Suzie
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 1,259
- 409
Joshua Nasari Na Lucy Owenya wapo hapa
Naomba picha ya hiyo nyumba yake ya njiro tu nitakwambia kama ni bilionia au milionia
Joshua Nasari Na Lucy Owenya wapo hapa
Umetumwa kuingia kwenye hii sredi ? huo ni wivu wa kike na chuki binafsi.
huu tunauita umaskini wa roho.NA NI BORA UMASKINI WA AKILI UNATIBIKA
Watu wa Moshi mjini na maujanja yenu hamna hata picha za kuweka jamani
Kukopesha pesa kwa riba! Kasome vitabu vitakatifu
kusoma hamtaki, kufanya kazi hamtaki, mnaishi mjini kwa upambe tu.
hapo umemwona mawalla ???lakini si umeona utajiri wake ??????kimya kimya mkuu
Watu wana exaggerate sana! Sijauona ubilionea hapa!
Inaelekea una matatizo yanakusumbua kichwani ,maana unaongea vitu ambavyo havieleweki.
Upo wakutosha kabisavp na leo tena kuna ubwabwa wa kufuru?? tupigie bas picha ya ubwabwa wa kumsindikiza mr. bilionea..
He he he 'bilionea'
Ngoja niende kwenye sred ya ndege za mabilionea mbalimbali.
Mameneja wote wa CRDB,NMB,NBC,KCB,BOA,WALIKUWEPOMkuu Magesi endelea kutupia humu yanayotokea huko.Wengi tuko mbali na eneo la tukio,weka picha.
Wenye hela hapa bongo (DSM) wengi ni majizi ya fedha za umma(mafisadi) mf EPA,Meremeta,BOT deals nk.Wanaobeza utajiri wa Babu Sambeka wivu unawasumbua.
View attachment 90445
mwili wa marehemu ukiwa kwenye jeneza.
View attachment 90446
mtoto wa marehemu jamal akifungua jeneza lenye mwili wa baba yake
View attachment 90447
mwili wa marehemu(ndani ya jeneza) ukiwa kwenye gari
View attachment 90448
gari iliyobeba mwili wa marehemu bob sambeke.
View attachment 90449
watoto wa marehemu wakiwa msibani.