jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,476
Mkuu unajuwa huyu mtu alikuwa pia akiogopa kufuatiliwa na maccm si unajuwa ukiwa na pesa na mtu kama yule wanaweza kukufilisi.Ebana Mangi huyo jamaa alikuwa na bilioni ngapi?
Sijui kiiasi cha pesa alizonazo,lakini ni ukweli amekopesha watu sana na ana assets zenye kufikia billion ya madafu.
Huyu jamaa tayari alikuwa ni mtu mishemishe.Usitegemee kuona figures za utajiri wake kama unavyoona kwenye forbes.