifanya akiwa field

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tusubiri tamko,
Maandamano nchi nzima

Dr. Slaa juzi kasema siasa za maandamano na mihadhara zimepitwa na wakati, ni za mwaka 47.

Hii inaashiria kafuata ushauri aliopewa na mdau mmoja wa chadema hapa JF kuwa watoe kipaumbele kwenye field politics za nyumba kwa nyumba zaidi.
 
Kwahiyo wewe unajiuliza kuhusu wire mesh wakati kuna binadamu wako chini ya kifusi. Halafu unaamini kuwa kujiuliza kwako kuna thamani kuliko waliojitoa kuokoa waathirika!!!

Haya endelea kujiuliza...

Na wewe kama wale wale, kwa hiyo hautaki tuwajibishane kwa makosa yaliyotokea? Huu ni uzembe na wala hakuna hakuna haja ya kusifiana hapa eti nani hodari wa kuokoa ilihali watu waliojenga hayo majengo mabovu wapo na wasimamizi wanataarifa za majengo yote mabovu, tunasubiri yaanUguke ili tutafute nani maarufu wa kuokoa? STUPID!!!!!
 
Soma uelewe. Usikimbilie kuchangia ili tu uonekane kuwa na wewe upo!

Hakuna anayekataa kuwajibishana.

Swala ni je, ni sahihi kuchochea malumbano ya kisiasa wakati ndugu zetu wako chini kwenye kifusi wanangoja kusaidiwa? na je, ni sahihi kuwaambia wafiwa kuwa salam za rambirambi hazina umuhimu?
 
Risk management ni suala la serikali
Sioni mantiki ya kumponda Mbowe

otherwise unamuonea tu

kwa nini kila kitu ushabiki ?

Ulimwona John McCain kaenda New Jersey baada ya majanga kuikumba Jersey ?
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.
ofcoz yani mfano mzuri ni kama wewe uliyekalia kupiga domo tu humu badala ya kuja kutusaidia katika shughuli ya uokoaji..
 
Risk management ni suala la serikali
Sioni mantiki ya kumponda Mbowe

otherwise unamuonea tu

kwa nini kila kitu ushabiki ?

Ulimwona John McCain kaenda New Jersey baada ya majanga kuikumba Jersey ?

You are missing a point kwa sababu hujui kauli aliyoitoa wakati watu wako chini ya kifusi...
 
Mbatia amesomea fani uokoaji katika majanga. Kumsifia kwa alichokifanya ni sawa na kumsifia mwalimu anayefundisha, wakili anapotetea kesi anayoisimamia
Mbatia na Mbowe wote ni wana siasa wanahitaji kutambulika na jamii kwa kila wanachokifanya, tofauti ni mbinu wanazozitumia. Mbatia katumia mbinu ya fani aliyonayo Mbowe katumia kutoa maoni yake kupitia mitandao wote ni kwa manufaa ya watanzania hao hao. Mbatia anasaidia kwa leo Mbowe anataka kuzuia majanga kama haya yazuiliwe yasichwe akatokea tena siku zijazo
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.
 
Hicho ni kiele ele,si jukuu lake, lengo lake ilikuwa ni kukamata watanzania wenye akili ndogo. Kwani yeye yuko kwenye kitengo cha mahafa?
 
Huyu jamaa huwa namkubali sana. Namshauri chama chake kijiunge na Cdm waikomboe nchi kutoka kwa wakoloni ccm.
 
Huna hata haya kwa viongozi wako wa magamba!JK,mkuu wa mkoa na viongozi wengi waandamizi walifika pale saa 7,walifanya nini?,kama cio kushika sharubu zao na vitambi! Aisee!aisee!aisee! Ndo zilikuwa zinawatoka tu! Imebaki BOT nayo itaporomoka tu!
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.

you said every thing mkuu. hawa wajamaa hata matukio yakiisha wana-creat mengine kama ya utekaji ili wapate cha kuwaambia wananchi na slogan yao mpaka kieleweke.
 
yaa,,,, wanasiasa wasio na soko matukio kama haya ndo maeneo yao ya kujiuza'''sishangai sana kwa nini mbatia ailikuwepo na sishangai pia kwa nini mbowe na dr slaa hawakuwepo ni kama ninavyoshindwa kushangaa kwanini mwakyembe na magufulii hawakuepo na sina sababu ya kushangaa kwanini pinda na jk walikuepo
 
Soma uelewe. Usikimbilie kuchangia ili tu uonekane kuwa na wewe upo!

Hakuna anayekataa kuwajibishana.

Swala ni je, ni sahihi kuchochea malumbano ya kisiasa wakati ndugu zetu wako chini kwenye kifusi wanangoja kusaidiwa? na je, ni sahihi kuwaambia wafiwa kuwa salam za rambirambi hazina umuhimu?
Salamu za rambi rambi zina umuhimu wakati tukio limetokea kwa bahati mbaya. Ni kama pole au samahani unapomkosea mtu, inakuwa na maana kama tukio ni la bahati mbaya. Sasa hapa kuna case: Ghorofa jingine lilishaanguka, ikaundwa tume, ikatoa mapendekezo, hayakufanyiwa kazi, akatokea mshenzi mwingine, akapewa kibali cha kujenga ghorofa 10 kwa sementi na nondo, akapuuza, akaamua kufanya ziwe ghorofa 12 za tope na waya, huku watawala wanamchekea, ghorofa likadondoka na kufukia watu wasio na hatia, unataka kuwapoza eti na salamu mshenzi za rambirambi wakati ni uzembe wako umewaua. Ebo, huu sasa ni wazimu! Ni bora kingeshuka kitofali wakati unajifanya kukagua kikupasue kichwa ndio ungejua kama salamu za rambirambi zinasaidia.
 
Back
Top Bottom