Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Tupo kwenye mazishi ya bilionea Sambeke watu ni wengi na bdo wanazidi kuingia wafanyabiashara wote wa mji wako hapa ni kama shughuli zimesimama umati ni mkubwa.

Weka picha, unatofauti gani na sisi wa mbali, kila mtu anajua watu watakuwa wengi
 
ubilionea via kuua via poda via makampuni or whatever the hell...what matters!!!
 
Anastahili kuitwa bilionea kwn alikuwa na uwezo wakumkopesha mtu mpaka b5
 
Sambeke sidhani kama ni haki kumuita bilionea, unless kuwe na ushahidi wa kutosha kuhusu hilo jamani. RIP Bob Sambeke.

Kiongozi! Hivi huyu Bob Sambeke anamiliki nini hapa A town? Ama pale Moshi Mjini?
Ama ni ile ndege moja mbili aliyonayo?

Copy kwa

PakaJimmy
Filipo
Arushaone
Preta
Blaki Womani

Hebu mwenye kujua miradi ya huyu marehemu bilionea anayetajwa hapa kwamba ni BILIONEA.
Mi najua gari mbili aina ya landcruiser pickup anayomiliki na nyumbani kwake pale njiro!
 
Last edited by a moderator:

Anamiliki kampuni ya utalii ya Ahsante tours
 
Last edited by a moderator:
Pia anakopesha fedha kwa watu binafsi na watu
 
Kiongozi! Hivi huyu Bob Sambeke anamiliki nini hapa A town? Ama pale Moshi Mjini?
Ama ni ile ndege moja mbili aliyonayo?

Copy kwa

PakaJimmy
Filipo
Arushaone
Preta
Blaki Womani

Hebu mwenye kujua miradi ya huyu marehemu bilionea anayetajwa hapa kwamba ni BILIONEA.
Mi najua gari mbili aina ya landcruiser pickup anayomiliki na nyumbani kwake pale njiro!

Watu wana exaggerate sana! Sijauona ubilionea hapa!
 
Bdo mwili upo kanisani huku nyumbani kuna skrini kubwa zimefungwa zinaonyesha matukio yote tokea aanze kurusha ndege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom