Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Mazishi ya Bilionea SAMBEKE yatikisa mji

Kiongozi! Hivi huyu Bob Sambeke anamiliki nini hapa A town? Ama pale Moshi Mjini?
Ama ni ile ndege moja mbili aliyonayo?

Copy kwa

PakaJimmy
Filipo
Arushaone
Preta
Blaki Womani

Hebu mwenye kujua miradi ya huyu marehemu bilionea anayetajwa hapa kwamba ni BILIONEA.
Mi najua gari mbili aina ya landcruiser pickup anayomiliki na nyumbani kwake pale njiro!

Acha dharau wewe . We una ndege ngapi? ifike mahali tu appreciate
 
Kiongozi! Hivi huyu Bob Sambeke anamiliki nini hapa A town? Ama pale Moshi Mjini?
Ama ni ile ndege moja mbili aliyonayo?

Copy kwa

PakaJimmy
Filipo
Arushaone
Preta
Blaki Womani

Hebu mwenye kujua miradi ya huyu marehemu bilionea anayetajwa hapa kwamba ni BILIONEA.
Mi najua gari mbili aina ya landcruiser pickup anayomiliki na nyumbani kwake pale njiro!

Kwa kweli mimi najua alikuwa ni mmiliki mwenza wa ASANTE TOURS yeye pamoja na Cuthbet Mbowe .pia alikuwa ndio mkopeshaji mkubwa wa hela ya riba hata kama ni bilion tano unapata. Vile vile alikuwa na mashamba makubwa ya ngano kule west kilmanjaro ambako ndiko alitokea kabla hajapata ajali.
 
Last edited by a moderator:
Anamiliki kampuni ya utalii ya Ahsante tours

Wailiki wa kampuni za utalii ni wengi sana, na hawaitwi mabilionea! Kama nao wangeiwa mabilionea basi hapa Arusha pangekuwa jiji la mabilionea!
 
Kwa kweli mimi najua alikuwa ni mmiliki mwenza wa ASANTE TOURS yeye pamoja na Cuthbet Mbowe .pia alikuwa ndio mkopeshaji mkubwa wa hela ya riba hata kama ni bilion tano unapata. Vile vile alikuwa na mashamba makubwa ya ngano kule west kilmanjaro ambako ndiko alitokea kabla hajapata ajali.
Ni kweli mkuu Cuthbert alikua rafiki yake sana hata vidio zinazoenyeshwa hapa wako wote kwenye kila tukio
 
Kukopesha pesa kwa riba! Kasome vitabu vitakatifu
 
Mwili karibia unaingia nyumbani kutoka kanisani
 
Jamaa hela anazo but sio za kua bilonea. 2tambue nini maana ya bilionea jamani. Kwa pesa za madafu au za mbelembele. maana tukisema bilionea hata hao wasanii tunaowapenda wakina pdidy na mwenzie Jiga huko majuu hawapo kwenye list ya mabilionea. Hizo Bilion $$$$$ zisikie tu kwa hao wakina Andrea Agneli Mzee wa FIATI, FERRALI, BUGATI. Hata huyo Silivio Belusconi sio bilionea ni Milionea tu. Najua Gang Chomba unalijua hilo. Nashangaa Sembuke yupo juu kuliko Boss wako BELUSCONI.?
 
Tuwekeeni picha basi wakuu, yaani hata visimu vya mchina havinyaki picha tangu jana Arusha hadi leo? Khaa!! Tunataka tuone jeneza la bilionea na wake wake zake wamelizunguka looooooH!!
 
umepewa kazi ya kuchunga magari ww unafanya kazi ya upambe hapa.. haya bosi wako kafa.. jipange upya tena. unakaa kumsifia mwanaume mwenzio kama bwabwa..

Taratibu na maneno yako mkuu
 
Taratibu na maneno yako mkuu

mnatuboa tu nyie.. toka jmosi ni kumsifia tu huyo bilionea wenu.. mwanaume mzima anashinda mtandaoni kazi kumwagia mtu misifa tu!!! sambeke ndo mtoa uzima???? kama kuna aliyenuna akajiue na yeye bas..
 
Tupo kwenye mazishi ya bilionea Sambeke watu ni wengi na bdo wanazidi kuingia wafanyabiashara wote wa mji wako hapa ni kama shughuli zimesimama umati ni mkubwa.

Nimemtafuta Bilionea Sambeke hapa simuoni hivi anatumia jina gani lingine? Africa
 
wailiki wa kampuni za utalii ni wengi sana, na hawaitwi mabilionea! Kama nao wangeiwa mabilionea basi hapa arusha pangekuwa jiji la mabilionea!
sasas mtu anayeweza kopesha bil 5 utamwitaje kama sio bilionea benk zenyewe hupati hicho kiasi huyu ni bilionea kabisaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom