LazaroSMtindi
Senior Member
- May 6, 2008
- 100
- 5
Mimi sidhani kama hii ni big deal as long as huyo mtu hakuforge hicho cheti kutoka kwenye hiyo university. Kuna nchi nyingi tuu ambazo azitambui degree, masters or universities from certain countries and universities especial those countries which are classified as developing countries.
Mfano: New Zealand hawatambui degree ya aina yoyote kutoka UDSM au University yoyote ya Tanzania. Sasa ndugu zanguni mtaniambia kwamba watu wote waliopata Degree/masters/Phds kutoka UDSM, Mzumbe etc wameforge hizo degree kwasababu New-Zealand hawazitambui?
Watanzania msipende kudakiwa issues, someni muunderstand what is the argument behind the story na ndio muunze kuongea..
Pia ndugu zanguni tofautisheni maana ya kutambulika kwa university in a certain country na kugushi (forging) a degree
Mkuu, unachojaribu kutetea hakiingii akilini na hata mifano unayotoa ni sheer conjecture kwa sababu baadhi yetu wenye qualifications kutoka UDSM tunafundisha kwenye highly repected universities kwenye nchi zilizoendelea kuliko New Zealand. Hoja hapa ni mchezo mchafu ulioingia Tanzania wa watu literally "kununua" degrees kwenye vyuo vya mtandao visivyo na hadhi ya vyuo! Wewe umesikia wapi Ph.D ya mwezi moja? Umesikia wapi Ph.D inayopatikana kabla ya Diploma? Unavyojieleza unaonyesha dalili tosha za kuwa graduate wa hivyo vyuo taka.