Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Hapa namuona Arfi hana suti Nyeusi, naamini hata Abdalla safari kaja na Kanzu. ZItto yeye jina tu, kapata elimu yake CDU , hajui nini atendalo
kwani SUTI nyeusi ni dini???Zitto atabaki kuwa muislam mtiifu hata kama kavaa nguo ya aina gani.
 
Mkuu Ngongo, Wish you were here you would have undestood what I mean!.
Vitu vingine sio lazima kusema ni macho tuu kuona na kujinyamazia!. Ukijumlisha na hizi hydrofoam zetu za China!.

Mwacheni Regia wetu apumzishwe sasa!.
Pasco open ur mind, kinachotakiwa kumpumzika kwa amani ni roho na sio mwili, na ndio maana hata Rais wa korea hajazikwa mpaka leo ila amehifadhiwa lakini roho yake iko mikononi kwa Mungu, is hard to understand this?
 
mkuu mm mkristo, ila naona bandiko la pasco lina logic aisee, bora kuweka picha nzuri watu waione kuliko uso ulioharibika.

Zumbemkuu,

Kwa jinsi ilivyoripotiwa kwamba mji wa ifakara pamoja na wilaya nzima ya kilombero imezizima watu wamejazana uwanjani kumuaga Regia, unadhani ni sahihi kuwanyima fursa ya kuaga kwakuwa tu alishaagwa dar es salaam?

Tukifika huko tutakuwa tunakwenda kama siasa za bunge na muswada wa katiba mpya, dsm, dodoma na znz kuiwakilisha nchi yote. Katika hili sidhani kwamba kuna uwakilishi katika kuaga, kila mmoja aliyefika anastahili kutoa heshima ya mwisho kwa marehemu, na huo ndion utaratibu wa kikristo.
 
basi mkuu, umenishinda maana umetaja mfano wa kipengele kinachoniumiza roho hadi sasa (katiba)
 
Wanaweka mashada ya mauwa juu ya kaburi.

Naomba kama kuna mtu nitamkwaza kwa maneno flani flani nisamehewe.

Nachoongea ndicho nachokiamini,nitakisimamia.

Mariatonia nielewe.
 
well said! Ningekuwa situmii mchina wangu wa tochi ningekugongea 'like'
 
Nenda salama dada yangu regia, nawashukuru ulanga-kilombero, nawashukuru morogoro, nawashukuru watanzania, chadema na serkali jmt.
Amen
 
Ahsante Josephine kwa kazi nzuri, nawashukuru wana JF mliotuwakilisha mmeongeza reputation ya JF, ama kweli RM alikuwa shujaa hata waliokuwa wapinzani wake (naamini walikuwepo) watalikiri hilo. Kwa mimi mkristo nailinganisha na wayahudi walipomuuwa yesu walisema "hakika huyu alikuwa mwana wa Mungu"
Pumzika kwa amani Regia Mtema!
 
basi mkuu, umenishinda maana umetaja mfano wa kipengele kinachoniumiza roho hadi sasa (katiba)

Mkuu usirudi haraka kiasi hicho kwenye katiba mpya,

Tuna kazi ya kufanya baada ya hili tukio, kabla hatujarudi kwenye mizimu inayotutafuna kama vile tanesco, inflation na hiyo katiba mpya.
 
Kwa wale wote mliohudhuria maziko.

Ni vizuri sana kushika wasia wangu.

Kwa wale wanaotumia vyombo vya moto ni vizuri sana kufuata sheria za barabarani ikiwa pamoja na kufunga mikanda wakti chombo kinakwenda na wale wa vyombo vya matairi mawili au matatu ni vizuri kuvaa kofia ngumu.

Vile vile kumbukeni mwendo kasi ni khatari kubwa.
Msisahau kuwa Pombe ni khatari kubwa kwenu jiepusheni na pombe mnapoendesha vyombo vya moto.

Lakini pia tunajuwa wengi mumechoka sana hususan katika harakati mzima za maziko. Kuweni makini na dereva kusinzia akiwa njiani.

Kumbukeni tunawapenda sana wote na tunawatakia safari njema na Mola awatangulie.
 
Wanaweka mashada ya mauwa juu ya kaburi.

Naomba kama kuna mtu nitamkwaza kwa maneno flani flani nisamehewe.

Nachoongea ndicho nachokiamini,nitakisimamia.

Mariatonia nielewe.

ahsante mama,umefanya kazi nzuri.Mungu na akubariki na akuzidishie na akutimizie haja ya moyo wako.
 
Hakika tumemaliza.

Salamu za shukrani kutoka kwa familia.

Nawashukuru nyote mlionipa ushirikiano nilipokuwa na post kwa uchache sana.Asanteni kwa kunisahihisha pale nilipokosea.

Tutaendelea kuwa pamoja.

Regia alisema,JF ni shule na pia ni numbani,ni kweli haijawahi kupita siku bila kungulia JF.

ASANTENI SANA.
 
Mungu wangu.Yametimia! Ee baba kama ingewezekana basi Regia angeamka hatimaye iwe kama tulikuwa ndotoni.Lakini baba isiwe nitakavyo mimi bali utakavyo wewe.RIP Regia.
 
Mkuu Pasco nimekuelewa asante kwa angalizo.

Mkuu Ngongo, Wish you were here you would have undestood what I mean!.
Vitu vingine sio lazima kusema ni macho tuu kuona na kujinyamazia!. Ukijumlisha na hizi hydrofoam zetu za China!.

Mwacheni Regia wetu apumzishwe sasa!.
 
Hakika tumemaliza.

Salamu za shukrani kutoka kwa familia.

Nawashukuru nyote mlionipa ushirikiano nilipokuwa na post kwa uchache sana.Asanteni kwa kunisahihisha pale nilipokosea.

Tutaendelea kuwa pamoja.

Regia alisema,JF ni shule na pia ni numbani,ni kweli haijawahi kupita siku bila kungulia JF.

ASANTENI SANA.

"Atafuta kila chozi kutoka katika macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena."-Ufunuo 21:4
 
Umati wa waombolezaji unapita kwenye heshima za mwisho.
Jamani Wakristo wenzangu, lazima tufike mahali tukubali tukatae, wenzetu Waislamu wametuzidi kidogo katika ustaarabu wa taratibu za heshima za mwisho kwa kuaga bila kuangalia mwili!.

Just imagine Ile Jumatatu ameagwa kwa kuangaliwa pale nyumbani Tabata. Baadae ameagwa kwa kuangaliwa pale kanisani kwenye misa!. Jana tumemuaga kwa kumwangalia pale Karimjee!. Leo pia ameagwa tena kwa kuangaliwa hapa Ifakara!.

My own opinion, its more than enough, baada ya kuagwa na familia kwa kumwangalia, the rest wangepita tuu mbele ya jeneza kwa heshima na mwisho huku wakiangalia ile picha ya smiling innocent baby face yake ndio ikabaki kama kumbukumbu yetu ya mwisho ya Regia!.

Sasa imetosha na kupitiliza, tumpumzishe shujaa wetu apumzike kwa amani!.

Pumzika Regia!.

Nami nakubaliana na wewe!
 
Back
Top Bottom