Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Wapi Kinana, Nape na Mwigulu? Kila mtu angeenda pale, eneo lisingetosha. Wanajeshi tu peke yao walipelekwa 500, bado JKT, migambo na askari polisi. nadhani lilikuwa ni eneo la operesheni zaidi kuliko mfululizo wa protokali, maana kila kiongozi angetaka atoe maelekezo bila kufuata weledi wa uokoaji. For me, mkuu wa mkoa na RPC walitosha kwa wakati ule, mmoja kuhakikisha dhamana ya gharama za uokoaji kutoka kampuni binafsi, na mwingine usalama. Hivyo vikosi vingine vya uokoaji vingeongozwa na wakuu wa kawaida wa vikosi
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.
Sijaona alichosaidia.... taarifa au matope.?
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi mh. James Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa katika kusaidia shughuli ya uokoaji wa waathirika wa jengo lililoanguka jijini Dar es Salaam tarehe 29.32013. Hayo yameelezwa na walioshuhudia jinsi kiongozi huyo wa upinzani alivyokuwa hodari katika kutumia ujuzi wake kulinufaisha taifa katika janga hili.

Hatua hii ni tofauti na mwenyeti wa chadema Freeman Mbowe ambaye alichokifanya ni kwenda kwenye mitandao ya kijamii kulifanyia kejeli janga hili kubwa kwa taifa.

Kamera za waandishi wa habari zilifanikiwa kupata picha kadhaa za jinsi mh. Mbatia alivyoonyesha umuhimu wa kuweka siasa pembeni katika majanga na kutoa kipaumbele kwenye kuisaidia jamii kuwa salama kwanza.

Hongera mh. Mbatia, hongera NCCR kwa kuwa na mwenyekiti shupavu.

View attachment 88608
Mh. Mbatia akitoa maelekezo ya hatua muhimu za kuchukua kuokoa waathirika.

View attachment 88607
Rais Kikwete akimshukuru na kumpongeza mh. Mbatia kwa mchango wake mkubwa kwenye kuokoa waathirika.

View attachment 88609
Wananchi wakimshukuru mh. Mbatia kwa msaada mkubwa alioutoa kuokoa waathirika.

Lugha imetumika visivyo na ni mapenzi tu uliyo nayo kwa Mbatia
 
Mbowe anapewa vyote hivyo lakini kaishia kwenye ukurasa wa facebook...
Mkuu umekuwaga na some kind of strong aurguments kuikosoa CDM tofauti na wakosoaji wengine lakini kwa siku za karibuni I am wondering whats going wrong with you?!!! Aina ya propaganda tunazotegemea kuziona kutoka kwa vilaza kama kina Chris Lukosi zinatokea kwenye ID yako. Nina wasiwasi kuwa hii id yako ishakuwa multi-owned
 
Last edited by a moderator:
Hizi picha ni baada ya
kazi. Kwenye kazi alikuwa katikati ya vumbi kubwa, ilishindikana kupata
picha live kutokana na angle aliyokaa mpiga picha wetu...

katikat ya vumbije? hata kuchafuka kidogo hamna hii ndo bongo
 
waliotakiwa eneo la tukio ni serikari na vyombo vya ulinzi,wengine wote walienda kupoteza muda na kuhatarisha maisha yao.kama hatuna system nzuri inplace ya kuokoa maisha wakati wa majanga basi tusilaumu wanasiasa walioacha kwenda kwasababu ya usalama wao na pia kutoa nafasi kwa vyombo vya uokaji.
 
Mbatia ameokoa wangapi kwenye kifusi?au kwenu kufika kwenye eneo la tukio na kupiga picha inatosha kusema huyu mwanasiasa makini mwingine hapana.
Jk alienda na msaada gani kama si stor zile zile jamani tuongeze kasi ya uokoaji wakat hakuna vifaa?watu wanyanyue vifusi kwa mikono bado tunashangalia tu!
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.

acha kuongea pumba mkuu, umebahatika kufika uingereza, mojawapo ya nchi zilizoendelea halafu unaleta siasa za kitoto

alichofanya mbatia ni kitu kilichotakiwa kufanywa na watu wanaojua majukumu yao, wameajiriwa na serikali kwa kazi hizo...

nilitegemea kufika kwako uingereza ungeweza hata kukumbusha kuwa kunahitajika wahusika wote kuanzia ujenzi, usimamizi pamoja idara zote za uokoaji na ulinzi walitakiwa wafanye kazi zao bila kusubiri kufundishwa kazi na Mheshimiwa Mbatia....kuna watu wameajiriwa na wanalipwa mshahara na posho kwa kazi hizo!!!

Mkuu acha siasa za kitoto kama ulishatoka CHADEMA, jitahidi kujenga CCM yako si kuwa kama kina Shonza na Mwampamba wanaokesha kuiota CHADEMA!!

GROW UP
 
Waandishi walichelewa kuipata Picha wakati bwana NChimbi akikwepa kusalimiana na Mbatia.Namshukuru kikwete kwa ku-appreciate mchango wa mbatia.huu ndiyo ukomavu wa kisiasa.
 
Hivi Waziri wa uokoaji ni nani vile?hahahahahah! sie wa CCM tunataka tuandamane ajiuzulu kwa kushindwa kununua vifaa cya uokoaji
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.
 
Siamini kama Mbatia ametoka nyumbani kwake kwenda eneo la tukio ili kuokoa! I can bet that he was within visinity when building collapsed, and humanly, he responded to his intincs. Yes, what he did is something very positive, but it is not negative that everyone else wasnt around to offer a helping hand!
Jerry Slaa, the Mchafukoge ward respresentative and the Ilala MP werent anywhere to be seen.

Congrats to Mbatia, but not in espense of Mbowe's (or anyone else) absence.
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.

Kwani mbona sijaona akifanya lolote ama kuwepo eneo hilo ndiyo kawapa mbinu ?Kwani yeye kasomea kuokoa watu kwenye majengo ? Maana yeye sawa na JK wanapiga picha hawana hata koleo mkononi .

Hao walioko majumbani ni bora kuliko wewe mchumia tumbo ambaye uko UK na umekimbilia JF kuboyongoka maana haukuwepo sawa na wao.
 
Kwa maana nyingine unatwambia wapo viongozi wazuri nje ya ccm. Na viongozi hao wameka.damizwa sana pale walipopinga mfumo kandamizi na wa kinyonyaji kwa maandamano wakiwa chuo. Wakafukuzwa...hawakumalia shule yao..Mh Mnyika, Mh Mbatia na wengine wengi.

Viongozi wengi wa aiana hiyo wapo cdm lakini kwa ujanja wenu mnawapiga vita na hila zenu ni kugawa kura za watanzania ktk udini, ukabila na uvyama ili mbakie madarakani. Mwisho wayote 2015!
 
Mbatia anakuwa mfano mzuri kwa yale yaliyoaribiwa na ccm/gvt sio? Na Jk kipenzi chenu yuko wapi? serikali yenu sikivu hiko wapi? 'Laise a' affaire' gvt!
 
Mbatia amekomaa kisiasa na ndio maana kama kiongozi wa chama alifika kwenye tukio kuungana na wananchi .
Wengine wamekaa nyumbani wanasubiri kesho watoe TAMKO na kuitisha maandamano nchi nzima.
Wao ni kama kufa kufaana, yaani wengine wakipatwa na majanga wanatumia kama mtaji wa kujipatia umaarufu wa kisiasa
Viongozi wa kweli ni wale waliofika kwenye eneo la tukio, sio kurusha comments kwenye face book
When you are good , You are good! No wonder why Mheshimiwa Rais alimteua mbunge wa viti maalum, ni kwa sababu aliona kipaji cha huyu bwana
Upinzani sio kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali, upinzani ni kuwaonyesha wananchi kuwa utawafanyia zaidi ya yanayofanywa na serikali ya sasa au kuyaboresha.
Kazi ya upinzani juu ya tukio kama hili ni kuwakumbusha wananchi kuwa serikali ya ccm imefanya uzembe uliopelekea watanzania kadhaa kupoteza maisha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbona hamsemi Prof Lipumba hakuwepo mnasema Mbowe? Mnajua Mbowe alikuwa wapi? Acheni siasa za majitaka.kama mbatia ameamua kwenda msiitumie kisiasa
 
Huu si wakati wa lawama wala sifa......Mwenye uwezo au kifaa cha uokozi awahi mahala pa tukio..Baada ya uokozi ndo tuangalie nani kafanya nini na nani kasababisha! Watanzania jamani!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom