Kwa wale waliofanya mazoezi ya Kegel na wakapona naombeni ushauri

Reposted 17th Jan 2021

Uzi wa hivi upo JF siku nyingi

Thanks anyway kwa kuwakumbusha wadau.
 
Okay ngoja nifanye maana kuna mke wa mtu nimepanga kupita nae This year Mumewe yupo Dodoma familia kaiacha huku
Sawa, ila sasa mnapokutana pamoja na mambo mengine basi mumkumbuke huyo Mumewe kwa maombi maana yupo huko Dodoma kutafuta ada za Watoto na mahitaji mengine ya familia.
 
Wewe unahangaika kuboresha maisha yako,
Yupo mwehu mmoja sehemu fulani anapigana ili wewe usitoboe.

Kweli Dunia uwanja wa fujo.

..............Mitano tena kisha Saba tafadhali.
 
Ukitaka zoezi liwe vizuri zaidi, bana kisha wakati huo unapiga squat (zoezi la kusimama na kuchuchumaa).

Usisahau tendo la ndoa kwa asilimia kubwa ni utulivu wa akili (psychologically uwe huru, siyo unawaza mengine)
 
Hii ishu ya vumbi la Congo ni dhana potofu tu wala hakuna cha msingi hapo, ni yale yale ya supu ya pweza, karanga na nazi, alkasusu n.k....ujinga ujinga tu kwa mambo yasiyo na ufafanuzi wowote wa kipi haswa hufanyika kwenye mwili wa Mtu anapoitumia.

Ni bora hata hizo Viagra zenye maelezo ya kitaalamu yanayo make sense..

Ila ningewashauri sana Wandugu tuepukane na visaidizi vyovyote mnavyoletewa maana Yeye aliyetuumba kautengenezea mwili na kuupa kila kitu kinachohitajika kutekeleza majukumu yake...mambo mengine ni ya kisaikolojia tu na lishe nzuri.

Huku kutojiamini ndio mnageuzwa "Machuma ulete" wa Wajanja....maana siku hizi utamsikia eti Mtu anatoa ushuhuda madhabahuni kuwa alikua dhoofuihali nyumbani ila baada ya kutumia mafuta ya upako sasa amekuwa shababi.
 
Haya sasa , kwa wale wenye tabia ya kula nauli nawashauri muache , maana dawa yenu imepatikana, mtanyooshwa hadi muombe poo .......

Na wale wauzaji wa yale mavumbi ya kwa kina Fally Ipupa na Papaa Mobimba pia nawashauri waanze kutafuta shughuli mbadala ya kufanya mapemaaaa...

Mazoezi ya Kegel ndio ninachozumgumzia hapa...., kama ulikuwa mwanachama wa Chaputa, basi usijali, fanya KG.

Ili uweze kufanya mazoezi haya inabidi uutambue msuli wako wa Pc (pc muscle), jinsi ya kuujua fanya hivi, wakati umeenda haja ndogo, bana mkojo katikati ya kukojoa, ule msuli utakaoutumia kukatisha mkojo usiendelee kutoka ndio msuli wako wa pc.
Namna nyingine ya kuujua msuli wako huu ni wakati umeenda haja kubwa, pale wakati unamaliza haja kubwa, kuna msuli ambao hubana ile 'ringi' ili iweze kukata 'gogo', ule msuli uaokusadia kukata lile ’gogo’ ni msuli wako wa pc. Sasa umeshaujua msuli huu, tunaingia hatua ya mazoezi yenyewe.
Ili uweze kufanya haya mazoezi inabidi ujue namna ya kubana na kuachia msuli wa pc. Unabanaje? ni rahisi sana, fanya kama unavyofanya wakati wa kukatisha mkojo au wakati unakata gogo, hicho kitendo ndio tunaita kubana msuli wa pc. (Muhimu: Hutumii mkono wa kidole kubana). Mazoezi yenyewe sasa yako hivi:-

- Bana msuli wako wa pc kwa sekunde 10, kisha uachie. (Mwanzoni utapata tabu kuubana ila kadri unavyozoea itakuwa rahisi zaidi).
-Subiri sekunde 20 zipite, kisha bana tena kwa sekunde 10 na uachie.
  • Rudia huo mzunguko wa kubana kwa sekunde 10 na kupumzika kwa sekunde 20, rudia hadi uwe umefanya mizunguko 10. (Tumia stop watch ya simu kufanya hivi)
  • Ukishamaliza mizunguko 10, bana na kuachia msuli wa pc kwa haraka haraka kwa muda wa sekunde 10, na hapo umemaliza session moja ya mazoezi.
  • Siku inayofuta pumzika usifanye, hadi kesho yake tena, yaani uwe unaruka siku moja moja.
  • Matokea baadhi utaanza kuyahisi almost immediately, ila itabidi usubiri wiki kadhaa kuona matokea, matokeo halisi unaweza ukayaona baada ya miezi 6.
Best of luck
Kuna kiyu sjaelewa,hayo matokeo ni yapi?
 
Ukitaka zoezi liwe vizuri zaidi, bana kisha wakati huo unapiga squat (zoezi la kusimama na kuchuchumaa).

Usisahau tendo la ndoa kwa asilimia kubwa ni utulivu wa akili (psychologically uwe huru, siyo unawaza mengine)
Mmmmh, sidhani aisee, si utauchana huo msuli wenyewe sasa
 
Kuna kiyu sjaelewa,hayo matokeo ni yapi?
Usimamishaji imara wa uume pamoja na kumwaga pale unapoamua wewe kumwaga, maana ukicontrol msuli wa PC basi unacontrol umwagaji wako pale unapoamua wewe, maana huo msuli ndio hufyatua mbegu
 
Uko vizuri Mkuu 👍🏽
KG hata wanawake walozaa au walotumika sana au tu anayetaka kubana Papuchi, ndio inawafaaa sana .

Fanya KG... Piga mazoez ya mwili, kula matunda hasa parachichi, karanga, kunywa maji mengi .
 
Back
Top Bottom