Future-Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 334
- 7
Future Tanzania na wengine,
Tusiwe na mawazo mafupi. PhD ni shahada yenye heshima yake. Kama umeipata kihalali na umefanya yanayotakiwa kufanywa mpaka ukaipata, nakuhakikishia hutakosa kazi. Ni cheti chenye heshima sana. na kwa upande wangu mtu mwenye PhD yake namheshimu sana.
Hivi kweli wewe unataka kuniambia mwenye PhD yake na wewe mwenye degree yako moja au Masters muombe kazi World Bank..watakuchukua wewe yeye wamuache? Unless kweli hiyo PhD haina relevance hapo...lakini ukweli ni kwamba he stands better chances than you and me. mashirika kama World Bank au UN..ukiwa na PhD yako una uhakika kabisa kwamba career progression yako iko assured maana una uwezo wa ku-compete na wengine vizuri. Hata wakitaka kupunguza..wewe utakuwa wa mwisho (ofcourse PhD lazima ireflect na utendaji-lol). Ndo maana wazee ambao wamekaa UN miaka mingi..wengi ni wale wenye shule zao. Na kwa sababu unashindana na watu wa mataifa mengine, kusurvive ni vyema uwe na shule ndefu. MAANA WENZETU HUKO MAJUU PhD siyo anasa..ni qualifications za kawaida.
Tuache old thinking kwamba ukisoma PhD basi wewe utakuwa mwalimu au hutapata kazi..my friend that kind of thinking is long dead! Kuna mashirika kama huna PhD ndugu yangu unajiona kabisa uko out of the system...utakuwa mtu wa kutegemea (affimative action ya waafrika kwenye kupandihwa vyeo) Unless if you only think Local basi PhD haina "maana" but if you think global? Ohhh PhD is the way to go. Naamini leo hata ukija kuomba kazi bongo serikalini..na PhD yako..Iam sure watakupa kazi tena ya maana. enzi za ukiwa na PhD eti hupati kazi..zilishakufa long time sana...
Kwa wale wenye nia ya kusoma PhD please do it! the rewards will be enormous. Utafanya kazi popote duniani if you want to. Na kama huna hiyo PhD siyo vyema kuwadiscourage wenzako. Watoto wa kizungu ukiomba kazi nao huko World Bank..mtu ana miaka 25 au 26 tayari ana PhD..wewe huyo miaka 40 hata masters ya kuunga unga..harafu unategemea kijana anyimwe kazi? By the way PhD speaks alot about inteleectual aptitude ya mtu..kumbuka hakuna shule ya experience.
Ofcourse PhD za kununua za akina Nagu and Co..HIZO tutazipinga mpaka kufa! Ila PhD kama ya ndugu yangu Kitila Mkumbo ambaye kaihangaikia..eti leo unasema haina maana? you must be kiding yourself!
....duuuhh....wewe inaelekea una mataizo makubwa sana...hata kusoma ni mvivu....duuhh!!......haya hebu angalia hapa Mwl Kichuguu alivyokujibu........
.......Ndio maana anaitwa "Kichuguu".......au hata na hilo inabidi uelimishwe........duuh
lol! i guess you are a joker! how am i suppose to know kichuguu inarepresent age ya uyo jamaa.. Ogal i think u are taking this as a joke. Ok then now kwi kwi kwi..... i am out of here.. as we are on different chapters darling..