WanaJF
nimesikia concern zenuzenu. Tunaomba radhi kwa usumbufu. Nimekwenda mwenyewe kwa wenye mitambo na nimekuta wakihangaika na network. Tunatambua umuhimu wa kuwajuza kinachojiri. Tutaendelea kuboresha mitambo. Nashukuru baada ya picha zimeanza ku postiwa. Tunawashukuru wana JF na wapenzi wote wa Regia kwa ushiriki wa kina kumsindikiza mpendwa wetu.

Huyu Mama anaonekana ni Wale waswahili wa Tandale, wanaopenda kusutana kuliko hata kula.Yupo radhi kutoa hela ya Ada ya shule ya mwanae ili akakodishe matarumbeta ya kwenda kumsutia jirani.hii picha ina maneno zaidi ya 100.
View attachment 45618
Young boy u better shut up ur big mouth am just warning u.Numejaribu tu kutoa kilichonijia akilini mwangu based on his statement!
Asanteni kwa picha! Mungu atutie nguvu. PIR dada Regia.picha ya leo kwa hisa ya finest![]()
safi sana, uzur chadema ustarabu na kuelewana ndo hulka ye2. Alafu dada naomba hzo pcha ztengenezewe kalenda ya mwaka huu ili makamanda nch nzma japo washudia na kumuenz ktk kuta za nyumba zetu na maofcn au unaonaje.
Unataka kutuaminisha wale wote walioshiriki msiba wa Regia Mtema, ni Chadema?
safi sana, uzur chadema ustarabu na kuelewana ndo hulka ye2. Alafu dada naomba hzo pcha ztengenezewe kalenda ya mwaka huu ili makamanda nch nzma japo washudia na kumuenz ktk kuta za nyumba zetu na maofcn au unaonaje.
Huyu Mtoto ana bahati sana kuzikwa kwa jinsi hii ni baraka sana Mvua kikwetu inaashiria kwamba njia ni nyeupe hana doa mara nyingi inatoke wakati wakuzika machifu
Pole na wewe Mwana wa Ayoub..!!