Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Salamu za rambi rambi zina umuhimu wakati tukio limetokea kwa bahati mbaya. Ni kama pole au samahani unapomkosea mtu, inakuwa na maana kama tukio ni la bahati mbaya. Sasa hapa kuna case: Ghorofa jingine lilishaanguka, ikaundwa tume, ikatoa mapendekezo, hayakufanyiwa kazi, akatokea mshenzi mwingine, akapewa kibali cha kujenga ghorofa 10 kwa sementi na nondo, akapuuza, akaamua kufanya ziwe ghorofa 12 za tope na waya, huku watawala wanamchekea, ghorofa likadondoka na kufukia watu wasio na hatia, unataka kuwapoza eti na salamu mshenzi za rambirambi wakati ni uzembe wako umewaua. Ebo, huu sasa ni wazimu! Ni bora kingeshuka kitofali wakati unajifanya kukagua kikupasue kichwa ndio ungejua kama salamu za rambirambi zinasaidia.

Kwahiyo mtu asiye na leseni akiendesha gari na kugonga wapita njia wakapoteza maisha hakuna umuhimu wa kuzipa salam za rambirambi familia za marehemu?

Huu ndio ustaarabu wa chadema?
 
Kwahiyo mtu asiye na leseni akiendesha gari na kugonga wapita njia wakapoteza maisha hakuna umuhimu wa kuzipa salam za rambirambi familia za marehemu?

Huu ndio ustaarabu wa chadema?
Naona ubongo wako ni kama wa JK, sijui kwanini huoni point yangu: Serikali inapotoa salamu za rambirambi tu bila kuchukua hatua wakati yenyewe ndio imeua kwa uzembe wake haisadii kitu!
 
Naona ubongo wako ni kama wa JK, sijui kwanini huoni point yangu: Serikali inapotoa salamu za rambirambi tu bila kuchukua hatua wakati yenyewe ndio imeua kwa uzembe wake haisadii kitu!

Hii thread inazungumzia mchango wa vitendo uliotolewa na kiongozi wa chama cha upinzani mh. Mbatia na kauli iliyotolewa na kiongozi mwingine wa upinzania mh. Mbowe wakati watu wako chini ya kifusi.

Mind the key phrase "WAKATI WATU WAKO CHINI YA KIFUSI". Hatua gani sijui ambayo ulitegemea serikali ichukue wakati "WATU WAKO CHINI YA KIFUSI".
 
Ukweli ni lazima usemwe, hata kama watu wako kaburini sembuse chini ya kifusi. Kwanza nilikuwepo na Mbatia hakusaidia chochote kwenye uokoaji zaidi ya blah blah tu. Ni opportunist na mchumia tumbo tu kama wewe. Hamuwezi kutengeneza mabomu halafu yanapoua eti mnakimbilia kuokoa!!!
 
Kauli hii kutoka kwako hainishtui hata kidogo. Nimeshakuzoea...
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.

khaaaa khaaaa uwa napenda burudani ya comment zako
 
Dr. Slaa juzi kasema siasa za maandamano na mihadhara zimepitwa na wakati, ni za mwaka 47.

Hii inaashiria kafuata ushauri aliopewa na mdau mmoja wa chadema hapa JF kuwa watoe kipaumbele kwenye field politics za nyumba kwa nyumba zaidi.
Tayari hapo kuna kutofautiana kwenye uongozi,
Nasikia wakati wengine wako mbeya wanapiga jaramba kufanya maandamano, mwengine alipoona thread hapa inasema atafungwa mwaka mmoja akaamua kwenda makao makuu ya polisi kuomba mwongozo
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi mh. James Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa katika kusaidia shughuli ya uokoaji wa waathirika wa jengo lililoanguka jijini Dar es Salaam tarehe 29.32013. Hayo yameelezwa na walioshuhudia jinsi kiongozi huyo wa upinzani alivyokuwa hodari katika kutumia ujuzi wake kulinufaisha taifa katika janga hili.

Hatua hii ni tofauti na mwenyeti wa chadema Freeman Mbowe ambaye alichokifanya ni kwenda kwenye mitandao ya kijamii kulifanyia kejeli janga hili kubwa kwa taifa.

Kamera za waandishi wa habari zilifanikiwa kupata picha kadhaa za jinsi mh. Mbatia alivyoonyesha umuhimu wa kuweka siasa pembeni katika majanga na kutoa kipaumbele kwenye kuisaidia jamii kuwa salama kwanza.

Hongera mh. Mbatia, hongera NCCR kwa kuwa na mwenyekiti shupavu.

View attachment 88608
Mh. Mbatia akitoa maelekezo ya hatua muhimu za kuchukua kuokoa waathirika.

View attachment 88607
Rais Kikwete akimshukuru na kumpongeza mh. Mbatia kwa mchango wake mkubwa kwenye kuokoa waathirika.

View attachment 88609
Wananchi wakimshukuru mh. Mbatia kwa msaada mkubwa alioutoa kuokoa waathirika.

huu ndio tunaita upumbavu serikali ya kijinga inaruhusu majengo yanajengwa chini ya kiwango yanaua watu, alafu Mbowe aende akafanye nini, kwani Mbowe umeambiwa amesomea utalaamu wa kuokoa watu kwenye majanga hapo wanatakiwa watu wenye ujuzi wa kuokoa watu sio kwenda kutafuta umaarufu wa kipumbavu.
 
Tayari hapo kuna kutofautiana kwenye uongozi,
Nasikia wakati wengine wako mbeya wanapiga jaramba kufanya maandamano, mwengine alipoona thread hapa inasema atafungwa mwaka mmoja akaamua kwenda makao makuu ya polisi kuomba mwongozo

Umakini wa chadema UKO JUU SANA NDIO MAANA walikufukuza mapema sana unataka Slaa na Mbowe waende huko wamesomea KUOKOA WATU TUMIA AKILI HIVI KUMBE ULAYA NAPO KUNA WATU KAMA WEWE, HAHAHAHAHAHAHAH
 
tayari hapo kuna kutofautiana kwenye uongozi,
nasikia wakati wengine wako mbeya wanapiga jaramba kufanya maandamano, mwengine alipoona thread hapa inasema atafungwa mwaka mmoja akaamua kwenda makao makuu ya polisi kuomba mwongozo

unakumbukauliyowahi kuandika kuhusu ccm huko nyuma, kwa taarifa yako lukosi huaminiki.
 
namkubali MBATIA ila naye anataka ku win popularity just the way anavyofanya mambo yake!!he is a good politician,but he is not a person you can trust
 
Mbatia ni kibaraka wa JK na serikali yake. . . .na si aina ya mwanasiasa unayeweza ukamwamini
 
Mbowe anapewa vyote hivyo lakini kaishia kwenye ukurasa wa facebook...

Kumfananisha Mbowe na Mbatia ni sawa na kupoteza dira kwenye maisha yako. Mbatia hafanyi siasa za upizani kwa faida ya wananchi.

Unachoshindwa kuelewa wewe ni aina za siasa zinazoendelea hapa nchini. Siasa zinazofanywa na Mbatia hata siku moja haziwezi kuindoa madarakani chama dhalimu kama ccm, chama kilichoshindwa in all aspects of life kuongoza nchi. The most backward, most ignorant, and most greed political party i have ever seen. Chama kisicho na dira wala mwelekeo wataifa.

Watu tunataka chama mbadala kukidhibiti ccm, chama kisichofungamana na ccm kwa namna yeyote ile, chama kitakacho ichukia ccm kwa kila hali na namna, mpaka pale ccm kitakapo jua kuwa kinaongoza wananchi na sio watu wachache pale magogoni, watu wanaodhani wanauwezo wakuropoka tu lolote lile wakati wowote ule bila kujali sheria walamalaka.

Usipoteze muda wako hapa, mchango Mbowe katika siasa za nchi ni mkubwa sana by far kuliko Mwinyi, Mkapa na Kikwete combined. Kwa taharifa yako watoto wako watakuja kumwita Mbowe a hero!

Ila hili la Mbowe ni part gazeti tu, haka kanchi katachimbika mpaka kieleweke!
 
Tatizo lako unafikiria kisiasa za kampeni zaidi wakati hapa tujadili jinsi viongozi wa siasa walivyorespond to janga la kitaifa...

Mmoja kaenda kwenye eneo la tukio, mwingine kaingia facebook...
 
Back
Top Bottom