Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mkuu Pasco.

Hivi Gaddaf aliangwa kwa siku ngapi vile ?.Tuache watu watoe heshima za mwisho bila kuingiza Itikadi za dini.
Mkuu Ngongo, Wish you were here you would have undestood what I mean!.
Vitu vingine sio lazima kusema ni macho tuu kuona na kujinyamazia!. Ukijumlisha na hizi hydrofoam zetu za China!.

Mwacheni Regia wetu apumzishwe sasa!.
 
Network inasumbua,lakini hatimae tumemuingiza kwenye nyumba yake ya milele.

Tunashukuru sana Dada Josephine.. Mungu akubariki kwa kazi nzuri uliyoifanya

Tunamuomba Mungu wetu mwingi wa rehema na neema ailaze roho ya Marehemu Regia Mahala Pema Peponi, Amen

Raha ya Milele umpe eeh bwana, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani
 
picha kwa hisani ya THE FINEST
attachment.php
 
Kumekucha, maandalizi ya safari ya mwisho yanaendelea, salamu na ibada vitafanyika katika viwanja vya kiungani.

Watu ni wengi kwelikweli mabasi yanashusha watu kwa wingi sana.

PICHA: Jinsi tulivyopokelewa

attachment.php
attachment.php

attachment.php
Tumtie moyo dada yetu ingawa kwa position yake inahitaji bidii ya ziada, ahsante saana kwa updates!!!!!!!!!

 
Regia,

why, why umeamua kulala bila kuamka,?

regia hata hawa watu wote,uwaoni?

Regia it is not fare,tazama unawekewa mfuniko mzito,hata mimi sitaweza kuufunua!

Please come out.
 
Kwa kweli nafarijika sana kuona ni namna gani Dada Regia aligusa maisha ya watu. Tangu taarifa ya kifo chake kutolewa, wananchi wengi sana wamejitokeza kumtakia pumziko la amani. Naamini hata familia yake inafarijika kwa maisha ya binti yao, kwani kwa umati unaojitokeza kumsindikiza tangu kule Tabata, Karimjee na sasa huko Ifakara, ni wazi kuwa Regia alikuwa ni kipenzi cha wengi. Huenda hata huko alikopumzika haamini anayoyaona huku duniani jinsi watu walivyompenda.

Tuzidi kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani na kumpatia raha ya milele. Amevipiga vita vilivyo vema na kuvimaliza, anastahili pumziko.

Ulale vema Dada Regia, tutakukumbuka.
Kwa sababu wafu hawajui lolote hivyo hawezi kona wala kusikia kwa maana kuwa file la maisha yake hapa duniani limeisha fungwa. La msing siye wafu watarajiwa tutengeneze njia zetu na kusafisha mapito ya Bwana.
 
Regia,

why, why umeamua kulala bila kuamka,?

regia hata hawa watu wote,uwaoni?

Regia it is not fare,tazama unawekewa mfuniko mzito,hata mimi sitaweza kuufunua!

Please come out.

mamie unaniliza upya na upya,jamaniiii Regia
 
Asante pole na wewe! You know nimekuwa nikisoma tu natokwa na machozi nashindwa hata ku-comment mpaka muda huu ndiyo nimeweza ku-comment kidogo.

machozi hayaniishi jamani mwee Regia wetu huyoo kaenda
 
Nenda salama dada yangu regia, nawashukuru ulanga-kilombero, nawashukuru morogoro, nawashukuru watanzania, chadema na serkali jmt.
Amen
 
Regia,

why, why umeamua kulala bila kuamka,?

regia hata hawa watu wote,uwaoni?

Regia it is not fare,tazama unawekewa mfuniko mzito,hata mimi sitaweza kuufunua!

Please come out.

mama punguza ukali wa maneno ya huzuni, wengine tunazidi kulia na key board tu hapa,
watoto wanauliza vp baba? nawajibu machozi yananiwasha kumbe sababu ni huyu binti regia, loh! vizuri havidumu dunian.
 
Back
Top Bottom