idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,300
- 38,450
Yote kwa yote anabaki kuitwa bilionea SAMBEKE
ni marehemu Sembeka, sio bilionea sembeka tena.!
Yote kwa yote anabaki kuitwa bilionea SAMBEKE
Sijawahi kumkubali Jambazi hata siku moja, Reginald Mengi ni Millionea na tunampa sifa zake wala hakuna swala la wivu, hata Davies Mosha ana pesa ya kutosha tu wala hakuna wivu, usinilazimishe kushabikia ujinga. sidhani huko kwenu kama Polisi Jamii itafanikiwa maana inaonekana ujambazi ni sehemu ya Cv ya mtu mwenye mafanikio.nafikiri unajibu tu kwasababu ya roho mbaya yako na wivu ila kimoyomoyo unamkubali sana.
ndio maisha waliochagua usitake kila kitu kifanane .nakumbuka ulipinga sana utajiri wa mawala !!!!here again .inaonyesha una allerge na kuwa tajiri eeee ......whatever he got his richness i respect him ,rather than die poor.Sijawahi kumkubali Jambazi hata siku moja, Reginald Mengi ni Millionea na tunampa sifa zake wala hakuna swala la wivu, hata Davies Mosha ana pesa ya kutosha tu wala hakuna wivu, usinilazimishe kushabikia ujinga. sidhani huko kwenu kama Polisi Jamii itafanikiwa maana inaonekana ujambazi ni sehemu ya Cv ya mtu mwenye mafanikio.
Usitake tufanane akili na wote kuwaza ujinga ujinga, yuko wapi leo Alex Massawe na utajili wake waujambazi na Magumashi kibao? ameishia kuishi kama panya kwa kuvikwepa vyombo vya dola vinavyomsaka kwa kesi ya mauwaji, je hiyo mipesa yake na mimali yake aliyokuwa nayo ina maana yoyote sasa?ndio maisha waliochagua usitake kila kitu kifanane .nakumbuka ulipinga sana utajiri wa mawala !!!!here again .inaonyesha una allerge na kuwa tajiri eeee ......whatever he got his richness i respect him ,rather than die poor.
Tumeambiwa tukishamaliza kuswali .... Basi tutawanyike katika ardhi kutafuta riziki !
'Itakapo kwisha sala, tawanyikeni katika nchi mtafute fadhila za Mwenyezi Mungu, na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi ili mpate kufanikiwa'
Qur'an: Al Jumaa: 62: 10.
naona huna wigo mpana wakuwaza mbali nje ya tanzania maana sidhani its happen here only,haya mambo yapo sana sana duniani kote na watu wa namna hii wapo wengi sana sana!his tribe belive that 1st option ni shule-yaani upate elimu ikutajirisheUsitake tufanane akili na wote kuwaza ujinga ujinga, yuko wapi leo Alex Massawe na utajili wake waujambazi na Magumashi kibao? ameishia kuishi kama panya kwa kuvikwepa vyombo vya dola vinavyomsaka kwa kesi ya mauwaji, je hiyo mipesa yake na mimali yake aliyokuwa nayo ina maana yoyote sasa?
Yote kwa yote anabaki kuitwa bilionea SAMBEKE
Majambazi wenzake nao wamefika??
Watu wanaendelea kupata vinywaji na chakula Japo watu ni wengi Bufee ziko kumi.vinywaji vya aina zote vipo
Usitake tufanane akili na wote kuwaza ujinga ujinga, yuko wapi leo Alex Massawe na utajili wake waujambazi na Magumashi kibao? ameishia kuishi kama panya kwa kuvikwepa vyombo vya dola vinavyomsaka kwa kesi ya mauwaji, je hiyo mipesa yake na mimali yake aliyokuwa nayo ina maana yoyote sasa?
Kitu kimoja tu uelewe JF si ya Wachaga na usilazimishe kila mtu awe mfuwasi wa pesa, JK Nyerere amekaa Ikulu miaka 20 + lakini hakuwa mtumwa wa pesa hiyo ni kwa mujibu ya kile anachoamini, sasa usidhani kila mtu ana Slogan ya Wachaga.naona huna wigo mpana wakuwaza mbali nje ya tanzania maana sidhani its happen here only,haya mambo yapo sana sana duniani kote na watu wa namna hii wapo wengi sana sana!his tribe belive that 1st option ni shule-yaani upate elimu ikutajirishe
kama hili limeshindikana, 2nd option fanya chochote kile usife maskini. sioni kikulalamikacho hapa haisaidii kubadili direction ya upepo ,pia hatujaja weka mizizi hapa duniani wote tunapita tu no life after death use ua common sense.
huyo ni trillionea na sembeke ni billionea
He he he 'bilionea'
Ngoja niende kwenye sred ya ndege za mabilionea mbalimbali.
Sambeke sidhani kama ni haki kumuita bilionea, unless kuwe na ushahidi wa kutosha kuhusu hilo jamani. RIP Bob Sambeke.
ku argue na watoto wa kiume wa kizazi hiki ni tofauti na mwanaume wa kizazi cha nyuma mtu anawaza eti tigo,eti jf sio ya wachagga????who say so!!!!panua wigo wako wakufikiri mkuu Matola think outside the box na usione kila kitu ni ajabu kwako kama unamwona huyu ni waajabu basi wanaosafirisha mnyama mzima ,mikataba ya uongo kujineemisha ,wanafuja hela za kodi za wananchi kujineemisha , hawa basi kwako ni malaika walioshushwa akati mimi hapa nawaweka kwenye kundi moja na alex massawe,sambeke na wengine wengiKitu kimoja tu uelewe JF si ya Wachaga na usilazimishe kila mtu awe mfuwasi wa pesa, JK Nyerere amekaa Ikulu miaka 20 + lakini hakuwa mtumwa wa pesa hiyo ni kwa mujibu ya kile anachoamini, sasa usidhani kila mtu ana Slogan ya Wachaga.
Hiyo option namba 2 ndio unaniacha hoi kabisa, yaani mchaga kwamba hata ikiwezekana aliwe tigo na mabasha ili apate tu pesa!? au Uchaga umeruhusu Ujambazi kwamba ni ruksa? basi hii ni kabila hatari sana kama hili ni la kweli.
alikuwa anasafirisa twiga wazima wazima na wanyama wengine nje ya nchi wakiwa hai mkuu na pia huyu ndiye mwenye richmond,meremeta na dowansa mkuu.na ndio mwenye ile mikataba yote mibovu ya nchi hii na mwenye majumba huko baganmoyo na soni ya kuiba kodi za wananchi maskini ni mtu hatari sanaAlikuwa na biashara gani mpendwa? Tufumbue macho sie wa pembezoni, manake hata hatukuwahi kumsikia kabla, mauti yake ndio yametu-introduce.
alikuwa anasafirisa twiga wazima wazima na wanyama wengine nje ya nchi wakiwa hai mkuu na pia huyu ndiye mwenye richmond,meremeta na dowansa mkuu.na ndio mwenye ile mikataba yote mibovu ya nchi hii na mwenye majumba huko baganmoyo na soni ya kuiba kodi za wananchi maskini ni mtu hatari sana
CC: Matola