Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.
Pumba, unaonekana uwezo wako wa ku analyse mambo upo below sea level
 
Mbatia ni kiongozi makini lazima tumpongeze kwa mchango wake kwenye majanga wanasiasa wengine wao kazi ya moja tu kuponda tu.
 
mfano nape, kinana na mwigulu wanajua kuitukana cdm na kuwalaghai wapiga kura wawape kura zao kwa manufaa yao. Unapokuja wakati wa shida kama huu wanawakimbia, na kusubiri siasa za maji taka za kuwatukana raia na chama chao makini cha cdm.
 
hizi zote ni mbwembwe tu na zipo kwenye definition ya SIASA
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.

Mwagito samahani, hivi ccm kama injini ya nchi waliisha overhaul engine yao lini? cause kuna uzi ulibandika humu sometimes ago na kuifananisha ccm na injini ya gari, kwamba wao hua wanamwaga oil tu bila kubadiri filter(s)
Samahni kwa kutoka nje ya maada, ni swali tu!
 
kama unataka kupima kiwango cha uelewa wa watanzania usiende mbali ingia jf - kisiwa cha great thinkers - na mleta mada ni mmojawapo. Asante Mungai na mapinduzi yako ya elimu kwa kumzalisha mleta mada.
 
Hata MIMI ningefanya HIVYO free SHANGINGI free PAYCHECK Free DIPLOMATIC PASSPORT; Ningeenda kwa MIGUU wa kwanza

Uh Nilidhani alimshinda MBUNGE wa CCM Machame hakupewa kama MBATIA... hembu tujaribu kuangalia tena UCHAGUZI 2010 inaonyesha CHUKI imetujaa

Kwahiyo Mbunge wa Hai hapaswi kusaidia watu wa Ilala?

Kweli elimu ya uraia inahitajika sana!!!

Oh ilala mbunge wake amekenda wapi? au ilala hawana mbunge?

Hii yote inathibitisha umuhimu wa JKT. Vijana wengi wasiopitia mafunzo ya JKT fikra zao ziko kama nngu007.

Uzalendo kwao ni msamiati mgumu sana kuuelewa...
 
Utasikia tu maandamano nchi nzima, mambo ya kitaifa hawaonekani, hata mpira, mmejaa hasira chuki, safari hii hatuandamani,,
 
Dr. Slaa juzi kasema maandamano ni mambo ya mwaka 47. Kwahiyo wameshaonyesha dalili za kuacha siasa za maandamano.

Sasa hivi wanafanya siasa za facebook...
 
Makopolo Dakatari Feki, habarihii haina kichwa wala miguu,,, ukiaanza na picha ulizoweka kwa veery simple impression hakuna kitu alichokuwa anafanya... labda nikuulize kama wewe ukiwa daktari na disastor imetokea ulifanya nini!!! au ulikimbilia kwa Jamii forums kutuletea habari za Mbatia.... bado naendelea kusema serikali ilipoteza fedha kukutuma Czech kusoma udaktari!!
 
Hizi picha ni baada ya kazi. Kwenye kazi alikuwa katikati ya vumbi kubwa, ilishindikana kupata picha live kutokana na angle aliyokaa mpiga picha wetu...

Lakini hizi nguo alizovaa hazionyeshi kama ametoka kwenye vumbi au alibadilisha?Hongera zake lakini kwa kufika kwenye eneo la tukio.
 
Ni kweli anastahili pongezi, tofauti na Mbowe aliyekimbilia kwenye facebook kutoa kauli za kejeli...
 
Mbatia ana elimu ya uokoaji na majanga hata bungeni moja ya michango yake ni kuhusu namna ya kuboresha sekta hiyo hapa nchini. kabla hamjawahukumu viongozi wengine ni vema kwanza mkaangalia elimu zao kisha ndio muangalie na matendo yao labda mtagundua vinashabihiana.
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.

wanachofanya viongozi watawala (sadly na baadhi ya wapinzani kama ndugu yangu mbatia) is akin to kuhudhuria misiba ya wagonjwa wengi wanaokufa kwa magonjwa yanayotibika (huku uzembe ukiwa chanzo cha hivyo vifo).

ninachokisema ni kuwa kuonyesha sympathy pekee hakutoshi kwa kiongozi aliye serious. viongozi wengi ambao ni weak huwa wanapenda sana kucheza na emotions za watu badala ya ku-deal na crux of the matter.

Mungu atusaidie sana, lakini kwa kweli watu wetu wanahitaji kubadilishwa fikra wasikubali kuwa taken for granted na kuwa manipulated emotionally.
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.

Kama lengo lako ni kuwa mwanasiasa makini jambo la kwanza SOMA NA UIJUE KATIBA YA NCHI. Hapo kwenye red ni ishara bado una safari ndefu kuwa mwanasiasa makini. Na kwa umri wako kama hadi sasa hujui tofauti ya MBUNGE wa viti maalum na MBUNGE wa kuteuliwa na Rais napata wasiwasi kama utafika safari yako. Ushauri wangu ni vyema utafute fani nyingine. Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 66 (1) (a-f), Ibara ya 67, 78 zitakusaidia in future.
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.

jamani huu ni wakati wa majonzi hatutaki siasa humo tafadhalini sana
 
Mbatia anasaidia kitu gani? Hakuna hata mwenye kujua cha kufanya japo kuna zaidi ya majengo matatu yameanguka hapo Dar. Acheni porojo zenu, Meya wa Ilala lazima awajibike kwa uzembe, Waziri wa Ujenzi na Naibu wake, waziri wa ardhi na naibu wake, Mkuu wa mkoa na wa wilaya. Waliobakia washitakiwe, ili iwe fundisho kwa uzembe huu
 
Sijamwona zungu yuko wapi? Mbatia na suti angesaidiaje? Waokozi au wanasiasa kutafuta umaarufu wa chee? Alijua juna ajali? Alifikaje hapo kwa wakati, maana hakuwa na kazi? Mnaleta copmarison za ajabu, mbowe alikuwa wapi huku ajali ikitokea?unataka mkiti awe kama robot kilamahala awepo?
 
Mbatia anasaidia kitu gani? Hakuna hata mwenye kujua cha kufanya japo kuna zaidi ya majengo matatu yameanguka hapo Dar. Acheni porojo zenu, Meya wa Ilala lazima awajibike kwa uzembe, Waziri wa Ujenzi na Naibu wake, waziri wa ardhi na naibu wake, Mkuu wa mkoa na wa wilaya. Waliobakia washitakiwe, ili iwe fundisho kwa uzembe huu
thanksbwewe umetoa suluhisho sio kwenda kutafuta sympathy kwa watuwenye matatizo ambayo nyinyi mmeyaleta
 
Back
Top Bottom