Hali ya hewa ni cool,maombolezo na nyuso zenye simanzi,
wabunge wengi wamefika,viongozi mbalimbali wamefika.
Mkuu wa kaya mpaka sasa wanasema atafika kwa Choppa.
Tunaendelea kuwaweka watu kwenye nafasi zao,tukiendelea kusubiri.
Ringo Edmund na wengine, nawaombeni sana tuepuke political sentiments kwenye huu msiba ili tusiugeuze kuwa ni mtaji wa kisiasa!.Nilipokuwa nasikiliza propaganda za ccm kidogo nikubali kuwa chadema ni cha wachagga.
Nikamwuliza rafiki yangu je regia watampeleka marangu au machame?
Akaniambia achana na hao mafisadi wanawadanganya watanzania ili wawaibie.
Poleni naa masiba malizeni mrudi watanzania wanawasubiri wakombozi wao.
R.i.p dada regia.
Halafu barabara yenyewe ni nyembamba kupita kiasi,
Ukipita Mang'ula tu unaanza barabara ya vumbi ambayo ina mahandaki ya kutisha!
Umeme umekatika hapa uwanjani
Kwani kutoka mto ruaha/mkamba hadi mang'ula kumewekwa lami siku hizi?
pole sana mama yetu, jikaze uendelee kutupa habari, Mungu azidi kukutia nguvu. tupo pamoja.Nimeshindwa kuandika kilichoendelea,Nalia kwa uchungu nimeshindwa kujizuia.
Jamani, kuna kitu au vitu mimi kiasi nashindwa kuvielewa hasa juu ya mambo yanayosemwa na watu mbalimbali juu ya Marehemu wetu Regia. Nikisikiliza hayo maneno na sifa zinazotolewa juu yake na nikiangalia umri alofariki nao, kiasi fulani nashawishika kusema MANENO KAMA PENGO LAKE HALIZIBIKI AU HATATOKEA MTU KAMA HUYU, naona kama zinasemwa kwa UNAFIKI TU, given the young age of her, ni lipi/yapi hasa aloyafanya kiasi cha kupata hii attention yote. Ni wangapi wema zaidi ya Regia wamefariki na hawakupata attention yoyote??? Nafikiri kuna haja ya jamii yetu kujiangalia kwa undani je tunayoyafanya kweli yana maananisha hicho kilichopo moyoni mwetu au ni ile tu watu waseme na yeye alisema???

Hapana Mkuu hatuko slow bali ni waaminifu sana; hilo lilionwa na JKN aka invest miongoni mwetu ila uaminifu wetu kwa system umetufanya tuonekane ni wanyonge tusiopenda kwetu, ikitokea tu tunataka tusimame tunahukumiwa eti ni watu wapenda maneno sana; Mkoa huu una vichwa, una adili na hazina zote na ndio maana si Nyerere, Mwinyi,Mkapa, Kikwete na hata CDM hawakuacha kukumbatia products zetu ktk siasa na uchumi.
Naamini ktk kujipambanua na kusimama ktk mstari usiyopindapinda ktk kuuweka mkoa huu juu na hatimaye kuzalisha mkoa mpya kilombero.
Natamani kuona 2015 vyama vyote vilete wagombea Ulanga-Kilombero wa aina na maadili ya Regia, huo ndio utakuwa ukombozi wetu na salama yetu.
Jamani, kuna kitu au vitu mimi kiasi nashindwa kuvielewa hasa juu ya mambo yanayosemwa na watu mbalimbali juu ya Marehemu wetu Regia. Nikisikiliza hayo maneno na sifa zinazotolewa juu yake na nikiangalia umri alofariki nao, kiasi fulani nashawishika kusema MANENO KAMA PENGO LAKE HALIZIBIKI AU HATATOKEA MTU KAMA HUYU, naona kama zinasemwa kwa UNAFIKI TU, given the young age of her, ni lipi/yapi hasa aloyafanya kiasi cha kupata hii attention yote. Ni wangapi wema zaidi ya Regia wamefariki na hawakupata attention yoyote??? Nafikiri kuna haja ya jamii yetu kujiangalia kwa undani je tunayoyafanya kweli yana maananisha hicho kilichopo moyoni mwetu au ni ile tu watu waseme na yeye alisema???
Jamani Msaada.
Nataka ku post new post mbona inanigomea
Ringo Edmund na wengine, nawaombeni sana tuepuke political sentiments kwenye huu msiba ili tusiugeuze kuwa ni mtaji wa kisiasa!.
Ukianza hizi comments za Chadema hivi mara Chadema vile, usituprovoke hapa tukakushishia nondo na data mpaka percentage za viongozi wa Chadema ni kina nani na concetration ni kabila gani?!.
Naomba tuache siasa tumzike kwa amani mpendwa wetu Regia! Haya mengine tuyalete baada ya msiba ndipo tukadilane Chadema ni chama cha kitaifa kwa kiwango gani!?
Rip Regia!.
mkuu hi nikweli hapo ndo tunauona umuhimu wa marehemu regia, tungekuwa tumewekewa mapicha kabao kwakweli tutamkumbuka sana regia!sasa mpaka kufikia page hii tayari nimeshaliona pengo la dada yetu regia, wakati wa uhai wake tukio la live kama hili nina uhakika angekuwa tayari ameshaturushia picha live ili kuona kile kinachoendelea.
Chadema ni chama dhaifu sana kwenye upande wa mawasiliano, sijui ni sifa zipi kinatumia chama hiki kuwapa watu ajila ya uofisa habari pale makao makuu, ili nakuambia wewe dada josephine umwambie dr slaa tumeshachoshwa na ubabaishaji wa kitengo hiki cha habari, wewe hukupaswa kufanya jukumu hili wakati kuna maofisa wa chama wanaolipwa ili watimize jukumu hili. Huu ubabaishaji haukubariki kamwe.