Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

When your time comes it come. You can never avoid nor cheat on this one. Just be ready. That's all!

"When your time comes it come"????? Unapenda sana kuandika kiingereza najua ni lugha yetu ya tatu ila makosa yako mbona ni ya standard three(tenses)
 
Bdo mwili upo kanisani huku nyumbani kuna skrini kubwa zimefungwa zinaonyesha matukio yote tokea aanze kurusha ndege[/QUOTE

Hivi huyo alikuwa bilionea au mtoto wa mjini? biashara gani ya kumwita bilionea? hiyo ndege masalia ya laki 5? achene ushabiki watu Arusha.
 
Bdo mwili upo kanisani huku nyumbani kuna skrini kubwa zimefungwa zinaonyesha matukio yote tokea aanze kurusha ndege[/QUOTE

Hivi huyo alikuwa bilionea au mtoto wa mjini? biashara gani ya kumwita bilionea? hiyo ndege masalia ya laki 5? achene ushabiki watu Arusha.
Duh!Umejiunga ili uje kubishana humu kuhusu ubilionea wa Babu?

BTW he was BOTH...

Kwasababu amekufa kwenye ajali ya hiyo ndege basi wewe unajuwa ni Babu na ndege,basi,nothing else.Halafu unaita watu washabiki as if unafahamu unachoongea.
 
*Nimegundua marehemu hakuwa billionare bali ana singiziwa tuu!

*Hakuna aliyeweza kueleza vyema mali alizokuwa ana miliki au hata assets!

*Hakuna aliyeweza kueleza pengine wapi assets zake zina patikana wapi au hata kwa picha!

*Nime gundua marehemu alifanya mambo yake kwa siri sana na ndio maana hakuna anaye mfahamu kabisa!

*Nimegundua marehemu alikuwa na biashara zisizo za halali ndio chanzo cha usiri huo!

Mungu amlaze marehemu panapo stahili na tuache kumsingizia hakuwa billionare bali alimiliki ndege!

Kiongozi,

Wanaosema ni bilionea hawajakosea, hela ilikuwepo, tena miingi sana kiongozi wangu! Hata hivyo sidhani kama utapata jibu hapa. Kwani wewe umeskia Babu tangu lini?
 
Unakosea hapo unaposema wachungaji na hili ndo tatizo lenu wengi wa huko lazima mnatafuta kitu kidogo hata hamjui vizuri mnakisimamia. Wale hawahubiri utajiri ila wanakwambia kabisa dhambi zako ndizo zinakufanya hufanikiwi na ukitaka ufanikiwe ni lazima uache kinyongo, ugawe kidogo ulicho nacho na mambo yote yanayomuudhi Mungu utafunguliwa na kufanikiwa. Sasa nyie mlio nje mnatafsiri neno moja njoo utajirike unasimama nalo wala huelewi linamaanisha nini. Yaani kumbe huna tofauti nao kabisa kwanini sasa?

.......kwani na wewe ni kati ya wale watu wanao amini umaskini ni laana !?
Dhambi na utajiri vina husiana vipi ?
 
Amenivutia tu jamani kwani hata mimi nitakuwa namsaidia maana nina za urithi kama yeye, tatizo za kwao wako wengi mimi tuko wawili tu

Wewe Suzie uje kwangu tuleane mwache kijana akue huyo
 
Last edited by a moderator:
Vielen Dank. Ich bin sicher, du hast mein Punkt.

"When your time comes it come"????? Unapenda sana kuandika kiingereza najua ni lugha yetu ya tatu ila makosa yako mbona ni ya standard three(tenses)
 
Back
Top Bottom