Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

Kwako wewe watu kufukiwa na kifusi ni kitu cha kuchekesha. Huna tofauti na Mbowe...

Angalia sasa, hauwezi kusubstantiate what u are saying, teyari umeshanirushia mimi, wewe kweli unayechekesha.

Unapesa account za uswiss nini?
 
Next time msirudie kufanya siasa za kejeli kwenye majanga.

Jifunzeni toka kwa Mbatia...
 
Nampongeza Mbatia, lakini lengo lako halikuwa kumpongeza mbatia lakini kumkejeli mwenyekiti wa Chadema Taifa Mbowe! Ulipaswa umkejeli Kikwete anayekimbilia kuuza sura kwenye majanga yanayosababishwa na serikali yake ya CCM!
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi mh. James Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa katika kusaidia shughuli ya uokoaji wa waathirika wa jengo lililoanguka jijini Dar es Salaam tarehe 29.32013. Hayo yameelezwa na walioshuhudia jinsi kiongozi huyo wa upinzani alivyokuwa hodari katika kutumia ujuzi wake kulinufaisha taifa katika janga hili.

Hatua hii ni tofauti na mwenyeti wa chadema Freeman Mbowe ambaye alichokifanya ni kwenda kwenye mitandao ya kijamii kulifanyia kejeli janga hili kubwa kwa taifa.

Kamera za waandishi wa habari zilifanikiwa kupata picha kadhaa za jinsi mh. Mbatia alivyoonyesha umuhimu wa kuweka siasa pembeni katika majanga na kutoa kipaumbele kwenye kuisaidia jamii kuwa salama kwanza.

Hongera mh. Mbatia, hongera NCCR kwa kuwa na mwenyekiti shupavu.

attachment.php

Mh. Mbatia akitoa maelekezo ya hatua muhimu za kuchukua kuokoa waathirika.
attachment.php

Rais Kikwete akimshukuru na kumpongeza mh. Mbatia kwa mchango wake mkubwa kwenye kuokoa waathirika.
attachment.php

Wananchi wakimshukuru mh. Mbatia kwa msaada mkubwa alioutoa kuokoa waathirika

=============== michango zaidi ===============

Serena Hotel wamejitolea chakula kwa wanaosaidia shughuli ya uokoaji...
attachment.php

attachment.php

Asante sana Serena Hotel kwa kuonyesha mfano wa uzalendo kwa vitendo...

Mkuu ZeMarcopolo thread zako hazitofautiani na wale wanawake wanaosutana uswahili wakiwa wamejifunga tu mataulo.Laiti ningejua jinsia yako ningeunganisha dots ningepata majibu kamili.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ZeMarcopolo thread zako hazitofautiani na wale wanawake wanaosutana uswahili wakiwa wamejifunga tu mataulo.Laiti ningejua jinsia yako ningeunganisha dots ningepata majibu kamili.

Wewe ndio walewale wanaoona jinsia ya kike ni inferior! Sijui kwanini wafuasi wa na viongozi wa chadema mnawadharau sana wanawake.

Mimi Mungu angeniumba na jinsia yoyote ile ningemshukuru na kumuabudu.
 
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi mh. James Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa katika kusaidia shughuli ya uokoaji wa waathirika wa jengo lililoanguka jijini Dar es Salaam tarehe 29.32013. Hayo yameelezwa na walioshuhudia jinsi kiongozi huyo wa upinzani alivyokuwa hodari katika kutumia ujuzi wake kulinufaisha taifa katika janga hili.

Hatua hii ni tofauti na mwenyeti wa chadema Freeman Mbowe ambaye alichokifanya ni kwenda kwenye mitandao ya kijamii kulifanyia kejeli janga hili kubwa kwa taifa.

Kamera za waandishi wa habari zilifanikiwa kupata picha kadhaa za jinsi mh. Mbatia alivyoonyesha umuhimu wa kuweka siasa pembeni katika majanga na kutoa kipaumbele kwenye kuisaidia jamii kuwa salama kwanza.

Hongera mh. Mbatia, hongera NCCR kwa kuwa na mwenyekiti shupavu.

attachment.php

Mh. Mbatia akitoa maelekezo ya hatua muhimu za kuchukua kuokoa waathirika.
attachment.php

Rais Kikwete akimshukuru na kumpongeza mh. Mbatia kwa mchango wake mkubwa kwenye kuokoa waathirika.
attachment.php

Wananchi wakimshukuru mh. Mbatia kwa msaada mkubwa alioutoa kuokoa waathirika

=============== michango zaidi ===============

Serena Hotel wamejitolea chakula kwa wanaosaidia shughuli ya uokoaji...
attachment.php

attachment.php

Asante sana Serena Hotel kwa kuonyesha mfano wa uzalendo kwa vitendo...

Mkuu badala ya kupiga siasa tupe details mbatia amefanya nini pale la maana au ile ya mbatia kuonekana na vyombo vya habari kushinda kwenye eneo la tukio ndio amesaidia?Jamani bado mda wa kampeni haujafika.
 
Huu ni muendelezo tu wa ule mkakati mkubwa wa CCM kuidhoofisha CHADEMA.Wameamua kufanikisha hilo kwa kutumia kila aina ya propaganda ili lengo lao litimie (aliloahidi yule binadamu wa kale).
Kuipaisha, kuisifia NCCR-MAGEUZI na viongozi wake ni sehemu ya mkakati huu, ndio maana kila leo wale wanaoishabikia na kuitetea CCM humu jukwaani ndio wanaoanzisha threads za kuisifia NCCR.
WALA HUHITAJI KUWA NA ELIMU YA UNIVERSITY ILI UWEZE KUNG'AMUA HILI!
 
Kwa ufahamu wangu mdogo nashauri wanasiasa wafike sehemu za majanga baada ya shughuli za uokoaji kufanikiwa/kuisha....kwani wakifika kabla/wakati wa uokoaji wanaongeza shughuli nyingine za kiprotokali zinazoingilia shughuli kuu ya uokoaji na kusababisha uchelewaji usio wa lazima.....
 
Back
Top Bottom