Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Amefanya kazi nzuri...mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...big up Mbatia... Ila kwa kazi ile haipendezi kwa suti,ulitakiwa ununue hata tshirt kitumbini uingie mzigoni...uwepo kikazi zaidi..na sio suti.
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi mh. James Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa katika kusaidia shughuli ya uokoaji wa waathirika wa jengo lililoanguka jijini Dar es Salaam tarehe 29.32013. Hayo yameelezwa na walioshuhudia jinsi kiongozi huyo wa upinzani alivyokuwa hodari katika kutumia ujuzi wake kulinufaisha taifa katika janga hili.

Hatua hii ni tofauti na mwenyeti wa chadema Freeman Mbowe ambaye alichokifanya ni kwenda kwenye mitandao ya kijamii kulifanyia kejeli janga hili kubwa kwa taifa.

Kamera za waandishi wa habari zilifanikiwa kupata picha kadhaa za jinsi mh. Mbatia alivyoonyesha umuhimu wa kuweka siasa pembeni katika majanga na kutoa kipaumbele kwenye kuisaidia jamii kuwa salama kwanza.

Hongera mh. Mbatia, hongera NCCR kwa kuwa na mwenyekiti shupavu.

View attachment 88608
Mh. Mbatia akitoa maelekezo ya hatua muhimu za kuchukua kuokoa waathirika.

View attachment 88607
Rais Kikwete akimshukuru na kumpongeza mh. Mbatia kwa mchango wake mkubwa kwenye kuokoa waathirika.

View attachment 88609
Wananchi wakimshukuru mh. Mbatia kwa msaada mkubwa alioutoa kuokoa waathirika.

habari ni nzuri ila umeiandika kishabiki sana
 
Kwa kuwa ZeMarcopolo anajaribu kufanya ulinganisho wa kichuguu na mlima, kati ya pande mbili alizokusudia mwenyewe, iwe watu au taasisi, ngoja tumsaidie kidogo tu, ili siku nyingine awe anafikiria kabla ya kutenda au kusema. Au akisema, basi ajifunze kubakiza akiba ya maneno... Tutampatia baadhi tu ya mifano au mfano, ajue kuwa CHADEMA ni taasisi imara na viongozi ni viongozi makini. Wanatambua wajibu wa kutumikia na kufanya kazi na watu.

CHADEMA watembelea waathirika wa mafuriko Dar, watoa misaada

http://1.bp.blogspot.com/-p0GUM5lm99I/TvSZMq2T1wI/AAAAAAAAB8I/Z9UJOxXqOPw/s1600/6.JPG

http://1.bp.blogspot.com/-AnmmQexUcM0/TvSZD2luAEI/AAAAAAAAB74/oMxCskqckRU/s1600/4.JPG

Tatizo Zemarcopolo ni sawa na wale watu wanaofanya maombi ya kufufua wafu.

Kwanza mtu mwenyewe haeleweki kama yeye ni ccm, nccr au cuf, inaoenekana wala itikadi zao hazielewi. Yeye he is just after Mbowe.

Hili ni swala la uwajibikaji, siyo swala la Mbowe measema nini au Mbatia kafanya nini au Dhaifu kasafiri kwenda wapi.
 
Ni upuuzi kufikiria kuwa eti kwenda kusaidia kutoa mawe ni mfano wa kuigwa!

Kwa hiyo wanasiasa mikoa yote wangetakiwa kwenda dar kusaidia ili kuwa mfano?!

What if tungekua na vifaa vya kutosha vya uokoaji, bado tungesifia wale walioenda kuokota vipande vya tofali pale?!

Vigezo hivi tunavyoweka eti vya kupima utu ni vya kipuuzi! Na havina maana!
 
Tatizo lako unaweka mbele unazi wa vyama badala ya utu!!!

Mimi mtu yeyote akifanya jambo jema nampongeza bila kujali chama chake...
 
Soma vizuri thread uelewe. Maswali yako yote yametolewa majibu tayari...
 
Kwa kuwa ZeMarcopolo anajaribu kufanya ulinganisho wa kichuguu na mlima, kati ya pande mbili alizokusudia mwenyewe, iwe watu au taasisi, ngoja tumsaidie kidogo tu, ili siku nyingine awe anafikiria kabla ya kutenda au kusema. Au akisema, basi ajifunze kubakiza akiba ya maneno... Tutampatia baadhi tu ya mifano au mfano, ajue kuwa CHADEMA ni taasisi imara na viongozi ni viongozi makini. Wanatambua wajibu wa kutumikia na kufanya kazi na watu.

CHADEMA watembelea waathirika wa mafuriko Dar, watoa misaada

http://1.bp.blogspot.com/-p0GUM5lm99I/TvSZMq2T1wI/AAAAAAAAB8I/Z9UJOxXqOPw/s1600/6.JPG

http://1.bp.blogspot.com/-AnmmQexUcM0/TvSZD2luAEI/AAAAAAAAB74/oMxCskqckRU/s1600/4.JPG

Tatizo lako unaweka mbele unazi wa vyama badala ya utu!!!

Mimi mtu yeyote akifanya jambo jema nampongeza bila kujali chama chake...

Usipotoshe hoja, kama unataka kudiscuss swala la utu lets discuss swala la utu lakini siyo swala la Mbowe!

Mbowe, Mbatia, Dhaifu wote ni watu kama mtu mwingine yoyote. Kama ni swala la utu basi ni wajibu wakila mtu au kila kiongozi wa juu kwenda kuokoa watu. Hakuna haja ya kuwa na trained professionals.

Kama ni swala la utu, ni ambiye ni wapi ambapo Mbowe amesema hao panya wamekufa afadhali? Ni wapi?

Stop blackmailing people! Ndo maana nimekwambia kuna namna nyingi ya kudeliver message to the society wakati wa maafa, not necessarily kuwepo kwenye eneo la tukio.

Lakini siyi kwamba kutokuwepo is the opposite of saying hauna utu. Where do u get this?

Mi nakushangaa, ndo maana naona kama hauna discretion ya kutofautisha itikadi za siasa katika vyama. We we kila chama kwako ni ccm tu isipokuwa cdm.
 
Kuna watu mna kumbukumbu fupi mno. Yaani hapo unataka nirudie kukupa somo ambalo nilidhani umashaelewa!!!
Rudi usome posts za awali kwa revision.

Wahenga wanasema ​Revision est mater studiorum...
 
Mwanzoni nilipomuona mbatia mda mchache baada ya tukio nikajishawishi kusema kuwa mbatia ni kiongozi anayejipendekeza kwa wananchi maana kila kitukio yeye anawahiwahi/anakuwa na kiherehere cha kuongeas na media ili wananchi wamuone! Hali hii ilinifanya nimuone hafai sana! (Hata ivo kuna ukweli ktk hili).
Baada ya kutafakari na kumfuatilia zaidi, nimegundua kuwa jamaa/mbatia ni kiongozi anayejituma sana! Sasa namkubali na kumpa big up! Hata kama ana kihere cha kuongea bt anakuwa na real situation za mambo!
Kwa issue ya ghorofa, nampongeza! Following from that, inanilazimisha kuwalaumu sana 'viongozi' wenye tabia ya kulaumu kila jambo na kuitupia serikali lawana lukuki.
Waache hiyo tabia.
Viongozi wajitahidi!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwahiyo Mbunge wa Hai hapaswi kusaidia watu wa Ilala?

Kweli elimu ya uraia inahitajika sana!!!

Kwahiyo ni wabunge wangapi? ni wenyeviti wangapi wa vyama vya siasa ambao walishiriki kwenye ile shughuli ya kuokoa wahanga kwa kubeba matofali kwa mikoni!!? Mbona Mbowe amekukaa sana kwenye ubongo wako kama vile yeye ndo aliliangusha hilo ghorofa. Si tumeambiwa kuwa Diwani wenu CCM ndo mkadarasi wa hilo jengo, kwahiyo janga mlisababishe nyie wenyewe ili tu muangalie kama Mbowe atakuja! acheni kutushangaza kwa vijihoja vyenu hivi vya kibeambea. Ongea na mwenyekiti wako wa CCMajangili awawajibishe hao waliofanya madudu kuleta hilo janga na sio kuanza kuangalia ni nani alishiriki na nani hakushiriki.
 
Kosa lake ni kuwatolea kauli za kejeli waathirika, si vinginevyo...
 
Kwahiyo ni wabunge wangapi? ni wenyeviti wangapi wa vyama vya siasa ambao walishiriki kwenye ile shughuli ya kuokoa wahanga kwa kubeba matofali kwa mikoni!!? Mbona Mbowe amekukaa sana kwenye ubongo wako kama vile yeye ndo aliliangusha hilo ghorofa. Si tumeambiwa kuwa Diwani wenu CCM ndo mkadarasi wa hilo jengo, kwahiyo janga mlisababishe nyie wenyewe ili tu muangalie kama Mbowe atakuja! acheni kutushangaza kwa vijihoja vyenu hivi vya kibeambea. Ongea na mwenyekiti wako wa CCMajangili awawajibishe hao waliofanya madudu kuleta hilo janga na sio kuanza kuangalia ni nani alishiriki na nani hakushiriki.

Ujamaa sijue kibogoyo, analeta mada za kudiscuss viongozi wasiasa na utu wao, wakati hapo hapo anaonyesha beef la waziwazi na Mbowe na cdm, sasa sijue ni akili gani ktk ubongo wake inayodhani watu hawawezikujua nia yake behind the curtain.

Tunajua yeye ni ccm, na hana lolote zaidi ya kujaribu kutufisadisha tu hapa.

Watu kama hawa dawa yao ndo hiyo, kuwa jibu kwa itikadi za vyama vyao!

Hivi kati ya mafisadi waccm ni nani mwenye utu na nchii hii?
 
Mbatia ameonyesha utu kutoa kipaumbele kwenye kusaidia waathirika...
 
Sasa ni upi huo ambao siyo utu wa Mbowe? Au unataka kutuambia hapa au kumfundisha Mhshimiwa Mbowe utu ni nini? Hivi wewe unajua maana ya utu kweli? Hivi wale wote walioeneo la tukio nao walikuwa wanaonyesha utu au walikuwa wanashangaa?

Kama unataka kuzungumzia utu wa Mbatia jus kwenye hilo tukio tupe mwendelezo wa utu wake kwa waathirika? Haya kama hauwezi hilo basi tupemwendelezo wa utu wa ccm kuwasaidia waathirika au wa serikali yake?

Hakuna kitu! Mbatia na dhahifu walikuwa wamekwenda kuangalia na kushangaaa tu pale!
 
Kwako wewe utu ni kuwakejeli waathirika kwa kauli za kisiasa kwenye facebook...
 
Don force ur political goals by trying to be logical. Weka kauli ya Mbowe hapa useme kejeli iko wapi kwenye kauli hiyo na hiyo kejeli ni kwa namna gani inamfanya Mbowe akose utu kama unavyofikiria wewe mtu wa magamba.
 
Kusema wafiwa wasipewe salam za rambirambi ni kukejeli changamoto inayowakabili...
 
Maneno maranyingi yanakuwa misrepresented au misunderstood, quote kauli yote uweke hapa, alafu utoe huo ufafanuzi wako
 
Ipo thread yake itafute utaona quote word to word. Hawa wanasiasa wengine HAWAFAI...
 
Back
Top Bottom